milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Despite the significant economic challenges in Tanzania, the use of Kiswahili contributes to exacerbating existing problems.Tuna matatio makubwa ya kujadili kuliko hicho kiingereza Cha Jenista Mhagama!
Aliye mwandalia speech nae alikuwa na jambo lake 😆Thank you mr chair,hata mimi siwezi kusoma upuuzi huu.
On behalf on behalf nyingi
Watu wasimshambulie Waziri Mhagama ila tuangalie mfumo unasababisha watu kuwa katika wrong positions. Kabla ya Mhagama alikua ni Ummi Mwalimu ambae nae hakuwa mtaalamu wa masuala ya afya. Kwa Tanzania uwaziri ni cheo cha heshima ila sio cha utendaji, kwani Katibu Mkuu ndio mtendaji wa Wizara husika. Ili kutibu tatizo hili, kama ilivyo baadhi ya nchi, tungeachana na utaratibu wa kuwa na mawaziri kwenye baadhi ya wizara na badala yake kuwa na Sekretary of State ambaye ni mtaalam wa masuala ya wizara husika. Sekretary anapewa targets na akishindwa anatolewa kwani kashindwa kazi. Hii itaongeza professionalism na kupunguza gharama za kuendesha Serikali.To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
Ndiyo hali ya Nchi yetu ilipofikia, Siku hizi ukiachana na Vijana kuwa Machawa hadi Wazee nao ni Machawa 🙌Anaishi kwa misingi ya kichawa na kujipendekeza.
Ndio maana nikasema Siasa uchwara zinagharimu hii nchi na zitaendelea kuligharimu hili Taifa kwa sababu tunaongozwa na watu wasiokuwa na vision, haiwezekani WHO wakaona potential ya Dkt Ndugulile alafu sisi tuone kuwa hawezi kuwa msaada kwetu kwenye taasisi za Afya.Sasa kama mamlaka hazijaona kama anaweza kuwa na mchango wake nchini na kumteua, si bora uende tu huko duniani. Ulitaka akae tu asubiri uteuzi ambayo ni uncertain??
Mbunge Sheria Ina mtaka kujua kusoma na kuandoka kiswahili,akifika Bungeni akatunge na kupitisha Sheria kwa lugha ya English.Watu wasimshambulie Waziri Mhagama ila tuangalie mfumo unasababisha watu kuwa katika wrong positions. Kabla ya Mhagama alikua ni Ummi Mwalimu ambae nae hakuwa mtaalamu wa masuala ya afya. Kwa Tanzania uwaziri ni cheo cha heshima ila sio cha utendaji, kwani Katibu Mkuu ndio mtendaji wa Wizara husika. Ili kutibu tatizo hili, kama ilivyo baadhi ya nchi, tungeachana na utaratibu wa kuwa na mawaziri kwenye baadhi ya wizara na badala yake kuwa na Sekretary of State ambaye ni mtaalam wa masuala ya wizara husika. Sekretary anapewa targets na akishindwa anatolewa kwani kashindwa kazi. Hii itaongeza professionalism na kupunguza gharama za kuendesha Serikali.
Fala ni yule anayehisi wivu kwa watu waliofanikiwa kuliko yeye.Utetezi wa kufala sana huu, halafu unakuta nyaraka zote muhimu za kiserekali ziko kwa kiingereza! Aibu nyingine hizi, kaa kimya tu.
Shida ilipo ni wasomi kuisusa siasa na siasa ikabaki na wajingaMtindo wa Rais kuteau mawaziri na kuwapitisha kuwa mawazi umepitwa na wakati.
Rais anatakiwa ateue mawaziri wabunge wakampitishe.
Wabunge kiwango cha kuchukuwa fomu kugombea kiwe ni masters na kuendelea.
Rais Ili achukue fomu awe na PhD ya kusomea sio ya kupewa.
Diwani awe na bachelor degree
Wenyeviti wa vijiji wawe form four au form six, hapo tutakuwa tunajua tunakoelekea.
Ila Kwa Sasa tunatwanga maji kwenye kinu.
Hii itangazwe rasmi kuwa AIBU YA TAIFA. Rwanda hapo waliachana na Kifaransa wakahamia Kiingereza juzi kati leo hushindani nao kwa fluency in English.Hii lugha imekuwa mwiba kwetu watanzania...yaani dah!!
Bahati nzuri nimehudhuria mikutano ya WHO Afro. Kuna multimedia system yenye interpreters wa lugha zote kubwa za Africa; English, French, Arabic, Portuguese, Spanish na Kiswahili.hata angekuwa hajui kutamka hata neno moja inatemegea anafanya shughuli gani au anasimamia nini..., sisemi kwamba anafaa bali incompetence yake taipima kwa vigezo vingine...
Ingekuwa lingo ndio capacity ya kufanya shughuli au mambo tofauti basi binafsi ningeweza kwenda toe to toe hata kwa the likes of Sun Tzu au hata kuwapita majority ya viongozi wa hii nchi..., lakini ndio hivyo it's just a tool for communication na kama kuna alternative basi sio issue...
Tatizo ni kubwa kuliko hilo unaloliona, na sidhani kama lipo kwa wasomi.Shida ilipo ni wasomi kuisusa siasa na siasa ikabaki na wajinga
Kama hujaona tatizo jihesabu na wewe ni MLEMAVU wa lughasijaona alichokosea hapo, labda lafudhi tu.. hapo ndo imefanya aonekane kama amekosea
Kama kuna multimedia interpreters ni bora tukienda huko tuongee kiswahili, kwanza ndio vizuri tunakipromote.Bahati nzuri nimehudhuria mikutano ya WHO Afro. Kuna multimedia system yenye interpreters wa lugha zote kubwa za Africa; English, French, Arabic, Portuguese, Spanish na Kiswahili.
Kama kuna wapambe wake au ndugu zake humu wamuambie next time ALAONGEE Kiswahili tu kuliko kujichoresha hivyo!!
Kama huwezi kutofautisha l na r basi isiongee kwenye public. Inapoteza ladha kwa wasikilizaji
Maana yake inavuruga sana kichwa yaani sijui anamaanisha ulimi wake uko nje ya mwili hata sijui. Halafu hata waliokuwa wakimwanamsikiliza walishikilia vichwa vyao lah ilikuwa chekechea anajaribu kusoma alichofundishwa na Mwalimuye.Ukisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Mdomo ulikuwa hauna connection na kichwaMaana yake inavuruga sana kichwa yaani sijui anamaanisha ulimi wake uko nje ya mwili hata sijui. Halafu hata waliokuwa wakimwanamsikiliza walishikilia vichwa vyao lah ilikuwa chekechea anajaribu kusoma alichofundishwa na Mwalimuye.
Kusoma na kuandika kiingereza sio sawa na kuongea,Despite the significant economic challenges in Tanzania, the use of Kiswahili contributes to exacerbating existing problems.
For example, major contracts are written in English, and many ministers do not have a good command of the language.
The country's laws are also written in English, and the inability of leaders to speak English fluently is a matter that should be addressed rather than ignored.