Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu

Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress:

"Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki zetu wa Kiarabu. Huu sio mgongano wa ustaarabu. Ili nguvu za ustaarabu zishinde, Umoja wa Nchi na Israeli lazima zisimame pamoja.

View: https://x.com/warintel4u/status/1816179472854638910?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa
 
Yakiwakuta msije sema anauza watoto, Houthi wamebep wamepigiwa wametoa mlio. Irani anajua balaa lake. Siku akifatwa Mazima msilie
 
Hamna tofauti na CCM 😀

View: https://x.com/me_observer_/status/1816194259248374120?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yakiwakuta msije sema anauza watoto, Houthi wamebep wamepigiwa wametoa mlio. Irani anajua balaa lake. Siku akifatwa Mazima msilie
Lazima yawakute, ni suala la muda tu, watalia na kusaga meno. Iran anamlazimisha Israel ili aingie vitani.
 
Kapima kaona Iran siyo Gaza unauwa watoto na wanawake hawana silaha zozote taifa teule linaomba msaada ajichanganye kwa Iran waone kama wataenda beach tena Tel Aviv.
kupiga nchi sio kitu kidogo ndugu, kuna maumivu na liabilities nyingi, na kuna allies wa dui yako pia, ukifanya mchezo vita inaweza kuwa ya muda mrefu, ni muhimu kuwa makini kama israel alivyo.
 
Kuhakikisha nguruwe pori hawaleti fujo nyumbani in his absence, alinifurahisha alivyowapapasa "Houthi" akiwa airport departing for Washington. Kibabe kinoma!
 
Back
Top Bottom