π€£πAlikuwa ni Philip Mlugo, Naibu Waziri wa elimu wakati huo!.
Umenenahuku investment kubwa ni UCHAWA
Shekhe wallah wanitafutia ubaya mie πUNGEMTAJA KABISAAAAA INGEPENDEZA SANA YULE ZE ZE ZE ZE
ππππππMuacheni dada jeni jamaniπ€£π€£
Watajua wenyewe hayanihusuHuyu ni wa ...Utamaduni na Michezo huko.
Aliyekwambia wanaojua Kiingereza hawalambi asali nani!?
Rudi shule.Matumizi ya r na L yanasumbua wtz wengi.Mimi mwenyewe binafsi huwa yananichanganya.wajuvi wa kiswahili tufafanulieni matumizi ya r na L.
Mwalimu wako wa kiswahili akiona hii comment yako atasikitika sanaMatumizi ya r na L yanasumbua wtz wengi.Mimi mwenyewe binafsi huwa yananichanganya.wajuvi wa kiswahili tufafanulieni matumizi ya r na L.