Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

Kanisa katoliki likitaka hakuna Cha Tiss Wala Jeshi litakalozuia uamuzi wa wananchi. Believe me Kanisa katoliki ndo mlezi wa CCM. Kama unabisha uliza Kenya na Drc. Kwa Zambia na Malawi Ni Kanisa la kiprotesnt.hutaki unaacha!
 
Nyie mnataka kuanza kumchanganya tena Mzee Mwinyi aulize..โ€Hivi huyu nani tena?โ€
 
Tulia tukunyoe kwa chupa
Umnyoe nani ndezi ww..
Meko wenu kenda zake msitegemme atarudi sasa mama anawarudishia akili zenu bado mnajifanya hamnazo ๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿ‘นnyinyi
 
Kanisa katoliki likitaka hakuna Cha Tiss Wala Jeshi litakalozuia uamuzi wa wananchi. Believe me Kanisa katoliki ndo mlezi wa CCM. Kama unabisha uliza Kenya na Drc. Kwa Zambia na Malawi Ni Kanisa la kiprotesnt.hutaki unaacha!
You are fooling yourself. Kanisa katoliki halina lolote when it comes to these matters.

Hiyo DRC yenyewe unayoitaja RC waliishia kusema data zilizokusanywa na observers wao zilionyesha mshindi tofauti na Felix Tshisekedi lakini hawakuwa na ujasiri wa kuzipublish. Leo Rais wa DR Congo unamjua ni nani
 
Umnyoe nani ndezi ww..
Meko wenu kenda zake msitegemme atarudi sasa mama anawarudishia akili zenu bado mnajifanya hamnazo ๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿ–๐Ÿ‘นnyinyi
JPM anaishi kwenye mioyo ya watanzania
 
Huna taarifa za DRC wewe na why RC walikubali yaishe. Kifupi hujui nguvu za taasisi za dini katika mabadiliko ya kimfumo wa nchi. Subiri siku ndoa ya Kanisa katoliki ikiisha Kama CCM itachukua round.
 
Kwa hiyo kesho Nchi itatikisika? Of course nampenda Mbowe ni mwelewa sana na Hakurupuki. Mapungufu yapo kwa kila Mtu ila kiuhalisia Mbowe ni mwana Diplomasia halisi.
 
Huna taarifa za DRC wewe na why RC walikubali yaishe. Kifupi hujui nguvu za taasisi za dini katika mabadiliko ya kimfumo wa nchi. Subiri siku ndoa ya Kanisa katoliki ikiisha Kama CCM itachukua round.

Ambaye hana taarifa ni wewe. Hujui chochote kuhusu DRC na uchaguzi wao. RC waliishia kupiga kelele kwenye media na hakuna walichofanikiwa. Mpaka leo Martin Fayulu hana lolote na Tshisekedi anadunda fresh tu. RC ubavu tu wa kutaja jina la wanayedhani alikuwa mshindi walikuwa hawana...

Ndoa ya RC na CCM kama ipo Tanzania haivunjiki leo wala kesho. RC wao wataendelea kuwa huru (kutoa matamko na takwimu etc) na CCM wataendelea kufanya yao as long as sisi wananchi tumekubali kuwa mazuzu na kuendelea kuwa reactive mitandaoni kwa kutoa lawama na kujifanya tumesahau a week later kila CCM wanapopora uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ