Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa
Hivi yule Rais wa Iran aitwaye Rais alikufakufaje vile? Helicopter yake ilianguka eti?
 
Trust me, US hawezi kwenda anzisha vita na Iran, Us iko hoi na vita ya Ukraine na Gaza inawafilisi America, afu akafungue vita na Iran sidhani, mkosaji akili tu ndio atasema US atanzisha vita na Iran.

Ikiwa sa hivi kuna wamarekani wengi wamenza kupiga kelele pesa zao zinavyotumiwa vibaya afu aje afungue jahanamu na Iran.

Si Israel wala si US ana ubavu wakusogea Iran, wataishia kupiga kelele tu.
Hii vita itakuwa ngumu sana ,maana hata saudia Bahrain sjui kam ataweza kusafirisha mafuta pale ..uchumi wa dunia utasima huku lazima tutsuziwa mafuta 20000 kwa lita
 
Wanakumbi.

Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu

Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress:

"Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki zetu wa Kiarabu. Huu sio mgongano wa ustaarabu. Ili nguvu za ustaarabu zishinde, Umoja wa Nchi na Israeli lazima zisimame pamoja.

View: https://x.com/warintel4u/status/1816179472854638910?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Bado hajasema mpaka aseme.
 
Yakiwakuta msije sema anauza watoto, Houthi wamebep wamepigiwa wametoa mlio. Irani anajua balaa lake. Siku akifatwa Mazima msilie
Houthi wamelipa kisasi usisahau hilo.
Pia usisahau Israel imeingiwa na hofu baada ya Iran kufanya mashambulizi ya makombora ndani ya Israel kwa kulipa kisasi cha Syria.
Yani makombora 300 zimetumika nchi nne kuzuia na saba yakapenya.
Jiulize kama hao wengine wasingeshiriki Israel angepata madhara ya aina gani.
 
Iran atapotea ni suala la muda, unapopigana na jeshi lenye ndege bora, na nuclear hakuna namna ambavyo unaweza kushinda vita. Vita ni vita nchi moja ikizidiwa lazima tactical nuclear bomba zitumike.
We unaamini vipi kama Iran hana nukes!??
Na mbaya zaidi Iran ana stock kubwa ya makombora kuliko taifa lolote pale middle east.
USA na Iraq walimshindwa Iran 1980-1988 sembuse huyo Israel!?
 
Wanakumbi.

Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu

Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress:

"Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki zetu wa Kiarabu. Huu sio mgongano wa ustaarabu. Ili nguvu za ustaarabu zishinde, Umoja wa Nchi na Israeli lazima zisimame pamoja.

View: https://x.com/warintel4u/status/1816179472854638910?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwanini Israel isiingie vitani yenyewe ishawahi kupigana na waarab wote kwa siku sita pekeake?
 
Kwanini Israel isiingie vitani yenyewe ishawahi kupigana na waarab wote kwa siku sita pekeake?
Hiizo story za kujipaisha hamna lolote Gaza ndogo kizidi Kigamboni leo mwezi wa 11 wanatoka Hamas wenyewe wanatimia makombora ya kienyeji. Hawajui mateka walipo wamebaki kuuwa watoto na kubomoa majengo.
 
Bora niabudu mfu kuliko kuabudu lishetani allah na mtume wake yule mfu mwenda jehanami
Idadi ya watu. Zaidi ya 24.1% ya idadi ya watu duniani ni Waislamu, na inakadiriwa jumla ya takriban bilioni 1.9. Waislamu ndio wengi katika nchi 49, wanazungumza mamia ya lugha na wanatoka katika makabila mbalimbali.

Wewe punguani mmoja wa nini endelea na dini yako ya ushoga.
 
Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa
Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr
 
Trust me, US hawezi kwenda anzisha vita na Iran, Us iko hoi na vita ya Ukraine na Gaza inawafilisi America, afu akafungue vita na Iran sidhani, mkosaji akili tu ndio atasema US atanzisha vita na Iran.

Ikiwa sa hivi kuna wamarekani wengi wamenza kupiga kelele pesa zao zinavyotumiwa vibaya afu aje afungue jahanamu na Iran.

Si Israel wala si US ana ubavu wakusogea Iran, wataishia kupiga kelele tu.
Yaani huo ndio ukweli mchungu kabisa
Ingawaje hatakama kusingekuanna vita marekani hawezi kubeto na iran abadan asilan
Achana na israhell huyo dogo hana uwezo wakupigana hata na ghaza ataweza pigana na iran
Unadhani kwalile tukio la iran kupiga ndani ya israhell ingekua ndio siria tu tungeongea mengine muda huu
Mfano mwengine si wote tumeona alivyopeleka vikosi ghaza kujibu mapigo alopelekewa
Wote tumeona alivyopeleka madege namashost zake kule yemen baada ya kutwangwa
Kwanini asingefanya same thing kwa iran ?
Israhell uwezo wakubeto na iran hana us anao ila anajua baada ya vita na iran hatakua kama alivyoleo hii tumuonavyo
Nakuhakikishia iran atapiga mpaka ndani ya iran nandio jambo pekee marekani analoliogopa anajua iran atampiga ila anajua mara hii machungu ya vita yatasikika mpaka ndani ya marekani
 
Back
Top Bottom