Kuna msomi aliyesoma kwa Kimatumbi? Haiwezekani ukasoma hadi masters degree kisha usijue Kiingereza ilhali tangu kidato cha kwanza unaitumia lugha hiyo.
π
Alirukaje kutoka elimu shule ya Msingi mpaka akapata kusoma diploma ya njia ya posta?To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
ha ha ha ha , astaghafululah!Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
PIA SOMA
- Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!
Yule nae mjanja mjanja tu alinukuliwa kwenye kongamano fulani U.S akiwa anaongea na Mbongo ambae kalowea kule na ambae ni Daktari wa Figo mzee wako akawa anatoa macho anaitilaitika na kubung'aa tu,Angeenda mzee wa katiba na sheria, angekimanya kimalikia vizuri bila tashwishwi na mawaa
Tuwaulize waliomwandalia hotuba hiyo.Kwa nini hakuongea Kiswahili?
Hapana ni MgomaNi Magoma sio Mgoma
Ni aibu taaluma ya afya kupewa waziri mwenye elimu ya diploma chuo Cha ualimu .. anajua nini kuhusu afya.. nakumbuka Rais museveni akisikiliza hotuba kutoka kwa waziri wake wa afya anaongea akijiamini kwakuwa anajua taaluma yake.. huku Tanzania waziri anasimamia sera tu basi na uchawa katika chamaTo her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570
Yaani hajui kwamba anaitwa chairmanIntro kama hiyo angeimeza tu ,kulikuwa hakuna haja ya makaratasi.
Ila Kinge ni noma sana aisee ,ukimuona akitema kiswahili yaani anatirika hatari lakini ikija Kinge utamuonea huruma michapio kama yote wakati anasoma on behalf of ma self ,senki you vere mache mr chea and all contestants who contested.
Sasa wewe usie slave hicho kinge hapo umeweka cha nini? Tatizo la uslave ni letu na wewe ukiwemo.Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Hii naikumbuka.Tukumbushie na ile ya South Africa ya kwamba "Tanzania is union of Zimbabwe and Mafia" oh!! No, sorry!! It is Zambia and Pemba
Najaribu kuvuta kumbukumbu nasahau jina lake ila naye alikuwa waziriHii naikumbuka.
Ila nimesahau aliyeongea maana ni miaka ishapita na mambo yashakuwa mengi.
Nimeweka ili nyinyi slave muelewe!Sasa wewe usie slave hicho kinge hapo umeweka cha nini? Tatizo la uslave ni letu na wewe ukiwemo.
Na kuna kipindi ilikua inatumika kwenye kampeni kama kichekesho hasa upande wa chadema.Najaribu kuvuta kumbukumbu nasahau jina lake ila naye alikuwa waziri
Wewe ni slave tu kama sisi.Nimeweka ili nyinyi slave muelewe!
Sina shida Sana na hicho kingereza.English sio lugha yetu kukosea ni kawaida.Shida ni R na L.Sipendi mtu achanganye hizo herufi jamani.πππNa kuna kipindi ilikua inatumika kwenye kampeni kama kichekesho hasa upande wa chadema.
Mimi nilishajikomboa. Nilikaa Ulaya kwa muda kuna mzungu akataka kuniletea uslave kidogo nimpoteze!Wewe ni slave tu kama sisi.
Alirukaje kutoka elimu shule ya Msingi mpaka akapata kusoma diploma ya njia ya posta?
Unamkumbuka profesa aliyekuwa waziri wa elimu, alimwambia Mchina, "I will put you in..." akimaanisha atamsweka rumande! πMnamuonea Jenny,
Kuna mwamba alikuwa ni 'Prezzo' kabisa lakini kwa mujibu wa Lissu,
Nanukuu na kwa tafsiri isiyo rasmi,
'Hawezi hata kutengeneza sentensi moja iliyonyooka ya Kiingereza kwa usahihi' kumbuka wasifu wake ni 'Doktori'
Hii Nchi ina maruweruwe yake jamani.
Prefesa wa Hesabu Prof. NdalichakoUnamkumbuka profesa aliyekuwa waziri wa elimu, alimwambia Mchina, "I will put you in..." akimaanisha atamsweka rumande! π