Yakiwakuta msije sema anauza watoto, Houthi wamebep wamepigiwa wametoa mlio. Irani anajua balaa lake. Siku akifatwa Mazima msilieIsrahell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa
Hamna tofauti na CCM 😀Israhell ya kwenye media inatisha sana kuliko hii iliopo Capitol
Netapaka anadhani huu mwaka 1900s huko pole yake
Uwezo wa kuipiga Iran kwasasa hawana wakijaribu yeye anajua na americant wanajua kama watachakaa mbaya mbovu
Paka kalia lia weee hana lamaana aliloliongea anahangaika tuuu
Sababu yakuishambulia Iran aliishaipata walipowatwanga kwa missile na drones mbona hawakujaribu kama wanauwezo na mipango ishakua tayari
Aendee akapambane na watoto wanawake na nyumba za ibada ghaza Iran washaishindwa
Hakuna anaeweza kuishambulia Iran wanajua watachakaa
Balaa la Iran kivipi?Israel anajua balaa la Iran ndiyo maana kaenda kulia lia Marekani anasema Iran walitaka kumuua Trump😅
Sasa Mla mirungi au congress yupi ni bora awe mfuasi wako?The US congress is fully controlled by Israel. They dare not challenge them.
Lazima yawakute, ni suala la muda tu, watalia na kusaga meno. Iran anamlazimisha Israel ili aingie vitani.Yakiwakuta msije sema anauza watoto, Houthi wamebep wamepigiwa wametoa mlio. Irani anajua balaa lake. Siku akifatwa Mazima msilie
kupiga nchi sio kitu kidogo ndugu, kuna maumivu na liabilities nyingi, na kuna allies wa dui yako pia, ukifanya mchezo vita inaweza kuwa ya muda mrefu, ni muhimu kuwa makini kama israel alivyo.Kapima kaona Iran siyo Gaza unauwa watoto na wanawake hawana silaha zozote taifa teule linaomba msaada ajichanganye kwa Iran waone kama wataenda beach tena Tel Aviv.