Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

bashiru alisema anahitaji dakika 5 tu kuisambaratisha chadema na act vipande vipande, leo hii chadema wanapelekana mahakamani wenyewe kwa wenyewe! kweli siasa tam sana
 
Hadi kufikia hapa, mabandiko zaidi ya 25 yaliyowekwa hapa, hakuna hata moja linaloandika alichosema Mwenyekiti!
Popole anajivunia sana timu yake hii humu JF.

Na hawa jamaa wa CHADEMA, nao hata siku moja hawawastukii hawa wachafuzi, wao nao wanazidi tu kuwashangilia na kuwaweka moto waendeleze uchafuzi zaidi.

Sijui ni sababu zipi huwa zinawafanya wasione ujinga huu na kuupuuza!
Ajira hiyo. Wako kazini!
 
Nimecheka kwa nguvu kinoma, Id ya wiki iliyopita, baada ya Mataga wa zamani kukimbia kutokana na ukata, sasa katibu Mkuu unapambana mwenyewe. Kisha pambano lenyewe unatema pumba za hatari. Kawasaidie wenzako huko kwenye kura maana jiwe analambishwa mchanga vibaya sana.
Mpaka makovu ya kichapo cha mbwa mtu kwenye box la kura yaishe mtakuwa mmenyooka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema wajinga sana! Sasa hivi eti yako busy kuhamasishana kumpigia kura rais wa Ghana huko mtandaoni.
 
Kunavilaza wanajidai kuichukia Chadema na Mbowe lakini wamejichimbia ndani ya Uzi huu kwa kurudiarudia kutuma post bila kujali kuwapa nafasi watu wengine.
 
Kila kukicha afadhali jana yake, aache usaliti
 
Mpaka makovu ya kichapo cha mbwa mtu kwenye box la kura yaishe mtakuwa mmenyooka.
Sisi tuna Id zetu kama kawaida, nyie mnaofungua Id kila siku ili kujitetea ndio tuwaulize ni ushindi upi huo?
 
Sisi tuna Id zetu kama kawaida, nyie mnaofungua Id kila siku ili kujitetea ndio tuwaulize ni ushindi upi huo?
Naona kama hauna hoja za msingi na umekuwa kama mtu uliyekata tamaa. Ngoja nikuache.
 
Naona kama hauna hoja za msingi na umekuwa kama mtu uliyekata tamaa. Ngoja nikuache.

Hoja za msingi ww ndio wa kuzipima wakati ww mwenyewe unaishi kwa kujipendekeza. Nimecheka, yaani bora ukae kimya tu wanaume walioongea.
 
Back
Top Bottom