Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Usibanduke wala kubanduliwa kwenye huu uzi, saa 7 adhuhuri anaanza kuhutubia.Mmmh, Iko wapi sasa?
# MWAMBA TUVUSHEHotuba ya Mwenyekiti wa Chadema (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
# MWAMBA TUVUSHE
Kwa kweli MWAMBA atutoe kwenye hii nchi ya chama kimoja.# MWAMBA TUVUSHE
Kama Membe vile hotuba kutokea nyumbani siyo ofisini.Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
Kwenda Ubelgiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alishazama atawavusha kuwapeleka wapi?
Mwamba haamini macho yake mlichomfanya alipoitisha maandamano 🤣🤣🤣Kwa kweli MWAMBA atutoe kwenye hii nchi ya chama kimoja.
Nchi ya kuchapana bakora, ukoloni mtupu.
Alishazama atawavusha kuwapeleka wapi?
Raia wa kawaida yeyote, hata Wewe, ana haki ya kuongea na taifa lake wakati wowote! Pia ‘binadamu wote ni sawa’, wawe watawala au watawaliwa! Kwa kukujibu swali lako, Mbowe ni Nani, ni mwenyekiti wa chama cha upinzani, (CHADEMA) kinacho ogopwa zaidi Tanzania!Mwelekeo yeye kama nani huyu raia wa kawaida machokumchuzi anashida sana
Chadema nguzo ya Taifa , bila Chadema nchi itayumbaRaia wa kawaida yeyote, hata Wewe, ana haki ya kuongea na taifa lake wakati wowote! Pia ‘binadamu wote ni sawa’, wawe watawala au watawaliwa! Kwa kukujibu swali lako, Mbowe ni Nani, ni mwenyekiti wa chama cha upinzani, (CHADEMA) kinacho ogopwa zaidi Tanzania!
"NI YEYE"Assnte sana kamanda.