Kajinyonge sasaRIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii? Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama. Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya...www.jamiiforums.com
Naona umemliza zamu yako ya kulinda kaburiYaani wao kila kitu wanasapoti tu kama nyumbu[emoji1787]
Na ukiwakosoa watakutukana hadi basi,hiyo ndiyo shida ya bavicha.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umemliza zamu yako ya kulinda kaburi
Sema leo haupo zamu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndipo nmnaponishangaza nyie chadema..
Mmezidisha mno ushabiki ..
Yaani nyie na mataga ni walewale tofauti majina tu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huyu amejiondoa ufahamu tangu Mama aingie,na kuna kitu kinamsukuma kuwa hivyo imani yake.Yaani kwa ule muelekeo wa bunge la Katiba Chadema kususa unashangaa?
Kutoka kuondoa rasimu ya Warioba na kuweka rasimu ya Chenge bado unashangaa?
Kutoka kumbadilisha spika Sitta na kumuweka Chenge bado unashangaa?
Yaani hukuiona kabisa nia ovu ya CCM kutaka kuhodhi lile bunge?
Utakuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya siasa zetu tofauti na nilivyokudhania.
Ikifika zamu ya Jingalao au Wakudadavua niambie nataka nikanyee pale.Leo nasikia ni zamu yako ya kulinda kaburi!
Ya kulinda kaburi la mungu wenu
Kajinyonge sasa
Wewe nani ndani ya nchi hii?ndo utulize kipele sasa na muendelee na msimamo wenu ivo ivo msishiriki uchaguzi wowote
Jihadhari mkuu hao jamaa wana hasira sana alafu wanatumia mishale yenye sumu.Ikifika zamu ya Jingalao au Wakudadavua niambie nataka nikanyee pale.
Ya kulinda kaburi
Mbona unauliza?Ya kulinda kaburi
Kudadadeeeeki kweli mataga mmevurugwa baada ya kuondokewa na mfadhili wenu.Kwa ujinga wako na tamaa ya ubwabwa nadhani ungempigia tu lungwe bila kujua
Maana nyi watoto wa kitaa kula wali ni shida
Kwani wapinzani wakichukua nchi ni dhambi! Au unataka kusemajeWatu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Tutampigia jiwempigieni kura za ndio lowasa akishika dola hatakua fisadi tena, mmeniskia uko ufipa?
Wanga wanini wakati kuna corona?
Kwa mujibu wa maccm chama kingine kuchukua ungozi wa nchi ni dhambi kubwa.Kwani wapinzani wakichukua nchi ni dhambi! Au unataka kusemaje
Nenda kawange maana naona unaulizia sana.Wanga wanini wakati kuna corona?
Corona inatosha sana