For real, the guy is statesman.Na uzuri haongei Kwa jazba, anaongea Kwa utulivu mkubwa, hapo ndipo ilipo tofauti ya Mbowe na Tundu Lisu.
Mbowe ni charismatic leader God given, ni pure statesman.
Nasikiaga baba yake wa ubatizo ni Nyerere.
Povu la Nini, mbona wale wengine ukuwaambia hivyo?
katika walioongea wote ni mbowe peke yake aliyepigiwa makofiHaikuwa na haja ya kuficha,saizi Mbowe ndiyo amekula headlines sasa 😀😀
Inaumiza sanaHivi CCM hakuna hata mmoja mwenye afadhali? Hizi aibu zina ulazima gani?
Sijui huwa wanafikiria nini lakini hata mm nilishangazwa kutosikia yeye kugombea Urais na kuwa candidate tofauti na CCM kupata Kura 6m+........Sema jamaa ametumia fursa vizuri sana. Yaani mpaka waalikwa wakapiga makofi maana amegonga kwenye mfupa.
Kinachotokea ni kwamba ccm wanaona watanzania wengine wote ni wajinga , na kimsingi anayedhani watanzania ni wajinga tayari ni kichaa , hata kama kavaa sutiHivi CCM hakuna hata mmoja mwenye afadhali? Hizi aibu zina ulazima gani?
Halafu utulivu wa Mbowe unalipa sana, anakugonga nyundo bila kukutukana.Sema jamaa ametumia fursa vizuri sana. Yaani mpaka waalikwa wakapiga makofi maana amegonga kwenye mfupa.
Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepoHivi CCM hakuna hata mmoja mwenye afadhali? Hizi aibu zina ulazima gani?
Kati ya hotuba nzuri zilizojaa busara, weledi, ukweli na weledi wa kisiasa basi ni hii ya leo kule Longido ambapo Mheshimiwa Freeman Mbowe amezungumza juu ya ukweli wa maisha ya kisiasa ya hayati Lowassa.
Hotuba hii iliyojaa ujasiri mkubwa imegusa watu wengi na kujikuta wakipiga makofi mengi kwa Mh Mbowe. Mbowe amemtaja Lowassa kama mgombea urais wa CHADEMA aliyeipaisha demokrasia ya nchi na kuwaweka wapinzani katika ramani mpya ya siasa, kuwezesha wabunge zaidi ya 120 wa upinzani na madiwani zaidi ya 2,000 kutoka upinzani ikiwa ni karibu nusu ya madiwani wote nchini.
Mbowe amehoji kwanini ukweli huu unafichwa? Huu ni unafiki wa kisiasa. Mbowe amemtaja Lowassa kama mhanga wa mifumo hovyo ya kidemokrasia nchini.
Hongera sana Freeman Mbowe kwa ujasiri huu!
Kwasababu Viongozi wakuu wote hapo wapo,hiyo ni ngumi ya kidevu,haina mvumilivu,lazima ukae chini hata uwe mgumu vp..... namsubilia Samia atasemaje kwenye salamu zakekatika walioongea wote ni mbowe peke yake aliyepigiwa makofi
Leo ccm kimewaramba. Wanaandika history fake.Mhe Mbowe amezitendea haki dakika 6 alizotumia katika kutoa salaam katika mazishi ya Hayati Edward Lowassa, kijijini Ngarash Monduli.
Mhe Mbowe anasema, huwezi kuielezea historia ya Hayati Edward Lowassa bila kuitaja Chadema.
Dakika sita za Mbowe zimeniletea hisia kali hadi nimetoa machozi.
Asante sana Mhe Mbowe
Kwa hiyo iligundulika baada ya kuwa udhalilishaiji ulishatokea......???Iligundulika kuwa ufisadi wake ni wa kimfumo ndani ya CCM na siyo wake binafsi.
Wewe unadhani Ile ishu ya Richmond aliweza kuifanya bila ya ruhusa ya Rais wa wakati ule Jakaya Kikwete kuhusika??
Au unadhani zile bilioni 360 ingewezekana kutolewa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow bila ya ruhusa ya Ikulu chini ya Jakaya Kikwete??
Umeshasahau kuwa Jakaya alisema zile Hela za Tegeta Escrow hazikuwa za Umma?? Unadhani alisema vile bila ya kuwa na sababu za msingi kujilinda??
Historia haipindishwiHistoria ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo
Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema
Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Na kwenye shukrani familia inawatambuwa wengi na Kwa kipekee mama Samia, ila jina la Kikwete halijatajwa popote, Huyu Mzee ajitafakari atubu mapema kabla hajafa.Sijui huwa wanafikiria nini lakini hata mm nilishangazwa kutosikia yeye kugombea Urais na kuwa candidate tofauti na CCM kupata Kura 6m+........
Kuna haja gani ya kuficha kitu ambacho kinajulikana? Kwani mkisema aligombea kupitia chadema mtapungukiwa nini?Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo
Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema
Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Wendawazimu waleHivi CCM hakuna hata mmoja mwenye afadhali? Hizi aibu zina ulazima gani?