Hotuba ya mwisho ya Muamar Gaddafi-aliyosema yametokea!

Libya ingekua na nyuklia isingeguswa,cheki nchi zenye nyuklia zinavyowasumbua,wanaishia kuwapa vikwazo tu!
 
Naunga Mkono hoja
 
Bado unazunguka mbuyu,nitajie uhalifu alioufanya Gaddafi kuanzia miaka ya 1994+ hujanipa jibu.
South Africa ni nchi ambayo ina racism na nepotism hata maendeleo ya kule huwagusa sana watu weupe kwasababu hiyo.
Libya ni nchi ambayo wananchi walikua wako farely treated hakuna nepotism wala nini.
Embu jaribu kuifuatilia Libya ya Gaddafi.
Halafu fuatilia vyombo vya habari vya kimataifa kama aljazeera hususan vipindi vya witness na people and power walibya walikiri kwa mdomo wao HAKUNA ZAMA NZURI WATAKAZOZIKUMBUKA KAMA ZA GADDAFI SIO MM NI WALIBYA WENYEWE.
Pia waarabu kupeana majina mabaya kwa kugeukana kisa keki ya taifa ni jambo la kawaida ndio maana nikasema kamfuatilie Gamal Al nasser wa Misri,Muhammed Morsi wa Misri,Babaake Bashar Al asad na kiongozi kabla ya babaake Bashar Al assad wa Syria .
Fuatilia hata mzozo wa Yemen.
Labda kama huzijui nchi za kiarabu ww siasa zake zikoje.
 
Soma historia,ndiye aliyekua mstari wa mbele kutaka taifa la Nigeria ligawanywe kati ya waisalam kaskazini na wakaristo kusini,fanatic yule bora alikufa tena na wanachi wake wenyewe.
Inaelekea hujui Nyerere ndiyo kabisaaa, alitaka Bifara kwa wakatoliki wenzie wawe nchi huru, wajitenge kutoka Nigeria. Na tuliwasaidia hao Biafra kwa hali na mali ila tu walishindwa vita na mpaka sasa wako ndani ya Nigeria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…