Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

bashiru alisema anahitaji dakika 5 tu kuisambaratisha chadema na act vipande vipande, leo hii chadema wanapelekana mahakamani wenyewe kwa wenyewe! kweli siasa tam sana
 
Ajira hiyo. Wako kazini!
 
Mpaka makovu ya kichapo cha mbwa mtu kwenye box la kura yaishe mtakuwa mmenyooka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema wajinga sana! Sasa hivi eti yako busy kuhamasishana kumpigia kura rais wa Ghana huko mtandaoni.
 
Kunavilaza wanajidai kuichukia Chadema na Mbowe lakini wamejichimbia ndani ya Uzi huu kwa kurudiarudia kutuma post bila kujali kuwapa nafasi watu wengine.
 
Kila kukicha afadhali jana yake, aache usaliti
 
Mpaka makovu ya kichapo cha mbwa mtu kwenye box la kura yaishe mtakuwa mmenyooka.
Sisi tuna Id zetu kama kawaida, nyie mnaofungua Id kila siku ili kujitetea ndio tuwaulize ni ushindi upi huo?
 
Sisi tuna Id zetu kama kawaida, nyie mnaofungua Id kila siku ili kujitetea ndio tuwaulize ni ushindi upi huo?
Naona kama hauna hoja za msingi na umekuwa kama mtu uliyekata tamaa. Ngoja nikuache.
 
Naona kama hauna hoja za msingi na umekuwa kama mtu uliyekata tamaa. Ngoja nikuache.

Hoja za msingi ww ndio wa kuzipima wakati ww mwenyewe unaishi kwa kujipendekeza. Nimecheka, yaani bora ukae kimya tu wanaume walioongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…