Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Huo mnaouzungumza, Wewe na sukuma gang wenzako, ni ujinga! Nchi hii imeanza harakati za maendeleo tangu awamu ya kwanza, na hakuna aliye jenga nchi kwa pesa za mama ake! Tuvunje nini?! Au unawaeleza wajinga, kina kipara kipya, wanao enda Dodoma kuvunja daraja la Ndugayi? Mwendazake alikua mwajiriwa kama watumishi wengine wa nchi hii na hajafanya maajabu yoyote, kama kuna unacho kiona Wewe ni kutimiza wajibu wake tu, basi!wanaompiga Hayati Magufuli , msiangaike kuponda kazi Zake. kama nyie wanaume kweli. Rudisheni Ada za shule watoto Hakuna kusoma bure. vunjeni vituo vyote vya Afya 9000 nchi nzima ,chomeni madawati ya watoto nchi nzima wanao kaa kwenye Madawati, toeni umeme vijiji vyote alivyovipelekea umeme nchi nzima, Huzeni Meli zote ziwa nyasa na ziwa victoria, vunjeni mashule yote mapya aliyojenga, na shule alizo karabati pakeni matope . uzeni ndege zote , vinjeni viwanja vyote vya ndege na rada vunjeni zote. vunjeni ukarabati wa bandari zote 4 tanga , dar, mtwara na lindi . vunjeni barabara 8 ubungo chalinze. vunjeni stendi ya mabasi ya mbezi , vunjeni soko la Morogoro na stendi ya ndugai dodoma , vinjeni ikulu ya dodoma , na nyumba ya makamo wa Rais na ofisi zao na nyumba zao warudi dar. rudisheni makao makuu dar , vunjeni viwanda vyote 8000 vidogo na vikubwa, vunjeni daraja la salenda na mfugale na barabara zote za juu. vunjeni Hoster za chuo kikuu mlimani watoto warudi mitaani kudanga, uondoeni nidhamu kazini watu wafanye wanavyotaka, rudisheni ruswa na wezi na ufisadi. rudisheni wafanyakazi hewa na vyeti Hewa. toeni vitanda na magodoro na mashuka wagonjwa walale chini, ondoeni madawati watoto wakae chini,nunueni Magari ya milion mia tatu watoto wakose Ada na madawa Hospitalini. rudisheni wazungu wachukue makanikia na madini yetu bure watuachie Mashimo. futeni mahakama za mafisaidi mafisadi waibe wanavyotaka, Jaribuni Muone moto wake watanzania wasasa sio wale wa zamani fanyeni Muone Mtajuta kuzaliwa hamtaamini macho yenu msione kobe kainama jua ana tunga sheria wanaichi sio wajinga kama mnavyofikiria msiipeleke nchi Rwanda viongozi baada ya kufa Rais wao ndio walisababisha umwagaji wa damu. viongozi kuweni makini na Matamshi yenu. ulimi kiungo kidogo Ila Matatizo yake ni Makubwa sana watanzania tumemakili na viongozi wasio hitakia Mema Nchi yetu. jaribuni kuwa na masikio makubwa sio Mdomo mkubwa.
Mwisho, kama unaona nchi haitaenda, bila juhudi zile, nenda jamuhuri ya malaika, ukaunge juhudi huko, lakaibwara! Kuleenyai!