Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
kwa nini hawez kurudi?Hana cha kupoteza anajua bungeni hawezi kurudi tena
wapiga kura wake hawampendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini hawez kurudi?Hana cha kupoteza anajua bungeni hawezi kurudi tena
Mpina ni mental caseLUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa kichina kinyume na sheria za nchi.
Amezungumzia makato makubwa waliyowekewa wakulima wa mazao kama pamba, choroko, mbaazi na kusababisha kunufaisha walanguzi na wakulima kubaki masikini, Amezungumia suala la viongozi ambao siyo raia wa Tanzania hali inayochangia kushamiri kwa rushwa, wizi, ufisadi wa mali za umma na kuwaonea wananchi wakiamini kuwa hii sio nchi yao na siku yoyote wataondoka kurudi makwao. KWA KIREFU Hotuba ya masaa saba imewafumbua macho watanzania wengi ambao wako gizani wakishabikia mipira ya simba na yanga huku taifa lao likizidi kutafunwa na kikundi cha watu huku watanzania wengi wakilia umasikini wa kutupwa.
Pia nilipomsikiliza anasema hotuba yake hiyo wakati akiiandaa amezingatia pia ushauri uliotolewa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mbunge Kishimba, Mzee Kasori, Rostam Aziz, Mzee Charles Gishuli, Mzee Christopher Liundi, Padri Kitima na watanzania wengine wa kada mbalimbali.
Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
Watakua wapumbavu sana wakimkata jina lake; watapoteza sana kanda ya ziwa.Hana cha kupoteza anajua bungeni hawezi kurudi tena
kakudanganya nani?Hana cha kupoteza anajua bungeni hawezi kurudi tena
Labda wamkate kwenye kura za maoni maana ndiyo silaha yao kubwa kuwazibia midomo wasema ukweli. Hili lichama limechakaa sana eti ile nyara toka hifadhi ya Gombe ndiyo Makamu Mwenyekiti Taifa, hovyo kabisa haya majitu.MPINA Bungeni atarudi Kwa kishindo kikubwa sana.
Duh...!. Ukiona mtu anazungumza zaidi ya 2 hrs, ujue anahitaji msaada wa afya ya akili!, masaa 7!, huyu atakuwa tayari ni.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
Waandishi wa habari kama wewe unafanyaje kazi Yako mtumishi wa MUNGU?Duh...!. Ukiona mtu anazungumza zaidi ya 2 hrs, ujue anahitaji msaada wa afya ya akili!, masaa 7!, huyu atakuwa tayari ni.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Mkuu mimi naona wanao msikiliza hapo ndio wenye shida zaidi. Bahati mbaya ndio wengi kwa nyakati hizi na mazingira ya kisiasa.Duh...!. Ukiona mtu anazungumza zaidi ya 2 hrs, ujue anahitaji msaada wa afya ya akili!, masaa 7!, huyu atakuwa tayari ni.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Watamkata kura za maoni hatoboi.Ubunge ni uwakilishi wa wananchi sio matakwa ya mtu wananchi wenyewe ndio wanajua walichomtuma bungeni mwakilishi wao hata kama machawa hawampendi wananchi hao wanamhitaji na ndio mamlaka ya mbunge
Niko kinyume na maoni yako mkuu. Je yule shehe aliyewahi kusema Quran inakataza nchi kuongozwa na mwanamke ulicomment chochote? Wapi Mpina kataja dini ya mtu ? Tunaridhika na tunanufaika vipi kwa kuwafukuza raia wetu kwenye makazi na ardhi yao na kuwapa wageni ? Unaijua sera ya uwekezaji ya nchi za uarabuni na China ? Je unafanamu kuwa uarabuni huwezi hata Kufungua kibanda cha biashara kama hujashirikiana na raia wa nchi yao ? Je unajua kuwa uarabuni ziko degree huwezi kusoma hata kama umezaliwa kwao na baba aliye raia wa nchi ya kigeni.Huyu mheshimiwa alilifungulia bunge kesi tatu za madai na mbili keshashindwa tayari bado hiyo moja.
Anasumbuliwa na roho ya chuki kwa Samia, aidha kwa kuwa ni mwanamama anayeiongoza TZ baada ya kifo cha JPM au ni kwa sababu ya dini ya kiongozi mkuu kuwa sio sawa na ya kwake, Akili zake ni zile zile za Ndugai spika mstaafu.
Wanasiasa wanaoishi na maumivu ya moyoni, anasema watu wasiokuwa raia wanaifaidi nchi hii, kasahau kuwa sera za SSH ni kuifungua nchi hii ili isiendekeze sera za kujifungia ndani huku tukijisifia kwamba Mungu katupatia kila rasilimali.
Na kusema kwamba wageni wanafaidi ni sehemu tu ya hasira zake za kushindwa hizo kesi kule bungeni, kwa ufupi jamaa ni mkosaji.
Nakubaliana weweDuh...!. Ukiona mtu anazungumza zaidi ya 2 hrs, ujue anahitaji msaada wa afya ya akili!, masaa 7!, huyu atakuwa tayari ni.... Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Ulitaka iwe ya muda gani,LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa kichina kinyume na sheria za nchi.
Amezungumzia makato makubwa waliyowekewa wakulima wa mazao kama pamba, choroko, mbaazi na kusababisha kunufaisha walanguzi na wakulima kubaki masikini, Amezungumia suala la viongozi ambao siyo raia wa Tanzania hali inayochangia kushamiri kwa rushwa, wizi, ufisadi wa mali za umma na kuwaonea wananchi wakiamini kuwa hii sio nchi yao na siku yoyote wataondoka kurudi makwao. KWA KIREFU Hotuba ya masaa saba imewafumbua macho watanzania wengi ambao wako gizani wakishabikia mipira ya simba na yanga huku taifa lao likizidi kutafunwa na kikundi cha watu huku watanzania wengi wakilia umasikini wa kutupwa.
Pia nilipomsikiliza anasema hotuba yake hiyo wakati akiiandaa amezingatia pia ushauri uliotolewa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mbunge Kishimba, Mzee Kasori, Rostam Aziz, Mzee Charles Gishuli, Mzee Christopher Liundi, Padri Kitima na watanzania wengine wa kada mbalimbali.
Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
nilisikilza mwanzo mwisho nimelia kwa uchungu sana hiyo speech inabidi ifike vyuo vikuu vyote ikafanyiwe uchambuzi wasomi waone namna nchi yao inavyoliwaLUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa kichina kinyume na sheria za nchi.
Amezungumzia makato makubwa waliyowekewa wakulima wa mazao kama pamba, choroko, mbaazi na kusababisha kunufaisha walanguzi na wakulima kubaki masikini, Amezungumia suala la viongozi ambao siyo raia wa Tanzania hali inayochangia kushamiri kwa rushwa, wizi, ufisadi wa mali za umma na kuwaonea wananchi wakiamini kuwa hii sio nchi yao na siku yoyote wataondoka kurudi makwao. KWA KIREFU Hotuba ya masaa saba imewafumbua macho watanzania wengi ambao wako gizani wakishabikia mipira ya simba na yanga huku taifa lao likizidi kutafunwa na kikundi cha watu huku watanzania wengi wakilia umasikini wa kutupwa.
Pia nilipomsikiliza anasema hotuba yake hiyo wakati akiiandaa amezingatia pia ushauri uliotolewa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mbunge Kishimba, Mzee Kasori, Rostam Aziz, Mzee Charles Gishuli, Mzee Christopher Liundi, Padri Kitima na watanzania wengine wa kada mbalimbali.
Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
Magufuli angemteua mgombea mwenza mwanaume leo hii tusingekuwa na Rais Samia pale ikulu.Niko kinyume na maoni yako mkuu. Je yule shehe aliyewahi kusema Quran inakataza nchi kuongozwa na mwanamke ulicomment chochote? Wapi Mpina kataja dini ya mtu ? Tunaridhika na tunanufaika vipi kwa kuwafukuza raia wetu kwenye makazi na ardhi yao na kuwapa wageni ? Unaijua sera ya uwekezaji ya nchi za uarabuni na China ? Je unafanamu kuwa uarabuni huwezi hata Kufungua kibanda cha biashara kama hujashirikiana na raia wa nchi yao ? Je unajua kuwa uarabuni ziko degree huwezi kusoma hata kama umezaliwa kwao na baba aliye raia wa nchi ya kigeni.
Kuna chungu kimekaa juu ya mafiga mawili bila ya kuzingatia mambo ya expansion na contraction, by the way hao consultants wake ni watu makini ila unapoingiza rost tamu kwenye mazungumzo nyeti kama hayo ni kuingiza msiooga ambalo ni chanzo kikubwa cha matatizo ya nchi hiiPia nilipomsikiliza anasema hotuba yake hiyo wakati akiiandaa amezingatia pia ushauri uliotolewa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mbunge Kishimba, Mzee Kasori, Rostam Aziz, Mzee Charles Gishuli, Mzee Christopher Liundi, Padri Kitima na watanzania wengine wa kada mbalimbali.
Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
Hotuba gani masaa 7???LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa kichina kinyume na sheria za nchi.
Amezungumzia makato makubwa waliyowekewa wakulima wa mazao kama pamba, choroko, mbaazi na kusababisha kunufaisha walanguzi na wakulima kubaki masikini, Amezungumia suala la viongozi ambao siyo raia wa Tanzania hali inayochangia kushamiri kwa rushwa, wizi, ufisadi wa mali za umma na kuwaonea wananchi wakiamini kuwa hii sio nchi yao na siku yoyote wataondoka kurudi makwao. KWA KIREFU Hotuba ya masaa saba imewafumbua macho watanzania wengi ambao wako gizani wakishabikia mipira ya simba na yanga huku taifa lao likizidi kutafunwa na kikundi cha watu huku watanzania wengi wakilia umasikini wa kutupwa.
Pia nilipomsikiliza anasema hotuba yake hiyo wakati akiiandaa amezingatia pia ushauri uliotolewa na Mzee Warioba, Mzee Butiku, Mbunge Kishimba, Mzee Kasori, Rostam Aziz, Mzee Charles Gishuli, Mzee Christopher Liundi, Padri Kitima na watanzania wengine wa kada mbalimbali.
Swali la muhimu Hotuba ya Masaa 7 ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?
Tunaomba linkLUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa kichina kinyume na sheria za nchi.