Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Wanakumbi.

Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu

Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress:

"Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki zetu wa Kiarabu. Huu sio mgongano wa ustaarabu. Ili nguvu za ustaarabu zishinde, Umoja wa Nchi na Israeli lazima zisimame pamoja.

View: https://x.com/warintel4u/status/1816179472854638910?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Netanyahu hata ukimtizama usoni, ni kama vile ubongo wake umejaa kamasi. Yani kichwani hakuna akili hata ya kuendea chooni.

Acha awaingize machoko wenzie chaka wakachezee kichapo kwa waajemi.
 
“It’s a clash between those who glorify death and those who sanctify life”

Iran ipo upande upi hapo
 
Netanyahu hata ukimtizama usoni, ni kama vile ubongo wake umejaa kamasi. Yani kichwani hakuna akili hata ya kuendea chooni.

Acha awaingize machoko wenzie chaka wakachezee kichapo kwa waajemi.
Trust me, US hawezi kwenda anzisha vita na Iran, Us iko hoi na vita ya Ukraine na Gaza inawafilisi America, afu akafungue vita na Iran sidhani, mkosaji akili tu ndio atasema US atanzisha vita na Iran.

Ikiwa sa hivi kuna wamarekani wengi wamenza kupiga kelele pesa zao zinavyotumiwa vibaya afu aje afungue jahanamu na Iran.

Si Israel wala si US ana ubavu wakusogea Iran, wataishia kupiga kelele tu.
 
Hawa wasiwavimbishe kichwa wanatumia fursa ila kupata views na kujiingizia kipato. USA ni moja ya nchi yenye demokrasia ya kweli kitendo cha waandamanaji kushusha bendera ya nchi na kuichoma moto ni uahini ambao kwa nchi ambazo hazina demokrasia ya kweli wananyongwa. Na hiyo ndo athari ya kuwapa watu uraia ambao si wazaliwa au hawana asili ya hiyo nchi kwa sababu tu ya huruma n.k

Halafu kitu ambacho watu wenye misimamo mikali ya dini mnapaswa kujua ni kwamba Israel ni USA na UK, ukimgusa mmoja kati ya hao watatu ni umewagusa wote kama ambavyo ukimgusa Iran umemgusa Hamas, Hezbollah na Houthi.

Netanyahu akujialika bali alialikwa na hao mnaowaona hawana akili kwa sababu hawashabikii itikadi kali za dini. Walichokifanya jana ni kuionesha dunia kwamba wao ni kitu kimoja na hawatishwi na mihemko ya watu wachache. Walipeleka ujumbe kwa ICC na ICJ kwamba fanyeni mnachofanya ila sisi tupo pamoja naye.

Hayo maandamano yamefanyika jana lakini Netanyahu alitoa hotuba, na yamesaidia kwa watoto wa Gaza wanaotaabika?

Hivi kati yako wewe unaeshabikia watu walioteka maiti na kwenda kuzificha kwenye makazi ya raia wao na kupelekea raia wao kuuawa na hao USA ni nani ana akili. Juzi na jana kuna operation kubwa Khan yunis ya kukomboa miili ambayo ilipelekea mauaji ya mamia ya watu.

Yaani mnachokisema nyie ni sawa Iran imwalike mkuu wa hamas kuutubia bunge lake halafu waisrael waseme Iran hawana akili na hawajielewi wakati Irana imemkaribisha mshirika wake.

Acheni chuki pale marafiki wanapokuwa wanapiga stori zao. Hayawahusu na nyie mna marafiki zenu hamjazuia kualikana na kupiga stori na kushangiliana kama walivyokuwa wanaofanya hao jana
Hahaha hao maiti wanne walikutwa wamekufa sababu Israel alitaka kuwakomboa akashindwa, wakawa na exchange fire wakafa hao. Walipo kufa Hamasi akawa hana bussiness nao tena wao ndio wakawaona.

Hivi we akilini kwako kuna maiti akabaki katika orignal form yake bila kukaa kwenye fridges za kuhifadhia maiti 😄

Vizuri kama umekiri Israel ni tools ya US na UK ili kufanya agenda zao.

Kuhusu kiongozi wa Hamasi akatoe speech Iran sidhani kama atawatukana wananchi wa Iran, atawashukuru.

We unao sema walio fanya mandamano kupinga siasa ya nchi yao, na huo monster kuhutubia kwenye bunge lao. Unadhani ni warabu? Hakuna wamarekani pale? Kwanza America nani ni orignal pale? Unawajua wenye asli ya nchi hio wewe, eti wamepewa chance hao wote waliopo kwenye Congress karibu 99% hawana asili ya kimarekani.

FYI wenye asili pale ni wahindi wekundu nani mhindi mwekundu pale kwenye Congress au hata katika hio serekali ya America.

Rudi shule wewe ukasome wa marekani wote karibu 95% hawana asili ya pale ni wakimbizi tu kutoka Europe, Africa, Asia. Latin na kiasi warabu ambao majority yao ni wale wakristo.
 
Netanyahu na zelensky hawana tofauti ... Kila kitu wao wanalazimisha wapewe.

“When we fight Iran, we are fighting the most radical and murderous enemy of the United States,” Netanyahu said. When Israel fights and works to prevent a nuclear Iran, “we are not only protecting ourselves, we are protecting you,” he argued.

“Our enemies are your enemies, our fight is your fight, our victories will be your victories,” Netanyahu told US lawmakers. “I know that America has our back.”
 
Wansolazimishwa wanatoa au hawatoi? Na unadhan wanatoa tu bila kuwa na maslahi au siyo
 
Sawa
Ila usipotoshe hao waliokotwa miili ilishatangazwa kwamba walikufa tarehe 7 Oktoba hizo habari zako kwamba wameuliwa huko ni uongo kwa sababu hapo wamechukua mabaki ya miili.

Kuhusu watu wenye asili ya USA. Fuatilia hata Tanzania makabila asili ya mwanzo wamebaki wachache wengi ni wahamiaji kutoka mataifa mengine ndo maana kuna wabantu na wasio wabantu.
Kwanini wanaitwa raia wa watanzania kwa sababu pamoja na kwamba waasisi wa hizo jamii walihamia walikaa na kujenga himaya zao na kuanza kutengeneza vizazi ambavyo unaweza kuvitrace back karne nyingi.

Kwa USA kuna wahamiaji wa mwanzo ambao ndo walitengeneza nchi ila kuna wahamiaji wa hivi karibuni ambao wengi walikimbia nchi zao kutokana na machafuko, na sababu mbalimbali na baada ya kukaa kwa muda wa zaidi ya miaka 10 wengi wamepata uraia hususan kutoka nchi za mashariki ya kati.
Kwa taarifa yako kuna raia wengi kutoka mashariki ya kati wa uraia wa nchi mbili, unamkuta ni Muiran ila ana uraia wa USA na UK.
Na njia rahisi inayotumika miaka ya karibuni ukiacha sababu za kisiasa na uchoko, ni fursaza masomo. Ndo maana unakuta Raia wengi kutoka nchi hizo wanaenda Ulaya na USA kwa ajili ya kusoma ila wanapomaliza masomo hawarudi kwenye nchi zao wanapambana hadi wanapata uraia.
Hao ndo wengi wanaondesha maandamano hususan kwenye vyuo na wnachoma bendera za USA kwa sababu wapo huko kimaslahi.

Nashukuru kwa kunishauri nirudi shule, ila wewe inabidi uondoe huo oupofu uliokuzunguka. Zaidi utafanywa fursa kama ambavyo sa hivi kila mtu mitandao anajifajya pro-israel au pro- hamas ila kujipatia kipato.

Naomba unisaidie hayo maandamano ya jana yamesaidiaje harakati za ukombozi wa palestina?
Mungu amekupa akili unadanganywa kama punguani.

Miili hiyo ilipatikana Jumatano wakati wa operesheni ya Israel Khan Younis, jeshi wanasema miili hiyo waliuliwa Octoba 7 zaidi ya miezi tisa Hamas wakaichukua mpaka Khan Younis😅😅

View: https://x.com/vividprowess/status/1816217376188424611?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom