Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

Mmmmmh umeuifanyia utafiti wa kutosha hii ripoti yako maana kuna mambo mengine umeyaeleza ambayo hayaendani na huo uliouita utafiti wako
Utafiti hupingwa na utafiti.
Na wewe kafanye utafiti wako halafu utuletee majibu ya kuupinga huu wa kwangu.
Ahsante.
 
Kwamba hadi leo anawalazimisha akiwa kaburini?! Maana kuna baadhi ya sehemu ukipita ni kawaida kukuta watu wanasikiliza hotuba za Hayati tena kwa utulivu wa hali ya juu. Ukiwauliza kwa nini, wanakwambia Hotuba za Hayati zilikuwa na mvuto sana kwa sababu alikuwa sauti ya wanyonge!
Wanasiasa wanamponda na hawa wapuuzi wa humu wenye akili za kushikiwa,ila kwa mwanachi wa kawaida Magu ngumu kumsahau. Juzi kati Zitto alibanwa na maswali na Clouds ,akakiri Magu alirudisha nidhamu ya utendaji ktk taasisi za umma na ndio maana mwananchi wa kawaida hawezi msahau,kwani enzi ya Magu kwenye hizi taasisi kulikuwa ni nidhamu ya utendaji na mwananchi wa kawaida alikuwa anathaminiwa.
 
Aliwasaidia kwa kudhibiti mfumko wa bei.
Debe la mahindi tulinunua hadi kwa shilingi elfu tatu tu (3,000/=). Leo tunanunua elfu ishirini na tano (25,000/=)!
Mwaka 2017 unga ulipouzwa 2000 kwa kilo,alikuwa wapi?kabla hajaingia madarakani sukari kilo ilikuwa 1800 ,ikawa 3000, mafuta ya kula yalipofika lita moja 8000 alikuwa nani?kwa bei ya sasa ya vyakula kutupa lawama za moja kwa moja kwa rais sio sawa sana!!japo kuna kitu cha kufanya lakini hakiwezi kuondoa hiyo hali.
Hospitalini kuna nini kilibadirika tena madawa ndio kulikuwa hakuna kabisa bora hata sasa.
 
Kwamba sisi wengine hatukuwepo hapa nchini kipindi hicho? Maana hayo unayoyasema ni uongo mtupu. Au ndo nyinyi mliotengewa mabilioni ya kumchafua Hayati mitandaoni?!!
 
Wanasiasa wanamponda na hawa wapuuzi wa humu wenye akili za kushikiwa,ila kwa mwanachi wa kawaida Magu ngumu kumsahau. Juzi kati Zitto alibanwa na maswali na Clouds ,akakiri Magu alirudisha nidhamu ya utendaji ktk taasisi za umma na ndio maana mwananchi wa kawaida hawezi msahau,kwani enzi ya Magu kwenye hizi taasisi kulikuwa ni nidhamu ya utendaji na mwananchi wa kawaida alikuwa anathaminiwa.
Leo tumerudi kwenye "unanijua mimi ni nani?" Wakati "mwamba" alikuwa ameyakataa hayo kabisa. Kwake tajiri angeweza kufanywa chochote kama akipotoka
 
Kama maneno yenyewe ni kama haya wataacha kufatilia?
Kiongozi akiwa hivi lazima mshangae na kufatilia mambo haya ya ajabu
 
Kwamba sisi wengine hatukuwepo hapa nchini kipindi hicho? Maana hayo unayoyasema ni uongo mtupu. Au ndo nyinyi mliotengewa mabilioni ya kumchafua Hayati mitandaoni?!!
Kwani hapa nime kuja PM?nilichokiandika kipo wazi yoyote anakiona aje apinge,Mimi ni mkulima tu hayo ma bilioni yatanifikiaje?
 
Kama maneno yenyewe ni kama haya wataacha kufatilia?
Kiongozi akiwa hivi lazima mshangae na kufatilia mambo haya ya ajabuView attachment 2547784
Mzee alikuwa mcheshi. Ucheshi ni sifa ya kiongozi mzuri, japo kwa wengi huwa inakuwa "underrated" sana. Lengo kubwa la kuishi ni KUFURAHI. Hivyo kiongozi mzuri atawafurahisha watu wake kwa namna yoyote ile.
 
It's obvious, sasa hivi watu wasikilize mipasho iwasaidie nini?.
Kuna utofauti mkubwa kati ya kuwa kiongozi na kuwa mtawala. Jpm was a great leader of our time.
Well said!
I second it.
 
Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana.
Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye anaonekana kutokuwa na mvuto kwa Watanzania wengi hasa hasa kwa wanawake na vijana!
Unaweza kushuhudia hili kupitia kwa maongezi ya Watanzania wengi ambao walionekana kumwelewa zaidi Hayati kutokana na jinsi alivyokuwa anaonekana kuguswa na changamoto zinazowakabili hasa hasa Watanzania wa hali ya chini (aka wanyonge).
Huyu wa sasa hana mvuto kwa wengi kutokana na ile hali ya kuwajali zaidi matajiri na wale wa tabaka la juu kuliko maskini.
Fuatilia mitandao ya kijamii, Instagram, YouTube, Facebook n.k, utaona hata idadi ya watazamaji/wafiatiliaji (viewers) kwa hotuba za mama, ziko chini sana kulinganisha na zile za mtangulizi wake.
Naomba kuweka ushahidi hapa chini (angalia idadi ya "viewers").
So!!
 
Kwamba hadi leo anawalazimisha akiwa kaburini?! Maana kuna baadhi ya sehemu ukipita ni kawaida kukuta watu wanasikiliza hotuba za Hayati tena kwa utulivu wa hali ya juu. Ukiwauliza kwa nini, wanakwambia Hotuba za Hayati zilikuwa na mvuto sana kwa sababu alikuwa sauti ya wanyonge!
Wapumbavu kama wewe huwa hawakosekani ndugu. Kwani unadhani nchi hii haina wapumbavu?
 
Sio ajabu kuona Ng'ombe wengi kusikiliza hotuba za mchinjaji.
 
Back
Top Bottom