Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kajinyonge sasaRIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama
Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii? Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama. Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya...www.jamiiforums.com