Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

Idadi ya watanzania inayosoma au kusikiliza hizi habari za mitandaoni za vyama vya upinzani ni aslimia 0.00000001%. Yaani ni sufuri na baada ya muda usiozidi mwaka 1 watanzania watakuwa wamevisahau kabisa vyama hivi isipokuwa ACT huko Zanzibar!
 
akili mfu hiyo
 
..Ujumbe wa Freeman Mbowe ni huu:

1. Aidah Kenan na madiwani hawajavunja sheria za nchi walipokula kiapo kutumikia ubunge na udiwani.

2.Halima Mdee na wenzake wamevunja sheria za nchi, wamejihusisha na JINAI, kwa kuapishwa kuwa wabunge bila kupendekezwa na kuthibitishwa na vikao halali vya chama chao, kama katiba na sheria za Tz zinavyoelekeza.
 
Kulikoni wana Bavicha? Yani Mbowe anatoa hotuba alafu inapotezewa kiasi hiki?

Mbowe alipotoa ile hotuba alitaka vijana wake muishambulie kwa sifa lukuki ili aendelee kusikika! Inakuwaje hotuba ile imepita kimya kimya?

Sijapenda kabisa.
 
Naona magu kaipotezea pia, hajamwagiza Siro amkamate mbowe kwa uchochezi.Kilichosemwa na mbowe ni. Ukweli mchungu.uchafuzi mkuu badala ya uchaguzi mkuu....haahaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwahiyo wewe umeamua kumfanya Mbowe aendelee kusikika? Tanzanian Kuna wenyeviti wa vyama vya upinzani wengi tuu na NI raia wa kawaida tuu Kama Rungwe, Mbowe, shibuda, mrema, mbatia nk.
 
Kulikoni wana Bavicha? Yani Mbowe anatoa hotuba alafu inapotezewa kiasi hiki?

Mbowe alipotoa ile hotuba alitaka vijana wake muishambulie kwa sifa lukuki ili aendelee kusikika! Inakuwaje hotuba ile imepita kimya kimya?

Sijapenda kabisa.
Imepuuzwa na nani???!!!
 
Ingepita kimyakimya usinge iongelea
 
Naona magu kaipotezea pia, hajamwagiza Siro amkamate mbowe kwa uchochezi.Kilichosemwa na mbowe ni. Ukweli mchungu.uchafuzi mkuu badala ya uchaguzi mkuu....haahaa
Mbowe ni baba wa taifa wa pili,nondo zake sio za dunia hii,
 
Naona magu kaipotezea pia, hajamwagiza Siro amkamate mbowe kwa uchochezi.Kilichosemwa na mbowe ni. Ukweli mchungu.uchafuzi mkuu badala ya uchaguzi mkuu....haahaa
Mbowe hana impact yeyote kwa sasa hapa nchini.
Kumkamata ni kumzidishia tu machungu ya kupoteza uchaguzi kwa zaidi ha 90%
 
Back
Top Bottom