Kodi ni nyingi tutazipunguza tutafanya Mwananchi awe analipa kwa hiari bila bugudha HATUTICHEZEA KODI ZAO kwa Mambo ya Kipuuzi na MIRADI ya KIPUUZI tutapunguza VAT.Sawa. Nyie CHADEMA mna sera zipi. What are your alternatives?
Mwamba kama Mwamba
Kibibi akili zako chafu usituletee ukabila hapa!Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
We ulitegemea Mbowe na CHADEMA wataitetea serikali ?
Hao principle yao ni lazima waend against na serikali, hata kama serikali inafanya jamb gan zur lazima wao waene against.
..nyani haoni kundule.Wazee wa matukio kazini. Ccm ikikaa kimya na wao wanakaa kimya mana hakuna cha kuongea
We chawa upo? Una D mbili kwanza au unajisemesha tu?!Wewe wachana na serikali, unafikiri kwanini hiyo mifuko ilianzishwa na serikali?
sikuelewi unachoongea. umetumia kilevi kwa njia ile mpya?We chawa upo? Una D mbili kwanza au unajisemesha tu?!
Asiyeikubali asili yake mtumwa.Kibibi akili zako chafu usituletee ukabila hapa!
Chadema hawana jema kila wanacho ongea ni kuhus fujo tupu..Na Ccm na Serikali lazima waipinge CDM hata kama wanasema ukweli au wanapendekeza jambo jema kwa nchi yetu.
Chadema hawana jema kila wanacho ongea ni kuhus fujo tupu
Asiyeikubali asili yake mtumwa.
Hivi chadomo mliwacha lini sera za ubaguzi?
Mwenye makosa ni mkopeshaji na ndiye anapaswa kutuambia hapa.Hivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Sijauliza nani mwenye makosa au asiye na makosa, hiyo siyo kazi yangu.Mwenye makosa ni mkopeshaji na ndiye anapaswa kutuambia hapa.
Kufanikiwa kwa huyo jamaa kukopa kiasi cha serikali kushindwa kuwalipa wastaafu ni UDHAHIFU WA SERIKALI NA KUULIZA KWAKO HAPA KUNAZIDI KUIVUA NGUO SERIKALI YA ccm.
Walikubaguwa nini?..hakuna watu wabaguzi nchi hii kuzidi Wazanzibari.
Upumbavu wa wasimamizi wa serikali ndio mwanya alio/anao utumia hivyohivyo hata na mikataba mikubwa.Sijauliza nani mwenye makosa au asiye na makosa, hiyo siyo kazi yangu.
Rudi tena juu ukanisome nilichouliza.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nakushangaa wewe usiye mpumbavu unahaha mitandaoni badala ya kuwa msimamizi wa serikalini.Upumbavu wa wasimamizi wa serikali ndio mwanya alio/anao utumia hivyohivyo hata na mikataba mikubwa.
Hiyo shule uliyosoma ingekunufaisha kimaarifa usingelileta hoja ya kipuuzi ya namna hiyo hapa kwani ni UMBEA.
iHivi huyu mchaga alishalipa madeni ya NSSF alipokopa pesa za wastaafu?
Mada si mbowe au hujaisoma mada?Jikite kwenye Mada
i
Na Kazi na Bata inaendelea kama kawaida 😳😱🙄..hivi unajua serikali ya CCM imekopa kiasi gani ktk mifuko ya hifadhi ya jamii?
..mgogoro wa kikotoo chanzo chake ni madeni makubwa ya serikali ya CCM ktk mifuko ya hifadhi.
..lakini pia serikali ya CCM kutumia 51% ya bajeti kulipa madeni ndio chanzo cha kodi na tozo zinazokausha wananchi.