Piga kelele , fanya nini , ukweli marehemu JPM katuonyeha njia kwamba "nchi yetu ni tajiri " alituamsha hivyo tuendeleze kazi yake kwa makini zaidi . Mabaya tuyazike ila mazuri tuyaendeleze . Lala salama baba Magu
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hivi hasara za kikwete na Magu nani zaidi... kunywa maji kidumu hasira zipoe. Alifanya baadhi mazuri lakini upuuzi uliofanyika ni wa kiwango cha juu zaidi.
Hii ni taalabuSijui MATAGA mnapata wapi nguvu ya kumtetea JIWE ,mambo aliyokuwa anayafanya behind the scenes ni ya KUTISHA.
View attachment 1749073
... JK alimpiga nani risasi Chief? JK alibambika wangapi kesi? JK alipeleka wapinzani wangapi mahabusu kwa kesi za kutunga? Kukosa ubinadamu ni kwango cha juu kabisa cha insanity!Hivi hasara za kikwete na Magu nani zaidi
Na Safura pia inamsumbuaHuyo mkuu ana minyoo
Hii ni taalabu
Vinginevyo weka ushahidi
Asante sana tayari nimeshajaza dizel kwenye ka generator kangu.
Bawacha tvChannel gani?
Tuwekee link tafadhali
Sukuma Gang punguzeni kiherehere mtaolewa bureIli Prof Assad na wengine wote wanaotaka kuichafua oil chafu wanatakiwa wafanye kinyume na Magufuli kama ifuatavyo.
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Amegoma au Zitto Kabwe kamfilisi alichopanga kuongea?!
Bavicha wana uswahili swahili sana!Hivi mlisema saa 9;ya Kigali au Kinshansa?!
Hebu jaribu kumjibu kwa hoja halafu tupime!Punguza kihedemswede.
Mama anayajua mazuri ya Magu na mabaya ya Magu.
Waambie mamaa.Hio ni hotuba kwa nyie wanachadema sio taifa. Taifa anahutubia Rais pekee