dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Kuna msomi aliyesoma kwa Kimatumbi? Haiwezekani ukasoma hadi masters degree kisha usijue Kiingereza ilhali tangu kidato cha kwanza unaitumia lugha hiyo.
😁
Mnamuonea Jenny,
Kuna mwamba alikuwa ni 'Prezzo' kabisa lakini kwa mujibu wa Lissu,
Nanukuu na kwa tafsiri isiyo rasmi,
'Hawezi hata kutengeneza sentensi moja iliyonyooka ya Kiingereza kwa usahihi' kumbuka wasifu wake ni 'Doktori'
Hii Nchi ina maruweruwe yake jamani.