Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

kupiga nchi sio kitu kidogo ndugu, kuna maumivu na liabilities nyingi, na kuna allies wa dui yako pia, ukifanya mchezo vita inaweza kuwa ya muda mrefu, ni muhimu kuwa makini kama israel alivyo.
Iran atapotea ni suala la muda, unapopigana na jeshi lenye ndege bora, na nuclear hakuna namna ambavyo unaweza kushinda vita. Vita ni vita nchi moja ikizidiwa lazima tactical nuclear bomba zitumike.
 
Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa

View: https://x.com/insiderworld_1/status/1816215358384013721?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom