Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

Hotuba aliyokiri kuwa chadema haina uwezo wa kufanya lolote bila CCM?
 
Porojo tupu !
 
Yes ! Muda wote tangu kuumbwa kwa Tanzania , hakuna kiongozi mwenye hotuba kabambe kama hii ya Mbowe
 

View: https://youtu.be/lPIgq2FfThs?si=6R55pRErF8fRNLU2
 
Chadema walisha sema, kushirikiana na tatu ni mtego wa CCM, CCM wakija wanapaswa tia kwa hao ili kuwavuruga! Just imagine, inashirikiana na Dr. Sala, the CCM wanakuja, anauwezo wa kuwakwepa! Hivyo walipiga mahesabu kwa mbali, wakaona, tukijiingiza kwa Sala, tutalia tena! Na usikute CCM wametuma ili awanase kwa agenda ya Bandari, then awazushie mgogoro kama wa Lipumba!
 
Kumshukuru Mungu kwa kuzuia lile "bulldozer" lisiipitie ile hoteli ungeonesha kwa kumpa ukumbi ndugu yetu Mdude [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umepotezwa maboya na wewe ukapotea , mimi sifanyi biashara ya Hotel , Mimi ni miongoni mwa exporters wachache sana wa kitanzania , ninauza bidhaa nje ya nchi sisi ndio tunaliingizia taifa hili hela za kigeni , kumbuka wabongo wengi , ikiwemo serikali ya ccm , ni waagizaji tu , sisi miamba wachache ndio wapelekaji , nina kiwanda Mbozi Road (kuna wakati walitaka kukihujumu kwa sababu za kiisiasa) lakini walikatazwa kutoka UN , Sijui kama unanielewa

Kwahiyo usidanganywe kibwege , ninayo maduka 5 Kariakoo , lengo langu ni kutoa ajira , si hasa kwa ajili ya kupata faida .

Nilijiunga na Chadema nikiwa London , ambako sisi Diaspora tulikutana na Freeman Mbowe , kwahiyo Mimi na Mbowe hatukuonana Kyela , tumeingia kwenye siasa kusaidia masikini wa Tanzania kujiondoa kwenye makucha ya ccm ili angalau waishi umri waliopangiwa na Mungu , badala ya kufa haraka kwa umasikini

Nimeweka maneno haya ili angalau upate ufahamu kunijua angalau kidogo kuwa mimi ni nani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…