Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

From this speech I can comment strongly, jacob zuma is not leading south africa.
 
I see sense and nonsense. The very last sentence of his speech clears people of African origin.
 
Hivi inashindikana vipi sisi weusi wote tukaishi tu vizuri na africa yetu, waafrika wote tukapendane mioyo yetu ikawaza mema na ukiwa RAISI basi muda wako ukiisha unatoka kwa roho moja kama ni uchaguzi basi kila kitu kinakwenda kwa haki na mwenye haki anapewa haki yake!!! Wote tufanye kazi tujenge nchi zetu kwa jasho na damu,, bila kuibiana,kudhulumiana haki ifanye kazi na tuwe na maeleweno wenyewe kwa wenyewe akija mzungu,muarabu,muhindi na mchina basi sisi tuwe tunaangalia weusi wetu na kujaliana wenyewe kwa manufaa yetu wenyewe....
 

We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike.

UKWELI UNAUMA, kaeneo haka sio kakubeza hata kidogo. Watu tunajiona binadamu lakini hatuna utu wala huruma ya kuifanya nchi yetu kuwa mahala salama kwa kizazi cha sasa na kesho.

Ukizingatia vile kwamba hatuwezi kufikiri zaidi ya mwaka mmoja, ni dhairi hasa kwa haya matukio ya kina Prof.Tibaijuka, Mwanasheria Chenge wametanguliza tamaa za kushibisha matumba yao. Na hawana aibu wanataka kugombea tena ubunge kuwakilisha watu.

Na sisi tunaoenda kupiga kura kwa mijitu kama hii ni DHAIRI WE ARE NO SENSIBLE HUMAN BEINGS, may be we are the sons and daughters of evil creature thats why WE ARE BLACKS BUG. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Idadi ya makaburu ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya waafrica waishio South Africa kinachowapa nguvu na ujasiri mkubwa makaburu ni ile hali ya hofu ya kuwa ni wachache na hawana pa kwenda ikiwa watafurushwa na wenyeji ambao ni wengi ikiwa ni kwa njia ya kura ama kwa vita.,

Hofu ya kufurushwa ama kuangamizwa ilisumbua nyoyo zao walibuni sera ya ubaguzi iwe kinga kwao ya kuhakikisha kila kitu chenye kuweza kuleta madhara ama kitakacho wapa maslahi weusi wanakidhibiti kwa nguvu zote.

Chukulia mfano Waisreli ni wachache kuliko wapelestina lakini kutokana na hofu ya kuangamizwa wanachukua tahadhari na huku wakijiimarisha kijeshi na kiuchumi...wana uzalendo kwa Taifa lao wenyewe kwa wenyewe hawadhuriani wala kupikiana majungu na fitna

Kwao Uzalendo ni muhimu kuliko chochote kile kila jambo wanalifanya kwa ukweli, uadilifu na kwa ubora wake.,kila mmoja wao anatekeleza wajibu wake kwa ufanisi wa hali ya juu ingawa waisrail hawana sera ya ubaguzi kama walivyokuwa makaburu ..Tishio la kuangamia huleta uwajibikaji wa pamoja na moyo wa kizalendo...kwa ufupi Botha ni mzalendo wa ukweli kwa jamii yake na ni adui kwa weusi.. Mandela ni Mzalendo wa ukweli kwa weupe na kwa weusi.
 
Mkuu lipi hapo ambalo sisi waafrika hatufanyi?

Lipi hapo katusingizia?

Mkuu sijaona mahali amesema kitu ambacho wao hawafanyi. Ama kinawafanya wao super human dhidi ya MTU mweusi.
Alichokifanya ni kututukana sisi blacks katika namna yoyote ile aliyoona inafaa. Pia anatatizo la Xenophobia. Anapohofia tukija kutawala dola.
Ninaimani hata wewe ukirudia kusona ipya, huwezi taja kitu ambacho wao hawafanyi.
 
Mkuu sijaona mahali amesema kitu ambacho wao hawafanyi. Ama kinawafanya wao super human dhidi ya MTU mweusi.
Alichokifanya ni kututukana sisi blacks katika namna yoyote ile aliyoona inafaa. Pia anatatizo la Xenophobia. Anapohofia tukija kutawala dola.
Ninaimani hata wewe ukirudia kusona ipya, huwezi taja kitu ambacho wao hawafanyi.

Mkuuu Botha hakumung'unya kasema ukweli waafrika hatuwezi kujitawala,fungua macho uone nchi zote zilizoko chini ya jangwa la sahara nchi zinazotawaliwa na wafrika zina hali ngumu kimaisha na hayo yanafanywa na watawala,angalia Congo juu ya utajiri na hazina iliyokuwepo Congo bado maskini,angalia Nigeria angali Tanzania,,,,nk

Nchi pekee iliyokuwepo chni ya jangwa la sahara yenye maisha ya juu Ni South Afrika na kwasababu wazungu wapo pale wanadhibiti utajiri na uchumi wa nchi,,,angalia Zimbabwe baada ya kumuondoa mzungu nchi imekuwa maskini ya kutupwa,,MAndela aliyaona hayo na ndio maana hakuwaondoa wazungu licha ya kuwa walimfanyia mabaya.......
 
From this speech I can comment strongly, jacob zuma is not leading south africa.

Sure,politics and all bla bla are left to blacks however security and economy are managed by whites effectively!
 
Mbavu zangu jamani! Huyu jamaa alikuwa mwisho wa matatizo.
Hata hivyo huyu bwana alikuwa anazungumza ukweli na ukweli mtu.

Asilimia zaidi ya 80-90 ya wazungu wote hadi leo hii wanaima sawa na ya huyu Bwana,lakini wako nayo rohoni kinafiki.
I stand to be corrected!


My scientists have come up with a drug that could be smuggled into their brews to effect slow poisoning results and fertility destruction. Working through drinks and manufacturing of soft drinks geared to the Blacks, could promote the channels of reducing their population. Ours is not a war that we can use the atomic bomb to destroy the Blacks, so we must use our intelligence to affect this. The person-to-person encounter can be very effective.

As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman, here is our unique opportunity. Our Sex Mercenary Squad should go out and camouflage with Apartheid Fighters while doing their operations quietly administering slow killing poison and fertility destroyers to those Blacks they thus befriend.

We are modifying the Sex Mercenary Squad by introducing White men who should go for the militant Black woman and any other vulnerable Black woman. We have received a new supply of LovePeddlers from Europe and America who are desperate and too keen to take up the appointments.

 
Huyu pia ni mpuuzi tu hakuna alichosema ambacho wao kama wazungu hawafanyi au hawajapitia ni suala la Mda tu
1.napoleone war ilikuwa ya waafrica.
2.world wars zilikuwa za waafrica.
3.mgogoro wa Ukraine ni wa waafrica.
4.waasi wa Ireland ni waafrica.
5.machafuko ya middle east ni ya waafrica
Ni kweli Africa tuna mengi ya kurekebisha hasa utawala bora na siasa safi ili kupiga hatua lakini hio haiwafanyi wao kuwa bora kuliko sisi
Kama kweli alisema haya hakuwaza vema.
 
Kwa kuwa waafrika wengi hawajitambui basi ni rahisi sana kwa wazungu kutudharau!!
 
Bhota si sahihi hata kidogo,mfumo mbovu ndio tatizo.Baadhi ya nchi za Ulaya mashariki ni maskini wa kutupwa sababu ya sera kandamizi zilizodumu kwa muda mrefu ukilinganisha na Ulaya Magharibi.Vivyo hivyo Afrika matatizo yamekuzwa na jinsi mwafrika alivyokuwa katika hali za taabu na shida kwa karne zaidi ya tano.Mabadiliko ya mwafrika kujitambua yapo njiani,japo matunda yake yatachukua muda mrefu.Shida ya sasa Afrika ni vita vya kikabila na kidini ukiongezea na watawala wasio na utashi wa kuwaletea maendeleo.Maadamu demokrasia imeanza kupiga hodi nina imani Afrika ya waafrika itasonga mbele.

Umeshawahi fika ulaya mashariki? Ni maskini ukicompare na west lakini atleast wana miundo mbinu mizuri na basic needs zinapatikana kirahisi huku kwetu hata maji na umeme kupata ni taabu. Mi sishangai waafrika tu nawashangaa weusi wote duniani huko Haiti ukifika unaweza kulia. Tutawafikia wazungu lakini itachukua karne 2 au 3 zijazo. Nimeona vituko vya weusi mpk huwa najiuliza hivi sisi ni nyani sokwe au binadamu.
Kuna wkt nilikuwa niko na huko ulaya kwa international organization tukaandaa training ya watu kutoka mabara yote kwenye sekta ya kilimo kika nchi ilituma mwakilishi imagine waafrika sio wote lakini walikuwa wananifuata niwatafutie wasichana warembo na hata madarasani walikuwa hawaparticipate walikuwa ni kama watalii. Imagine nchi nyingine kama japan, korea wako serious kujifunza coz wakirudi makwao ni lazima watoe report!!! At least Ethiopians niliwaona wako serios na hawaskip classess so may be si uafrika bali ni ubantu na weusi ndio uko na shida zaidi.
 
Kwa kuwa waafrika wengi hawajitambui basi ni rahisi sana kwa wazungu kutudharau!!

Kujitambua kunatakiwa nia ya dhati.China anasifika sasa kama taifa lenye uchumi mkubwa baada ya marekani.Lakini China waliweka sheria ya kuzaa mtoto mmoja,Bado waafrika tunataka huduma bure bila kufanya kazi.Uzazi usio kuwa wa mpango nayo ni changamoto yakueneza unyonge.Vichwa vya dada zetu havina tena nywele za kiafrika kwani madawa wapakayo vichwani kuupata "uzungu"imeua vurutubisho vya nywele labda na ubongo.
 
Umeshawahi fika ulaya mashariki? Ni maskini ukicompare na west lakini atleast wana miundo mbinu mizuri na basic needs zinapatikana kirahisi huku kwetu hata maji na umeme kupata ni taabu. Mi sishangai waafrika tu nawashangaa weusi wote duniani huko Haiti ukifika unaweza kulia. Tutawafikia wazungu lakini itachukua karne 2 au 3 zijazo. Nimeona vituko vya weusi mpk huwa najiuliza hivi sisi ni nyani sokwe au binadamu.
Kuna wkt nilikuwa niko na huko ulaya kwa international organization tukaandaa training ya watu kutoka mabara yote kwenye sekta ya kilimo kika nchi ilituma mwakilishi imagine waafrika sio wote lakini walikuwa wananifuata niwatafutie wasichana warembo na hata madarasani walikuwa hawaparticipate walikuwa ni kama watalii. Imagine nchi nyingine kama japan, korea wako serious kujifunza coz wakirudi makwao ni lazima watoe report!!! At least Ethiopians niliwaona wako serios na hawaskip classess so may be si uafrika bali ni ubantu na weusi ndio uko na shida zaidi.

Mkuu mi Bado siwalaumu wa afrika. Najua system ndio kilakitu.

sababu. Kwanza mwafrika ukishapanda ndege ukaenda ulaya na kurudi.

Huku Nyumbani wala hawakumbuki cha report wala nini, wao wanajua umeshakuwa mtaalamu tu.
Wanakupangia kituo na kukupandisha cheo.

wenzetu wako accountable na pia kuna motivation.

Kwa kawaida kama mfumo una wawajibisha watu.Watu wakishajua kuwa kitu fulani wataulizwa wakirudi wanakuwa makini sana. Ili wapate cha kujitetea.
Ingawa. Zipo tabia ambazo ni personal zaidi has a hiyo ya kutafuta wanawake. N.k.
 
Sis watu WEUSI ni watu wa kudanganyika TU na muda wote na wala hatuna mud a wa kufikiri wala kufanya TAFAKURI Hivyo tusibeze alichokisema Botha ila tuangalie tunavyoishi na tunavyozidi kukumbatia UJINGA na UPUMBAVU na kuvifanya kuwa mtaji wetu kama taifa .UKWELI Ndio unao muweka mtu kuwa HURU.Tumeona watu wanaojiita wanavyuo,wachungaji na masheik Wanataka watu wenye TUHUMA za ufisadi waongoze TAIFA,na wengine wanaendelea kushabikia CCM Pamoja na uozo wote unao onekana na uko wazi. SISI WATU WEUSI NI WAPUMBAVU SANA NA BARA ZIMA LA AFRIKA NI GIZA TUPU.Kama una akili Timamu wala hauhitaji ELIMU ya diploma ile ujue kuwa aliyoyasema BOTHA ndio yanafanywa na WAAFRICA kila siku.UJINGA WETU WAAFRIKA NDIO UNAOENDELEA KUMFANYA BOTHA KUWA NABII WETU.TIBADILIKE NDUGU ZANGU ILI KUONDOA FEDHEHA HIYO TULIYOBANDIKWA.
 
HII ni hotuba ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, marehemu P. W. Botha alipolihutubia Baraza lake la Mawaziri wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo. Katika hotuba hiyo iliyochapishwa katika gazeti la Sunday Times la nchini humo toleo la Agosti 18, 1985, Botha anajigamba eti ardhi hiyo ni mali yao na hawapaswi kuingiliwa. Ikumbukwe kuwa katika utawala huo, mtu Mweusi aliteswa na kunyimwa haki zake za msingi na alifanywa kuwa kiumbe kisichostahili kuishi kwa raha katika ardhi hiyo.

Pretoria imetengenezwa na watu Weupe kwa ajili ya watu Weupe na hatuna haja ya kuuthibitisha umma au mtu Mweusi kuwa sisi ni watu bora, tumekuwa tukiwaambia watu Weusi jambo hili kwa njia elfu.

Afrika Kusini ya leo haikutengenezwa katika mawazo ya kawaida, tumeitengeneza kwa kutumia akili nyingi, jasho na damu. Mnaposema kuwa tunawabagua Weusi sielewi. Hivi ni Afrikaners ndio waliojaribu kusitisha kizazi cha Aborigines wa Australia? Je, ni Afrikaners waliotenga na kuwanyanyasa watu Weusi Marekani Kaskazini kwa kuwaita niggaz?

Je, ni Afrikaners ndio waliowatenga na kuwanyanyasa watu Weusi huko England kwa kuwatungia sheria ya kuwakandamiza? Canada, Ufaransa, Russia na Japan nao wana njia zao za kibaguzi. Hivi kwa nini hasa kuna kelele nyingi dhidi yetu? Huu ni uendawazimu! Kwanini wanatukaba koo kiasi hiki? Hawatutendei haki hata kidogo.

Nataka kuwaeleza kuwa hakuna kibaya tunachokitenda hapa ambacho hao wanaojiita wako katika dunia ya ustaarabu wameacha kukifanya. Sisi ni watu wema tusio na hatia na ambao tumeweka wazi mfumo wa maisha ya tunayotaka tuishi kama watu Weupe.

Sisi sio wanafiki kama Wazungu wenzetu wafanyavyo kwamba wanawapenda watu weusi. Ukweli kuwa Weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambo kama binadamu hayawahalalishi wao kuwa watu wenye akili timamu au binadamu aliyetimia. Kanunguyeye si nungunungu na mijusi hawawezi kuwa mamba eti kwa sababu tu wanafanana.

Kama Mungu alitaka tufanane na Weusi angetufanya sote tuwe na rangi moja na fikra sawa. Lakini alituumba tofauti; Weupe, Weusi, Wanjano, watawala na watawaliwa. Katika upeo sisi ni bora kuliko Weusi na hilo halina ubishi kwani limejihidhirisha kwa miaka mingi iliyopita.

Naamini kuwa Afrikaner ni mtu safi, mwenye hofu na Mungu. Ni mtu ambaye ameonyesha kwa vitendo njia sahihi ya utu. Hata hivyo, inafurahisha kuona kuwa Ulaya, America, Canada, Australia na wengine wengi wako nyuma yetu achilia mbali maneno yao. Kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, sote tunafahamu lugha inavyotakiwa kutumika. Na kwa ushahidi ulio wazi hivi kuna mtu hapa asiyejua kuwa nchi nyingi za Ulaya zinatamani kuja kuwekeza Afrika Kusini?

Nani anayenunua dhahabu yetu, nani anayenunua almasi yetu? Nani anafanya biashara nasi? Nani anatusaidia katika kuendesha silaha za nuklia? Ukweli ni kwamba sisi ni watu wao na wao ni watu wetu. Hii ni siri kubwa. Nguvu ya uchumi wetu inajengwa kwa kiasi kikubwa na America, Britain na Ujerumani. Ni jambo kubwa sana hili na kwa maana hiyo, Mweusi ni malighafi kwa Mweupe.

Hivyo basi, kaka na dada zangu hebu tuungane kumpiga vita huyu shetani Mweusi. Napiga mbiu kwa kwa Afrikaners wote kujitokeza kwa hali na mali kupigana vita hii. Kwa hakika Mungu hawezi kuwatupa watu wake ambao ni sisi. Hadi sasa imeonekana kwa vitendo kuwa Weusi hawawezi kujitawala. Wape bunduki kama hawataanza kuuana.

Hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu Mweusi ni alama ya umasikini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani. Hivi hapo je, si kweli kwamba mtu Mweupe aliumbwa ili kumtawala mtu Mweusi? Hivi utajisikiaje unaamka asubuhi unakuta Kaff*ir amekalia kiti cha utawala? Hivi unajua kitakachotokea kwa wanawake wetu? Hivi kuna mtu anawaza kwamba Mweusi ataitawala nchi hii.

Kwa hiyo tuna sababu nzuri ya kuwapeleka akina Mandela jela waozee huko na katika hili nadhani upo umuhimu wa kupewa pongezi kwani tungekuwa na uwezo wa kuwaangamiza lakini sasa wanaishi. Napenda kuwatangazia mikakati mipya ya kuwaangamiza hawa Weusi. Tutumie sumu kuwamaliza.

Kamwe tusiruhusu idadi ya watu hawa iendelee kukua vinginevyo tutakwisha. Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na sehemu kubwa ya mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua za kuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuwaangamiza Weusi.

Sehemu nzuri za kuwaangamiza kwa sumu ni hospitali na pia katika usambazaji wa chakula inaweza kutumika. Tumetengeneza sumu inayoua taratibu na kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini hofu yetu ni kwamba itakuwaje kama sumu hiyo itaangukia kwenye mikono yao.

Hata hivyo, tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha kuwa sumu hiyo inabaki katika himaya yetu. Pili, watu Weusi wanapenda sana pesa kwa hiyo tunaweza kuwatenga kwa njia hiyo. Wataalamu wetu wanalifanyia kazi suala hilo ili mtu Mweusi amchukie Mweusi mwenzake. Hawana upeo wa kufikiri na huyo ndiye kiumbe dhaifu kisicho na akili ya kuona mbali.

Kuna umuhimu mkubwa wa kupanga mambo hayo yaendelee kwa muda mrefu ili wasibaini kinachoendelea. Kwa kawaida mtu mweusi hapangi mikakati inayozidi kipindi cha mwaka mmoja. Na hapa napenda niwaombe kina mama wote wa ki Afrikaner wazae kwa fujo kuongeza idadi.

Litakuwa jambo la maana pia kama kutatengwa vituo maalumu ambako vijana wa kike na kiume watakaa na Serikali kuwawezesha ili wazae kwa idadi kubwa iwezekanavyo ili kuongeza idadi yetu. Wakati hilo likiendelea, lazima tuwabane watu Weusi waachane na wake zao.

Ninayo kamati inayoratibu na kuangalia njia nzuri ya kuwafanya watu hawa wachukiane na wauane wenyewe kwa wenyewe. Adhabu kwa Mweusi aliyemuua Mweusi iwe ndogo ili kuwapa hamasa ya kuendelea na mauaji.

Wanasayansi wangu wameshauri pia kuna ulazima wa kuwawekea sumu kwenye pombe, sumu ambayo itakuwa inawaua taratibu na kumaliza uwezo wa kuzaa pia. Njia kama hii na nyingine zifananazo na hii itawarahisha kuwapunguza idadi.

Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtu Mweusi anapenda sana mwanamke Mweupe. Hii ni nafasi nzuri kwetu. Wanawake wetu warembo wanaotumika katika mbinu za kuwaangamiza wapinzani wetu watatumika kuwaua hao wanaopinga ubaguzi wa rangi.

Hili jeshi letu la mwituni la mapenzi huku tukiwa na jeshi kama hilo kwa upande wa wanaume ambao watawafuata wanawake Weusi. Pia Serikali imeagiza malaya kutoka Marekani na Ulaya kwa ajili ya kukidhi haja hiyo.

Ombi langu la mwisho ni kwamba wajawazito wanapozaa hospitalini, watoto lazima wauae pindi tu wanapotoka tumboni. Hatuwalipi wale wauguzi kwa ajili ya kutuletea watoto Weusi katika hii dunia bali kuwaangamiza.

Serikali yangu imetenga fungu maalumu la pesa kwa ajili ya kujenga hospitali na kliniki kwa ajili ya kufanikisha mpango huo. Pesa inafanya lolote na kwa vile tunazo tuzitumie ipasavyo.

Kwa muda huu ndugu zangu Weupe, msiyaweke moyoni yanayosemwa dhidi yenu na wala msione aibu kuitwa wabaguzi na wala sijali kuitwa mhandisi na Mfalme wa Ubaguzi. Siwezi kugeuka nyani eti kwa sababu mtu kaniita nyani. Nitabaki kuwa nyota inayong’aa…mtukufu Botha.

Leo naondoa mawingu; kesho nitajaribu milima!

"Maisha yetu huanza kukoma siku ambayo tunaanza kuwa kimya juu ya mambo muhimu." Dk. Martin Luther King Jr.

"Ni vema kufa kwa ajili ya imani itayoishi kuliko kuishi kwa jambo litakalokufa.” Steven Bantu Biko.
 
I am very sad to agree with this and some of what we he said. Just llok at how many Bastards we have in Tanzania. Just look at how many polygamists we have in Tanzania, what for! Cruel but true!

What's wrong with polygamy ?
 
Back
Top Bottom