Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ile ni mipasho mmeambiwa mkaanzia grass root ndiko ccm walipo wewe lete sifa na mapambio tu!Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi , Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu .
Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha ...
Angalau umesikia japo 1% tunakushukuruIle ni mipasho mmeambiwa mkaanzia grass root ndiko ccm walipo wewe lete sifa na mapambio tu!
Karibu sanaWewe Jamaa huwa unatoa habari kwa sauti ya Juu na chini with Good content..
Chadema ni ya woteMbowe ndio CHADEMA, na Chadema bila uwenyekiti wa Mbowe gia hazitaingia na ndege haitaruka
HakikaKila wakati Mbowe ni Bora sana
Nje ya madaHivi yule mbunge wa viti maalum aliezaa nawe Joyce Mukya yuko wapi?
Hakuna Tajiri ambaye ni ChawaKweli Chawa hana Gamba wala Gwanda
Nami naunga mkono kwa hotuba hiyo.Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu.
Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha , basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi anayoitoa Mungu Mwenyewe kwa Wanadamu aliowachagua mwenyewe , kama hukuchaguliwa kuwa kiongozi na Mungu achana na uongozi.
Kwa hotuba ile nathibitisha hadharani kwamba Mbowe amewekwa Wakfu na Mungu kuwa kiongozi.
Timu yangu ya IT inajitahidi kuwawekea Video ili wenyewe msikie na kupima.
bagamoyo
...ukweni...Mbowe ndio CHADEMA, na Chadema bila uwenyekiti wa Mbowe gia hazitaingia na ndege haitaruka
Hakika....Kila wakati Mbowe ni Bora sana
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Hakuna Tajiri ambaye ni Chawa
Dr.Slaa haaminiki/hatabiriki kama TL....Dr.Slaa alisema Mbowe ni gaidi