Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Huyu mama huzipa nini mamlaka za uteuzi? Mbona mweupe lakini haachwi
Ni siri baina yake na wateuzi/wanaopelekea kuteuliwa kwake.

1724946838795.png
 
Nimefungua kwa speed baada ya kichwa cha habari nikitarajia madini.

Duh, hata mimi mnyakyusa wa Bujonde najitahidi kuliko yeye😃😃😃.
Si angetumia Kiswahili tu..Watanazania hii lugha iliyokuja na majahazi ni changamoto kwa waliowengi...Wengine tuwachie Mhe Rais na Spika ndio wanaiweza hiyo lugha...Waziri ni kiongozi mmoja mzuri sana Ila amekipendenda kiingereza na kiingereza kimemkataa..Angeongea kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili angeweza sana na angekuwa amekitangaza Kiswahili..Tukipende Kiswahili viongozi
 
Sina ugeni na huyu mama, ukimuona kanisani pale matogoro, anakaa seat ya mbelee utasema ni malaikaa, kumbe ni shetanii mkubwaaa.

Linakazi ya kuua ndugu zake ili liwepo madarakani, huwezi kulitenganishaa na uchawi, na ulozi, linavyopenda kuwahadaa wazee wamtambikiee.
Linakera na kuboa hili limama, linachefuaa kwani hata kulitazamaa, mxxxiiiiieeeew zake.
Rudi kwenye mada acha chuki..Watanzania tupendane..unayosema unaweza kuambiwa uyathibitishe ukashindwa Ila unasukumwa tu na chuki..Tupendane ndugu zangu..
 
Mtu amekuwa waziri wa wizara tofauti kwa karibu miaka 20 unataka kusema huko serikalini na hiyo mamlaka ya teuzi haijui uwezo na limitations zake.

Shida sio Jenista uwezo wake sio siri kwenye jamii, shida ni watu wanaompa wizara kubwa.

Mind you huko afya atakuwa anakutana na wageni wa kimataifa mara kwa mara ambao lazima ateme un’gen’ge kwenye maongezi na mipango.
Teuzi za Tanzania zinategemea unasmile vipi kwa wakubwa, nashangaa yule jamaa wa "Samia awabubujisha machozi wamasai" hawamuoni kabisa
 
Rudi kwenye mada acha chuki..Watanzania tupendane..unayosema unaweza kuambiwa uyathibitishe ukashindwa Ila unasukumwa tu na chuki..Tupendane ndugu zangu..
Sasa mie nimchukie Jenny kwanini? Na akati mbunge wa jimbo langu.
Haya turudi kwenye mada, je kapuyanga au hajapuyangaa?
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
To her defense, anaeleweka hiyo ni accent tu ambayo kila mtu anayo hata mizungu ikiongea Kiswahili itaongea kwa lafudhi yao. Mawaziri wa afya nchi zingine zote ni madaktari ila huyu elimu yake ya kuunga unga tu ila kila siku anapewa wizara mpya sijui anafanya nini ambacho wengine hawawezi.


View attachment 3081568View attachment 3081569

View attachment 3081570
Hoja nzuri sana hii.....japo uwaziri ni cheo cha kisiasa tu ila taaluma ni muhimu sana ikizingatiwa.
 
Back
Top Bottom