Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

Huo mnaouzungumza, Wewe na sukuma gang wenzako, ni ujinga! Nchi hii imeanza harakati za maendeleo tangu awamu ya kwanza, na hakuna aliye jenga nchi kwa pesa za mama ake! Tuvunje nini?! Au unawaeleza wajinga, kina kipara kipya, wanao enda Dodoma kuvunja daraja la Ndugayi? Mwendazake alikua mwajiriwa kama watumishi wengine wa nchi hii na hajafanya maajabu yoyote, kama kuna unacho kiona Wewe ni kutimiza wajibu wake tu, basi!
Mwisho, kama unaona nchi haitaenda, bila juhudi zile, nenda jamuhuri ya malaika, ukaunge juhudi huko, lakaibwara! Kuleenyai!
 
Kwaiyo mkuu yaan hapo ndio umfikilia mbaka mwisho ukaona ie ivyo?.. je hakuna namna nyingine inayo weza tumika au umesahau vyote ulivyo orodhesha apo juu vimejengwa kwa kodi za wananchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…