Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Huyu mama huyu jamani?au nibadilishe ubini wa mama nijiite mtoto wa Samia?

Ahh maneno yanakataa.
 
Wewe ndiyo ulikuwa unashangila unaguzi wa baba yako .
Sasa mama kaamua kuufyekelea mbali huo ubaguzi.

Kwi iiiiiiiiishaaaaaaaaaaa
Acha kelele wewe mwambie mbelgiji aje tumpangie kazi aache kukaa kwa wanaume
 
Uwaziri wa sheria utamfaa zaidi na wafungwa wengi sana nchini wataachiwa huru kwani nyingi ni kesi fake au ni kesi ndogo ndogo ambazo faini au kifungo cha nje zitafaa ili kupunguza msongamano wa kutisha kule lupango.
I'm smelling a rat! Huyu anataka kutumia mbinu ile ile aliyotumia shetani mtu Magufuli lakini kwa njia tofauti. Shetani Magufuli aliwashawishi wapinzani kuhama vyama vyao kwa kuwapa vyeo serikalini na huyu Mama atafanya hivyo hivyo bila kuwalazimisha kuhama vyama vyao na kwa rushwa hii mtu mwenyewe atanyong'onyea na kuunga juhudi ili kuimarisha nafasi yake ya uteuzi.

Huu ndiyo ukweli ingawa mchungu!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Njia za kutetea katiba ni zaidi ya moja, ww unataka ipi?
Jibu utayari wako wa kuitetea hiyo katiba mpya, hilo ndilo swali.... njia utakazotumia kutetea hazina maana kama hujui utayari upo au la.
 
Lissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Niliona mitandaoni ameanza kazi wiki hii katika kituo cha redio, na mtu wa kwanza kumuhoji alikuwa mwenyekiti wa CDM
 
I'm smelling a rat! Huyu anataka kutumia mbinu ile ile aliyotumia shetani mtu Magufuli lakini kwa njia tofauti. Shetani Magufuli aliwashawishi wapinzani kuhama vyama vyao kwa kuwapa vyeo serikalini na huyu Mama atafanya hivyo hivyo bila kuwalazimisha kuhama vyama vyao na kwa rushwa hii mtu mwenyewe atanyong'onyea na kuunga juhudi ili kuimarisha nafasi yake ya uteuzi.

Huu ndiyo ukweli ingawa mchungu!
Kama lengo ni kuijenga Tanzania sio shida. Lengo letu liwe moja kuipeleka nchi yetu mbele. Hivyo vyama vipo tu na vitazidi kuja
 
Back
Top Bottom