Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu.

Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha , basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi anayoitoa Mungu Mwenyewe kwa Wanadamu aliowachagua mwenyewe , kama hukuchaguliwa kuwa kiongozi na Mungu achana na uongozi.

Kwa hotuba ile nathibitisha hadharani kwamba Mbowe amewekwa Wakfu na Mungu kuwa kiongozi.

Timu yangu ya IT inajitahidi kuwawekea Video ili wenyewe msikie na kupima.

bagamoyo
Hotuba aliyokiri kuwa chadema haina uwezo wa kufanya lolote bila CCM?
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mh.Kamarada F.Mbowe ni tajiri na bado hakuacha "uchawa" kwa LAIGWANAN.....

Pale ngome Mbezi Beach kila kitu alikuwa ni Laigwanan.....[emoji1787]

Akazidisha mno maombi....mpaka ya kusomeshewa watoto wa akina RBC.... Laigwanan akakombwa na kukombeka....wanawe akina F na P wakamwambia " babaaa huyo Chawa M ana kipaji cha kuombaomba" atakumaliza[emoji1787][emoji1787]

Laigwanan akabwaga manyangaaa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Porojo tupu !
 
Muda wote ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli unachekesha walionuna.....

RBC kweli umeshindwa kumpa Mdude ukumbi hapo kwako Desderia ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yes ! Muda wote tangu kuumbwa kwa Tanzania , hakuna kiongozi mwenye hotuba kabambe kama hii ya Mbowe
 
Kiukweli ni kwamba CDM walifanya kazi kubwa ya kisiasa Zanzibar kupitia UKAWA na matokeo yake yalionekana mwaka 2015 pale kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi, mgombea wa UKAWA alipomshinda mgombea wa CCM.

Kiongozi kama Tundu Lissu huwa anakubalika sana Zanzibar kwa kuongelea maslahi ya zanzibar ndani ya muungano bila kujali utanganyika wake.

Ila kwa sasa kutokana na mkataba wa Bandari na lugha zilizotumiwa na baadhi ya viongozi wangu hata kama ni za ukweli lakini M/Kiti ana kazi ngumu sana!

View: https://youtu.be/lPIgq2FfThs?si=6R55pRErF8fRNLU2
 
Chadema walisha sema, kushirikiana na tatu ni mtego wa CCM, CCM wakija wanapaswa tia kwa hao ili kuwavuruga! Just imagine, inashirikiana na Dr. Sala, the CCM wanakuja, anauwezo wa kuwakwepa! Hivyo walipiga mahesabu kwa mbali, wakaona, tukijiingiza kwa Sala, tutalia tena! Na usikute CCM wametuma ili awanase kwa agenda ya Bandari, then awazushie mgogoro kama wa Lipumba!
 
Kumshukuru Mungu kwa kuzuia lile "bulldozer" lisiipitie ile hoteli ungeonesha kwa kumpa ukumbi ndugu yetu Mdude [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umepotezwa maboya na wewe ukapotea , mimi sifanyi biashara ya Hotel , Mimi ni miongoni mwa exporters wachache sana wa kitanzania , ninauza bidhaa nje ya nchi sisi ndio tunaliingizia taifa hili hela za kigeni , kumbuka wabongo wengi , ikiwemo serikali ya ccm , ni waagizaji tu , sisi miamba wachache ndio wapelekaji , nina kiwanda Mbozi Road (kuna wakati walitaka kukihujumu kwa sababu za kiisiasa) lakini walikatazwa kutoka UN , Sijui kama unanielewa

Kwahiyo usidanganywe kibwege , ninayo maduka 5 Kariakoo , lengo langu ni kutoa ajira , si hasa kwa ajili ya kupata faida .

Nilijiunga na Chadema nikiwa London , ambako sisi Diaspora tulikutana na Freeman Mbowe , kwahiyo Mimi na Mbowe hatukuonana Kyela , tumeingia kwenye siasa kusaidia masikini wa Tanzania kujiondoa kwenye makucha ya ccm ili angalau waishi umri waliopangiwa na Mungu , badala ya kufa haraka kwa umasikini

Nimeweka maneno haya ili angalau upate ufahamu kunijua angalau kidogo kuwa mimi ni nani .
 
Back
Top Bottom