Hapo ni ujanja ujanja, kimekwekwa hapo ili asiyejua aone kuna uzito wa elimu.. mama hamna kitu sema inaonekana anajua kukaa vizuri na watu.Hiyo Cambridge International College ni vile ''vyuo vyetu'' nini?
What is your conclusion??Bungeni Sheria zinatungwa kwa kiswahili 😳.
Mahakamani wananchi wanahukumiwa kwa kiswahili?
Hospitalini dawa zimeandikwa kwa kiswahili?
Bungeni Sheria zinatungwa kwa kiswahili 😳.nadhani ifike wakati tujitambue wachina wanaongea kichina hadi kwenye mikutano mikubwa ni ww kazi kwako kuelewa sasa kama tunasema kiswahili kinasifika duniani kwann tusikiongee imagine mkutano wa afrika ila mtu anabonga kingereza muharo hata mm mabaye sijasoma naweza unga maneno nikamzidi huyo mpewa cheo
Ungekuwa "mtaalam" wa lugha ungelijua ya kwamba, kwa watu wengi first language (mother tongue) inaathari sana kwenye second language, third language, etc. Mimi ni Mhaya, kutamka "goingi" jambo la kawaida tu! Mkurya kutamka "chakura" utamshangaa?Subiri ili tusipoteane, akitamka neno Rais kwa kiswahili, R yake huwa anaweka L? Kwanini anatamka plesident alipokuwa anasoma kiingereza?
Kwa Tanzania HATUNA lugha ya tatu Rasmi. Kama ipo na unaijua, utanisaidia sana kuniongezea ufahamu.Nitajie lugha ya tatu ni ipi?
Kama haipo, niambie ni kwa nini ni lugha ya kigeni halafu imepewa hadhi ya 'urasmi' katika nchi yetu.
Using English from early childhood education (chekechea) up to universities, rather than changing the medium abruptly, has several advantages:What is your conclusion??
Tunadanganyana hapa kuwa kiswahili kimesambaa hell no, kama unasafiri sana kiswahili ni small minor language hakina influence kama lugha zingine.nadhani ifike wakati tujitambue wachina wanaongea kichina hadi kwenye mikutano mikubwa ni ww kazi kwako kuelewa sasa kama tunasema kiswahili kinasifika duniani kwann tusikiongee imagine mkutano wa afrika ila mtu anabonga kingereza muharo hata mm mabaye sijasoma naweza unga maneno nikamzidi huyo mpewa cheo
Tanzania needs to settle its differences with English language.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Uko sahihi, ww kajadili hayo mengine, sisi wengine acha tujadili kiingereza chake.Tuna matatio makubwa ya kujadili kuliko hicho kiingereza Cha Jenista Mhagama!
Jibu nilichosema, akiongea kiswahili kwenye R anaweka L?Ungekuwa "mtaalam" wa lugha ungelijua ya kwamba, kwa watu wengi first language (mother tongue) inaathari sana kwenye second language, third language, etc. Mimi ni Mhaya, kutamka "goingi" jambo la kawaida tu! Mkurya kutamka "chakura" utamshangaa?
Bavicha bwana....!Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Lusungo kwenye ubora wako katika fasihi🤣Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Very trueA. Potential Problems:
1. Poor Communication:
Difficulty in communicating effectively in international forums could hinder the ministry's ability to engage with global health issues.
2. Lack of Collaboration:
Limited language skills might restrict partnerships with international organizations and other countries, reducing access to resources and support.
3. Loss of Direction:
Inability to understand and implement international health policies could affect the ministry's strategic direction.
4. Diminished Public Confidence: Citizens may lose trust in health leadership if they perceive a lack of competence in handling global health matters.
5. Implementation Challenges: Misunderstandings of international guidelines could lead to ineffective health programs and policies.
B. Regarding Resignation or Reassignment:
i. Resignation:
If her language skills significantly hinder her performance, resignation could be a responsible choice for the benefit of the ministry.
ii. Reassignment:
Alternatively, she could be reassigned to a role that better suits her skills, allowing her to contribute effectively without the pressure of international representation.
Hiyo ni pumba, hakuna kitu kama hicho.Ukisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Anaishi kwa misingi ya kichawa na kujipendekeza.Ndiyo maisha yake huyo Mama
Tangu enzi za Kikwete anaishi Kwa style hiyo hiyo 🙌