Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Yaani kwa ule muelekeo wa bunge la Katiba Chadema kususa unashangaa?

Kutoka kuondoa rasimu ya Warioba na kuweka rasimu ya Chenge bado unashangaa?

Kutoka kumbadilisha spika Sitta na kumuweka Chenge bado unashangaa?

Yaani hukuiona kabisa nia ovu ya CCM kutaka kuhodhi lile bunge?

Utakuwa na uelewa mdogo sana wa masuala ya siasa zetu tofauti na nilivyokudhania.
Huyu amejiondoa ufahamu tangu Mama aingie,na kuna kitu kinamsukuma kuwa hivyo imani yake.
 
ndo utulize kipele sasa na muendelee na msimamo wenu ivo ivo msishiriki uchaguzi wowote
Wewe nani ndani ya nchi hii?
Nyie mambo yenu yashaisha tangu mwezi wa tatu.

Kaeni kimya watu waongoze nchi ili nanyi mjifunze.

Zamu yenu ishapita hiyo na hairudi kamwe maana makosa hayawezi kurudiwa kamwe.
 
Kwa ujinga wako na tamaa ya ubwabwa nadhani ungempigia tu lungwe bila kujua
Maana nyi watoto wa kitaa kula wali ni shida
Kudadadeeeeki kweli mataga mmevurugwa baada ya kuondokewa na mfadhili wenu.

Sasa mmeanza kutwangana spana wenyewe kwa wenyewe.
 
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Kwani wapinzani wakichukua nchi ni dhambi! Au unataka kusemaje
 
Back
Top Bottom