Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu


Ni mpuuzi kwa maana hakujaribu kuficha ukweli kutuhusu ila yote aliyoyasema kuhusu sifa za Afrıka.Yote yanathbitisha na mambo yanayoendelea mpaka leo kwenye Afrika huru.
 
Aisee acha Mugabe awatimue na ayaseme yale aliyoyasema ,hii speech unaweza ukalia
 
Botha ameongea upumbavu. Naff saif
 
Mi naona alichosema Botha ndio kinatokea leo
 
Ila hapa nachoona ni kuwa bado hotuba ya botha inatumiwa na weupe. Bado wanatumia mamluki na divide and rule. Huyu mfalme wa wazulu ndo mbuzi wa kaburu
 
Mauaji yanayoendelea Africa dhidi ya waafrika wenzao ni ushahidi tosha kuwa P.W. Botha alikuwa right 100%.... Viongozi wengi wa kiafrika wanagawa dhahabu, almasi, gas, mafuta in exchange of Silaha za kuwa ua waafrika wenzao... SA wamesahau kuwa tulimwaga damu kwaajili yao!!! CCM wanachekelea wageni kufaidika na wanawalinda kwa mtutu wa bunduki huku wakiwadhulumu masikini wa nchi hii... ACT wakala wa CCM wanatumika kuzuia mabadiliko ndani ya nchi hii ... Botha was right in so many ways ...
 
Botha the worrior, yaani hata siamini aliyoyasema ktk speech yake ndiyo haya tunayoyaona sasahivi.
 
Hilo ni ukweli kabisa kama umekaaa na hao wadudu ndoo utahakiki hio kauliii

Ni manunda wasio elewa kitu

Polisi mzima hajui hara mipaka ta nchii yakee
Wengi wanaajyaa baaada nchii yao england ndoo inafuaata
 
west coast vs east coast
tupac vs notorius big,remember that bro,not only south africa
 
Bhota si sahihi hata kidogo,mfumo mbovu ndio tatizo.Baadhi ya nchi za Ulaya mashariki ni maskini wa kutupwa sababu ya sera kandamizi zilizodumu kwa muda mrefu ukilinganisha na Ulaya Magharibi.Vivyo hivyo Afrika matatizo yamekuzwa na jinsi mwafrika alivyokuwa katika hali za taabu na shida kwa karne zaidi ya tano.Mabadiliko ya mwafrika kujitambua yapo njiani,japo matunda yake yatachukua muda mrefu.Shida ya sasa Afrika ni vita vya kikabila na kidini ukiongezea na watawala wasio na utashi wa kuwaletea maendeleo.Maadamu demokrasia imeanza kupiga hodi nina imani Afrika ya waafrika itasonga mbele.
 
Watu wakubali au wakatae, ukweli utabaki palepale.
Kuna superior beings na inferior beings.
Ukikataa hiyo, ni sawa na kukataa kuwa hamna mtu mpumbavu na mwerevu.
Ukweli mchungu but that's the truth.
 

Yaani hapo katuchambua kwa usahihi kweli kweli,yote aliyoyasema yanaakisi tabia na matendo ya viongozi wa serikali ya chama tawala.Absolute spot on.
 
Ukweli mtupu

"Miafrika ndivyo tulivyo"-@Nyani Ngabu

Hamna kitu mkuu. Nakushauri tumia nguvu kubwa sana kufikiri, utagundua sisi na wazungu, we're the same specie. Tofauti yetu na wao ni nurture na sio nature.

That is the most infamous speech of all time. I mean literally It supposes to be a joke.
 
Hii speech hata viongozi wa CCM wanaitumia kwa wananchi wake CCM haina tofauti na BOTHA
 
Hamna kitu mkuu. Nakushauri tumia nguvu kubwa sana kufikiri, utagundua sisi na wazungu, we're the same specie. Tofauti yetu na wao ni nurture na sio nature.

That is the most infamous speech of all time. I mean literally It supposes to be a joke.

Mkuu lipi hapo ambalo sisi waafrika hatufanyi?

Lipi hapo katusingizia?
 
Wazungu ni wabinafsi sana na wanafanya hivyo ili waweze kuendelea kuonekana kuwa wao wako juu wako bora kuliko watu wengine Duniani..

Ukweli wazungu(Europeans) ni watu wachache(minority) ukifananisha na binadamu wengine wanaoishi duniani,lakini wao ndio wanaiongoza dunia(dominate) wameweza kufanikiwa kufanya hivyo kutoka na mbinu zao za ubinafsi...

Wazungu hawana chochote dunia hii kila kitu wameiga na kukifanya chao tuchukulie mfano DINI,,dini ya manasara(kikristo) YESU ni myahudi,wayahudi hawana rangi ya ngozi kama ya wazungu lakini ili wazungu waonekana bora JESUS wakamfanya awe rangi ya ngozi kama mzungu na macho ya BLUU,hii ni moja ya mbinu wanazozitumia li wao waonekane bora kuliko wengine....

Wazungu wataendelea kufikiria kuwa waafrika ni watu duni kiakili na ni watu walikuwa hatujatimia na MUNGU katuleta dunia kuwatumikia wazungu kama wafrika hatutobadilia kimawazo,inabidi waafrika tubadilike kimawazo tuitizame dunia iko je, ikiwa tutaendelea kujifananisha na wazungu basi wazungu watandelea kutuona kuwa tuko duni mbele yao...

Tuwe kama majapan,tuwe kama wachina tukitunze tulichokuwa nacho tuthamini uafrika tutunza mila zetu zetu bila ya kutaka kuiga mambo ya kizungu hapo ndio mzungu atatuheshimu,,wafrika tuna mambo mengi ya kujivunia lakini hatuyathamini,mfano Brazil kuna ngoma inayoitwa "Caboera" ni "combat dancing" ngoma ya kupigana wabrazili wameitunza na kuitukuza hii ngoma mpaka imekuwa ya kimataifa,unaweza kwenda nchi yoyote kujifunza Caboera imewekwe kwenye marshal dancing kama vile KUNG FU,SHAOLIN nk,lakini ukimuliza mbrazil kuhusu Coboera anakwambia kuwa hii ngoma imetokea Afrika imefika Barazil kutokana na biashara ya utumwa

Sasa Tanzania tuna ngoma inayoitwa TOKOMILE kama si kosei ni ngoma ya kabila la Kisaramo ngoma inachezwa kwa wachezaji kupigana fimbo hii bila shaka ni "combat dansing" kama Caboera, lakini utamkuta Mtanzania anakwenda kujifundisha ngoma ya kigeni kama Coboera au shaolin nk anaacha kujifundisha TOKOMILE au utakuta serikali inaikataza ngoma kama hiyo isichezwe kwasababu ni ngoma ya hatari badala kuimarisha zaidi na kuifanya iwe ya kimataifa.....huu ni mfano tu kuna mifano mingi inayoonyesha kuwa waafrika tunapenda kuiga vya watu lakini hatuvitukuzi vyetu.....

Aliyoyasema BOTHA ni kweli Dunia nzima mtu wenye asili ya kiafrika anadharauliwa,tunadharauliwa kwasababu tunajidharau hatuheshimu kilichokuwa chetu tunapenda kuiga vya watu .....kwa mtindo huu maisha yote tutakuwa wa mwisho duniani....

Botha kasema ukweli ukweli uliowazi hakuogopa kusema ukweli,sote tunaziona nchi za Afrika zinavyotawaliwa na watawala wake vipi wanasiasa wavyoongoza nchi zao,,,,Wafrika tunatakiwa tusome na tubadilike tuoone ukweli uko wapi wapi tubadilike kutokana na hii speech hii Mr Botha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…