Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hiki kwenye clip ni edit?Mhe. Jenista aliongea kiingereza kizuri na kilichonyyoka. Mimi nilimsikia A to Z.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kwenye clip ni edit?Mhe. Jenista aliongea kiingereza kizuri na kilichonyyoka. Mimi nilimsikia A to Z.
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Huko juu mimi namfagilia sana maza,anaflow vizuri sana...Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Ni siri baina yake na wateuzi/wanaopelekea kuteuliwa kwake.Huyu mama huzipa nini mamlaka za uteuzi? Mbona mweupe lakini haachwi
Kwa nini hakuongea Kiswahili?Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Si angetumia Kiswahili tu..Watanazania hii lugha iliyokuja na majahazi ni changamoto kwa waliowengi...Wengine tuwachie Mhe Rais na Spika ndio wanaiweza hiyo lugha...Waziri ni kiongozi mmoja mzuri sana Ila amekipendenda kiingereza na kiingereza kimemkataa..Angeongea kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili angeweza sana na angekuwa amekitangaza Kiswahili..Tukipende Kiswahili viongoziNimefungua kwa speed baada ya kichwa cha habari nikitarajia madini.
Duh, hata mimi mnyakyusa wa Bujonde najitahidi kuliko yeye😃😃😃.
Hapana kiingereza Cha mteuzi kimenyooka sana.. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniHilo guluguja haliwezi kitu. Mind you, karibu mawaziri wote wako hivyo. Na anayewateua pia.
Rudi kwenye mada acha chuki..Watanzania tupendane..unayosema unaweza kuambiwa uyathibitishe ukashindwa Ila unasukumwa tu na chuki..Tupendane ndugu zangu..Sina ugeni na huyu mama, ukimuona kanisani pale matogoro, anakaa seat ya mbelee utasema ni malaikaa, kumbe ni shetanii mkubwaaa.
Linakazi ya kuua ndugu zake ili liwepo madarakani, huwezi kulitenganishaa na uchawi, na ulozi, linavyopenda kuwahadaa wazee wamtambikiee.
Linakera na kuboa hili limama, linachefuaa kwani hata kulitazamaa, mxxxiiiiieeeew zake.
Wamrudishe tu Ummy..
🤣Kawambwa!
Kwa kujieleza kiswali yupo vizuri sana..Hilo halina Shaka..Ila swali kwanini atumie lugha ya Kiingereza..???Kwani hata angeongea Kiswahili unafikiri angejieleza vizuri zaidi ya hivyo?
Teuzi za Tanzania zinategemea unasmile vipi kwa wakubwa, nashangaa yule jamaa wa "Samia awabubujisha machozi wamasai" hawamuoni kabisaMtu amekuwa waziri wa wizara tofauti kwa karibu miaka 20 unataka kusema huko serikalini na hiyo mamlaka ya teuzi haijui uwezo na limitations zake.
Shida sio Jenista uwezo wake sio siri kwenye jamii, shida ni watu wanaompa wizara kubwa.
Mind you huko afya atakuwa anakutana na wageni wa kimataifa mara kwa mara ambao lazima ateme un’gen’ge kwenye maongezi na mipango.
HAPA NDIO MAKOSA YA WENGI SANA,UKISEMA KWA NIABA MEANS ON BEHALF SASA HUWEZI KUINGIA KWENYE NAFASI HIYO AMBAYO NI NAFSI YA TATUUkisema "on my own behalf" unataka kumaanisha nini?? Huwa sielewi kitu kwa kweli
Sasa mie nimchukie Jenny kwanini? Na akati mbunge wa jimbo langu.Rudi kwenye mada acha chuki..Watanzania tupendane..unayosema unaweza kuambiwa uyathibitishe ukashindwa Ila unasukumwa tu na chuki..Tupendane ndugu zangu..
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Second language....ila anaelewekaHii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Hoja nzuri sana hii.....japo uwaziri ni cheo cha kisiasa tu ila taaluma ni muhimu sana ikizingatiwa.To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.
View attachment 3081568View attachment 3081569
View attachment 3081570