Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

Hio ni hotuba kwa nyie wanachadema sio taifa. Taifa anahutubia Rais pekee
Tulia, utajionea kama ni ya wana CHADEMA au taifa! Rais wa nchi hii wote wanatekeleza sera za kambi ya upinzani, na mama yetu ameanza na mguu huo. Huyo mwendazake kafanya vitu ambavyo upinzani huo wa CHADEMA ulipigia kelele kwa zaidi ya miaka 10, ujinga wake ni ujuaji na kukosa taarifa za kutosha.
 
Kabisa
 
Mwendazake alivinyonga hasahasa vyombo vya habari, naona sasa hadi upinzani wanaonekana hewani, hongera SSH kwa Uhuru huu kwa nchi yetu na kuruhusu mikutano ya wazi
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Tumekupima ujinga wako.... nimnono kwakweli, sikunyingine bora utafute point kwa yeyote unayeamini anawelewa akupe chakuchangia!
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha
Haya ni mawazo mfu!!ili kumtetea shujaa wenu kwani hizo pesa alizotumia kujengea hiyo miradi ilikuwa pesa yake??stahiki ngapi za wananchi zilikosekana kutokana na ujenzi wa hiyo miradi?inshu hapa hasemwi marehemu bali ni matendo yake juu ya aliyoifanyia nchi, kwani kama ni hasara hata kizazi kinachokuja kitaathirika!!kwa hiyo alipokosea asisemwe?tatizo lenu ni aibu kwani aliwaaminisha kuwa ni mzalendo sana, sasa na nyie mnashangaa heee, kumbe mambo yako hivi?!!hata nyerere, mkapa, mwinyi na jk, kuna mambo walikosea lakini wao uzuri wao hawakuyaficha yalijulikana tu yalipotokea, ndio maana hata walipitoka hakukuwa na jipya, sasa huyo shujaa wenu alijifanya kuyaficha na wajinga mkajua kila kitu kiko sawa!!sasa hayupo mambo ndio hayaaa, tulieni tu, hili litakuwa fundisho kwa wengine!!Na mbona bado sana yajayo yanasikitishaaa.eti tuvunje so what??
 
Wafia Mbowe tushezipata taarifa mapema kabisa saa 9 kamili nipo live YouTube

Bando ndio mchawi
 
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.

Nawasilisha

Kwani hayo mambo alikuwa anafanya kwa fedha za mshahara wake? Si alikuwa anakusanya kodi zetu? Hivi unajua miradi aliyoifanya Nyerere ,JM Kikwete yote? Ukitajiwa unaweza ukaona MEKO hakuna alilofanya.

Kwenye swala la kujenga miundombinu hata rais akiwa LIQUID KONK FAYA atafanya tu maana kodi atakuwa anakusanya na bajeti itakuwa inapitishwa na bunge,civics ulikimbia mkuu?
 
Maswali yangu kwa Mbowe;
1.Vipi amewasamehe kina Halima Mdee na wenzake ili waendelee kuiwakilisha Chadema pale bungeni?.

2. Mbowe aliwahi kuomba maridhiano na Hayati Magufuli ila maombi yake yalitupwa, Vipi atajaribu kuomba tena maridhiano kwa Rais mpya?

3. Vipi msimamo wa Chadema, itashiri uchaguzi mdogo wa ubunge kule Kigoma?.

4. Vipi makamu mwenyekiti Lisu atarejea lini?. Maana mtesi wake hayupo tena na yeye ameshapona

5. Ana maoni gani juu ya riport ya CAG?
 
Ngoja nimjibie namba 1 , Mbowe binafsi hana uwezo wa kuingilia ama hata kupinga maamuzi ya Kamati Kuu
 
Kumbe mwenda zake aliendesha nchi kama mbowe anavyoendesha chama aisee hii habari mpya
Tulia, utajionea kama ni ya wana CHADEMA au taifa! Rais wa nchi hii wote wanatekeleza sera za kambi ya upinzani, na mama yetu ameanza na mguu huo. Huyo mwendazake kafanya vitu ambavyo upinzani huo wa CHADEMA ulipigia kelele kwa zaidi ya miaka 10, ujinga wake ni ujuaji na kukosa taarifa za kutosha.
 
Piga kelele , fanya nini , ukweli marehemu JPM katuonyeha njia kwamba "nchi yetu ni tajiri " alituamsha hivyo tuendeleze kazi yake kwa makini zaidi . Mabaya tuyazike ila mazuri tuyaendeleze . Lala salama baba Magu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Hio ni press conference sio hotuba. Hotuba ni ile umejikalia zako sehemu unaongea kisha vyombo vyooote vya habari vinarusha live hapo hujawaita waandishi
Sio Rais pekee anaeweza kulihutubia taifa. Hata wewe ukiweza kuandaa press conference itakayovutia attention ya watanzania, kwaajili ya masuala yanayowahusu watanzania wote kwa ujumla, utakua umelihutubia taifa!
 
Back
Top Bottom