Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna wakati ulifika Kikwete akawa anashangiliwa....basi amini kuna siku jina la Magufuli likiwa linatajwa mahali watu watalipuka kwa sangwe. Kwasasa ngoja kipindi hiki cha balehe ya kisiasa kipite kwa vijana wengi hasa wa upinzani.... kunywa maji kidumu hasira zipoe. Alifanya baadhi mazuri lakini upuuzi uliofanyika ni wa kiwango cha juu zaidi.
Katiba Ya Nchi inasemaje kwani!?Hio ni hotuba kwa nyie wanachadema sio taifa. Taifa anahutubia Rais pekee
mnaanzishaje uzi alafu mnautelekeza hamtoi UPDATES mkuu? Mods muwe mnazifuta nyuzi kama hizi maana zinazuia wenye updates kutoa muendelezo
Ni kweli, Bora ameviruhusu... Maana wapinzani wakiongea na kupata mikutano mingi ya wazi - uchumi utakuwa haraka sana, watu watajaa mapesa, Mikutano ya siasa italeta ajira nyingi, vijana wetu wengi watapata kazi, na tutavuka haraka sana kufikia nchi za uchumi wa juu. Ikiwezekana hatutopita hata kwenye uchumi wa kati wa juu, tutakwenda moja kwa moja kwenye nchi zenye uchumi wa juu. Hongera sana Tanzania.....Mwendazake alivinyonga hasahasa vyombo vya habari, naona sasa hadi upinzani wanaonekana hewani, hongera SSH kwa Uhuru huu kwa nchi yetu na kuruhusu mikutano ya wazi
Mama Ssmia S. Hasan sikiliza kwa makini muongozo wa kujenga nchi yetu, unatolewa na Mwamba Mbowe leo. Nchi yetu ya Tanzania iwe kama Ulaya vile.Nje ya mada
Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Huyu Ni pepo mchafuSijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073
Kama una updates anzisha uzi mwingine bwashee tutakuja!mnaanzishaje uzi alafu mnautelekeza hamtoi UPDATES mkuu? Mods muwe mnazifuta nyuzi kama hizi maana zinazuia wenye updates kutoa muendelezo
cc JamiiForums
Maxence Melo
Katiba Ya Nchi inasemaje kwani!?
Dubai
Sijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073
Wangeivujisha hii taarifa angalao raia wema tungefahamu aliko Ben Saanane,Azori na wengineo.Sijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073
Mkuu kama umepaniki sana, au upo desperate, Lakini msiba ulikua mkubwa, pole sana! Umewasilisha, lakini hapa ni kuhusu hotuba ya Mbowe, kumsifu na kumbomowa mwendazake, kuna nyuzi nyingine za aina ya hiki unacho wakilisha!Ili Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
'Hoja ya Kipuuzi Kabisa'!Nawasilisha
Weka hapa uliyesoma hiyo report hapa na wengine tuone zaidi ya hapo ni UNAFIKI tu. Kila mtu kwa kipindi hiki ATOKE VIPI kama ule wimbo wa bwana MISOSI.Sijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073
Ni nani anasimamia kazi ya kijinga namna hii- Popole?wanaompiga Hayati Magufuli , msiangaike kuponda kazi Zake. kama nyie wanaume kweli. Rudisheni Ada za shule watoto Hakuna kusoma bure. vunjeni vituo vyote vya Afya 9000 nchi nzima ,chomeni madawati ya watoto nchi nzima wanao kaa kwenye Madawati, toeni umeme vijiji vyote alivyovipelekea umeme nchi nzima, Huzeni Meli zote ziwa nyasa na ziwa victoria, vunjeni mashule yote mapya aliyojenga, na shule alizo karabati pakeni matope . uzeni ndege zote , vinjeni viwanja vyote vya ndege na rada vunjeni zote. vunjeni ukarabati wa bandari zote 4 tanga , dar, mtwara na lindi . vunjeni barabara 8 ubungo chalinze. vunjeni stendi ya mabasi ya mbezi , vunjeni soko la Morogoro na stendi ya ndugai dodoma , vinjeni ikulu ya dodoma , na nyumba ya makamo wa Rais na ofisi zao na nyumba zao warudi dar. rudisheni makao makuu dar , vunjeni viwanda vyote 8000 vidogo na vikubwa, vunjeni daraja la salenda na mfugale na barabara zote za juu. vunjeni Hoster za chuo kikuu mlimani watoto warudi mitaani kudanga, uondoeni nidhamu kazini watu wafanye wanavyotaka, rudisheni ruswa na wezi na ufisadi. rudisheni wafanyakazi hewa na vyeti Hewa. toeni vitanda na magodoro na mashuka wagonjwa walale chini, ondoeni madawati watoto wakae chini,nunueni Magari ya milion mia tatu watoto wakose Ada na madawa Hospitalini. rudisheni wazungu wachukue makanikia na madini yetu bure watuachie Mashimo. futeni mahakama za mafisaidi mafisadi waibe wanavyotaka, Jaribuni Muone moto wake watanzania wasasa sio wale wa zamani fanyeni Muone Mtajuta kuzaliwa hamtaamini macho yenu msione kobe kainama jua ana tunga sheria wanaichi sio wajinga kama mnavyofikiria msiipeleke nchi Rwanda viongozi baada ya kufa Rais wao ndio walisababisha umwagaji wa damu. viongozi kuweni makini na Matamshi yenu. ulimi kiungo kidogo Ila Matatizo yake ni Makubwa sana watanzania tumemakili na viongozi wasio hitakia Mema Nchi yetu. jaribuni kuwa na masikio makubwa sio Mdomo mkubwa.
The terrible side of the dictator that will always deny him respect among leaders!Sijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073