Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #61
Msema wa Netanyahu kutoka Tunduma.Yeye amewatukana wale waarabu waliokimbia sheria za kipumbavu za karne ya saba katika nchi zao na kujisalimisha Marekani ambao ndio waliokuwa wakiandamana kuwaunga mkono magaidi wa Hamas.
Wadanganye mashoga wenzako.
View: https://x.com/revmaxxing/status/1816218451012153817?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw