Wewe ndiwe haitakusaidia unayejua sheria!
Umebakia kuruka na kujukanyaga kama mwenye
Magonjwa Matambuka. Huku ukiangalia sehemu hii kama uko kwenye kumtolea mpendwa heshima za mwisho:
D. UONGOZI WA CCM NI OVYO
Hivi tunaweza jilinganisha kipi na majirani kama Kenya, ni kitu gani tumefanya vizuri kuliko wakenya? Niambieni kimoja tu tunachofanya vizuri , Kuna wanaosema kwamba hatuna ukabila Tanzania, sasa nenda chuo kikuu DARE ES SALAAM,ukaone ni kina nani wanakuwa maprofesa pale, Kisha rudi niambie hatuna ukabila
Makonda (Katiba Mwenezi CCM), Kingai (DCI) na Wambura (IGP) ni mharifu, Wamefanya mambo ya kikatili sana, Makonda ameshiriki sana kuumiza watu na kutengeneza kesi za uongo, Yeye Kingai na Wambura kesi zangu zote walikuwa wanahusika nazo, Nilikuwa nakamatwa popote Tanzania na kupelekwa kwa Kingai ambaye alinipeleka kwa Wambura, Hivi teuzi za watu wa ovyo zimeanza kitambo, Samia amekuwa akiteua watu wenye tuhuma za uharifu, kurudi kwa Makonda tujipange kutakuwa na ukatili mkubwa sana. Tunatakiwa kujiandaa sana, kutakuwa na mambo mabaya, kutakuwa na giza siku za mbeleni
Kuna wakati CCM ilikuja na VISION 2025 kuna nini wamefanya? wameandika mambo mengi ya uongo pale ndani, sasa wamekuja na VISION 2050 pia wamejaza uongo mtupu, wamekuwa watu wakuandika mauongo kila siku
----
Kazi ipo.