Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

At the expense of whose sweat? Whise blood? That is the real queston here
 
Sisi watu weusi kwa asilimia kubwa tunahusika na hayo aliyoyasema P W Botha, kwa mfano kuhusu mauji ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Kama ningekuwa karibu na Botha,wakati anamaliza hotuba yake hii ningemuuliza swali moja dogo tu,"Wao watu weupe walipokuja Africa,walitukuta tunaishi vipi?Kulikuwa na vita?mauaji,makelele na kadhia anayosema?Mtu mweusi alikuwa inferior kabla yao kuja?"

Neno hili walijue wazungu,huyu mtu mweusi anayewachukiza now,wamemtengeneza wao,wambebe tu hivyo hivyo,ni mzigo wao,wameutaka wenyewe.Kabla yao palikuwepo a completely another black person.Same in colour,but different in everything else,culture,environment,chemical composition(mlaji mhogo mbichi hafanani na mla pizza),thinking etc.

Wanalalamika,ila hawaachi kuja,hawakuacha kutubeba kwenda kwao kututumikisha.

Hebu wajaribu kutufuta kwenye uso wa dunia,tuone kama wataweza kuishi bila mtu mweusi,waifute ardhi ya Africa,tuone kama intelligence yao itaweza kufanya kazi bila african materials.

The fact that wanatuchukulia kuwa watumwa wao,na wanang'ang'ania tuendelee kuwa watumwa wao,proves that we are actually superior to them.We africans are superior to them,and our land is superior to theirs,even our animals are superior to theirs,thats why over the decades they are the ones who are busy,trying to make us theirs,trying to make our land theirs,and everything else we have.
They are good at choices,congratulations to them for getting us,a good and intelligent choice!Sasa waache uongo,waseme ukweli,kwamba they need us,they need this tool,they need this working machine!
 
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today

Botha speech 1985

THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South African newspaper, dated August 18, 1985.

=========

" Pretoria has been made by the White mind for the White man. We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacks that we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks in a thousand and one ways. The Republic of South Africa that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expense of intelligence, sweat and blood.

Were they Afrikaners who tried to eliminate the Australian Aborigines? Are they Afrikaners who discriminate against Blacks and call them Nigge*rs in the States? Were they Afrikaners who started the slave trade? Where is the Black man appreciated? England discriminates against its Black and their "Sus" law is out to discipline the Blacks. Canada, France, Russia, and Japan all play their discrimination too.

Why in the hell then is so much noise made about us? Why are they biased against us? I am simply trying to prove to you all that there is nothing unusual we are doing that the so called civilized worlds are not doing. We are simply an honest people who have come out aloud with a clear philosophy of how we want to live
our own White life.

We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to the Blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.

Intellectually, we are superior to the Blacks; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the Afrikaner is an honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being. Nevertheless, it is comforting to know that behind the scenes, Europe, America, Canada, Australia-and all others are behind us in spite of what they say. For diplomatic relations, we all know what language should be used and where.

To prove my point, Comrades, does anyone of you know a White country without an investment or interest in South Africa? Who buys our gold? Who buys our diamonds? Who trades with us? Who is helping us develop other nuclear weapon? The very truth is that we are their people and they are our people. It's a big secret. The strength of our economy is backed by America, Britain, Germany. It is our strong conviction, therefore, that the Black is the raw material for the White man.

So Brothers and Sisters, let us join hands together to fight against this Black devil. I appeal to all Afrikaners to come out with any creative means of fighting this war. Surely God cannot forsake his own people whom we are. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?

Hence, we have good reasons to let them all-the Mandelas-rot in prison, and I think we should be commended for having kept them alive in spite of what we have at hand with which to finish them off. I wish to announce a number of new strategies that should be put to use to destroy this Black bug. We should now make use of the chemical weapon. Priority number one, we should not by all means allow any more increases of the Black population lest we be choked very soon. I have exciting news that our scientists have come with an efficient stuff. I am sending out more researchers to the field to identify as many venues as possible where the chemical weapons could be employed to combat any further population increases. The hospital is a very strategic opening, for example and should be fully utilized. The food supply channel should be used. We have developed excellent slow killing poisons and fertility destroyers. Our only fear is in case such stuff came in! ! to their hands as they are bound to start using it against us if you care to think of the many Blacks working for us in our houses.

However, we are doing the best we can to make sure that the stuff remains strictly in our hands. Secondly, most Blacks are vulnerable to money inducements. I have set aside a special fund to exploit this venue. The old trick of divide and rule is still very valid today. Our experts should work day and night to set the Black man against his fellowman. His inferior sense of morals can be exploited beautifully. And here is a creature that lacks foresight. There is a need for us to combat him in long term projections that he cannot suspect. The average Black does not plan his life beyond a year: that stance, for example, should be exploited. My special department is already working round the clock to come out with a long-term operation blueprint. I am also sending a special request to all Afrikaner mothers to double their birth rate. It may be necessary too to set up a population boom industry by putting up centres where we employ and support fully White young men and women to produce children for the nation. We are also investigating the merit of uterus rentals as a possible means of speeding up the growth of our population through surrogate mothers.

For the time being, we should also engage a higher gear to make sure that Black men are separated from their women and fines imposed upon married wives who bear illegitimate children. I have a committee working on finding better methods of inciting Blacks against each other and encouraging murders among themselves. Murder cases among Blacks should bear very little punishment in order to encourage them.

My scientists have come up with a drug that could be smuggled into their brews to effect slow poisoning results and fertility destruction. Working through drinks and manufacturing of soft drinks geared to the Blacks, could promote the channels of reducing their population. Ours is not a war that we can use the atomic bomb to destroy the Blacks, so we must use our intelligence to affect this. The person-to-person encounter can be very effective.

As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman, here is our unique opportunity. Our Sex Mercenary Squad should go out and camouflage with Apartheid Fighters while doing their operations quietly administering slow killing poison and fertility destroyers to those Blacks they thus befriend. We are modifying the Sex Mercenary Squad by introducing White men who should go for the militant Black woman and any other vulnerable Black woman. We have received a new supply of LovePeddlers from Europe and America who are desperate and too keen to take up the appointments.

My latest appeal is that the maternity hospital operations should be intensified. We are not paying those people to help bring Black babies to this world but to eliminate them on the very delivery moment. If this department worked very efficiently, a great deal could be achieved.

My Government has set aside a special fund for erecting more covert hospitals and clinics to promote this programme. Money can do anything for you. So while we have it, we should make the best use of it. In the meantime my beloved White citizens, do not take to heart what the world says, and don't be ashamed of being called racists. I do not mind being called the architect and King of Apartheid. I shall not become a monkey simply because someone has called me a monkey. I will still remain your bright star."


His Excellency Botha.

=========

Hotuba ya aliyekuwa Rais waAfrika ya Kusini ya Makaburu, P.W. Botha alipolihutubia Baraza lake laMawaziri. Hotuba hii iliyochapishwakatika gazeti la SUNDAY TIMES la nchini humo toleo la Agosti 18,1985,

“Kaka zangu na dada zangu, Pretoria imetengenezwa na watuweupe kwa ajili ya watu weupe nahatuna haja ya kuuthibitishiaumma au kumthibitishia mtumweusi kuwa sisi ni watu bora,tumekuwa tukiwaambia watuweusi jambo hili kwa njia elfu.Afrika ya Kusini ya leohaikutengenezwa katika mawazoya kawaida, tumeitengeneza kwakutumia akili nyingi, jasho nadamu. Mnaposema kuwatunawabagua watu weusi sielewi,Hivi ni Makaburu ndio waliojaribukusitisha kizazi cha Waaboriginiwa Australia? Je, ni Makaburuwaliowatenga na kuwanyanyasawatu weusi Marekani kwa kuwaitaniggaz?

Je, ni Makaburu ndiowaliowatenga na kuwanyanyasawatu weusi huku Uingereza kwakuwatungia sheria zakuwakandamiza? Kanada,Ufaransa, Urusi na Japani naowana njia zao za kibaguzi. Hivikwa nini hasa kuna kelele nyingidhidi yetu? Huu ni uendawazimu!Kwa nini wanatukaba koo kiasihiki? Hawatutendei haki hatakidogo.Nataka kuwaeleza kuwa hakunakibaya tunachokitenda hapaambacho hao wanaojiita wakokatika dunia ya ustaarabuwameacha kukifanya. Sisi ni watuwema tusio na hatia na ambaotumeweka wazi mfumo wa maishatunayotaka tuishi kama watuweupe. Sisi sio wanafiki kamawazungu wenzetu wafanyao kamakwamba wanawapenda watuweusi.Ukweli kuwa watu weusiwanafanana na binadamu nakutenda mambo kama binadamuhauhalalishi wao kuwa watu wenyeakili timamu au binadamuwaliotimia. Kanunguyeye sinungunungu na mijusi hawawezikuwa mamba eti kwa sababu tuwanafanana.

Kama Mungu angelitaka tufanane na watu weusiangetufanya sote tuwe na rangi nafikra sawa. Lakini alituumbatofauti: Weupe, Weusi, Wanjano,watawala na watawaliwa. Katikaupeo sisi ni bora kuliko watu weusina hilo halina ubishi kwanilimejidhihirisha kwa miaka mingiiliyopita. Naamini kuwa Kaburu nimtu safi, mwenye hofu na Mungu.Ni mtu ambaye ameonesha kwavitendo njia sahihi ya utu.Hata hivyo, inafurahisha kuona kuwaUlaya, Marekani, Kanada, Australiana wengine wengi wako nyumayetu achilia mbali maneno yao.Kuhusu uhusiano wa kidiplomasia,sote tunafahamu lughainvyotakiwa kutumika. Na kwaushahidi ulio wazi hivi kuna mtuhapa asiyejua kuwa nchi nyingi zaUlaya zinatamani kuja kuwekezaAfrika ya Kusini? Nani anayenunuadhahabu yetu? Nani anayenunuaalmasi yetu? Nani anafanyabiashara nasi? Nani anatusaidiakatika kuendesha silaha zanyuklia? Ukweli ni kwamba sisi niwatu wao na wao ni watu wetu.Hii ni siri kubwa.Nguvu ya uchumi wetu inajengwakwa kiasi kikubwa na Marekani,Uingereza na Ujerumani. Ni jambokubwa sana hili na kwa maanahiyo, mtu mweusi ni malighafi kwamtu mweupe.

Hivyo basi, kaka nadada zangu hebu tuunganekumpiga vita huyu shetani mweusi.Napiga mbiu kwa Makaburu wotekujitokeza kwa hali na malikupigana vita hii. Hakika Munguhawezi kuwatupa watu wakeambao ni sisi.Hadi sasa imeonekana kwa vitendokuwa watu weusi hawawezikujitawala. Wape bunduki kamahawataanza kuuana.

Hawanalolote jema isipokuwa mashujaawa kupiga kelele, kucheza ngoma,kuoa wanawake wengi na kupendasana ngono. Hebu sasa tukubalikuwa mtu mweusi ni alama yaumaskini, udumavu wa akili, uvivuna kukosa ushindani, Hivi hapo, je,si kweli kwamba mtu mweupealiumbwa ili amtawale mtumweusi? Hivi utajisikiaje ukiamkaasubuhi ukamkuta kafiri, yaanimtu mweusi amekalia kiti chautawala? Hivi unajuakitakachotokea kwa wanawakewetu? Hivi kuna mtu anawazakwamba mweusi ataitawala nchihii?

Kwa hiyo tuna sababu nzuri yakuwapeleka akina Mandela jelawaozee huko na katika hilinadhani upo umuhimu wa kupewapongezi kwani tungekuwa nauwezo wa kuwaangamiza lakinibado wanaishi. Napendakuwatangazia mikakati mipya yakuwaangamiza hawa watu weusi.Tutumie sumu kuwamaliza.

Kamwe tusiruhusu idadi ya watu weusi iendelee kukua vinginevyo tutakwisha.Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja nasehemu kubwa ya mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua zakuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuwaangamiza watu weusi. Sehemu nzuri za kuwaangamizia kwa sumu ni hospitalini na pia katika usambazaji wa chakula inaweza kutumika. Tumetengeneza sumu inayoua taratibu na kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini hofu yetu ni kwamba itakuwaje kama sumu hiyo itaangukia kwenye mikono yao. Hata hivyo, tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha kuwa sumu hiyo inabaki katika himaya yetu.Pili, Watu weusi wanapenda sana pesa kwa hiyo tunaweza kuwategakwa njia hiyo. Wataalamu wetu,wanalifanyia kazi suala hilo ili mtumweusi amchukie mtu mweusimwenzake. Hawana upeo wakufikiri na huyo ndiye kiumbedhaifu kisicho na akili ya kuonambali. Kuna umuhimu mkubwa wakupanga mambo hayo yaendeleekwa muda mrefu ili wasibainikinachoendelea. Kwa kawaida mtumweusi hapangi mikakati inayozidikipindi cha mwaka mmoja. Nahapa napenda niwaombe akinamama wote wa kikaburu wazaekwa fujo kusudi kuongeza idadiyetu. Litakuwa jambo la maanapia kama kutatengwa vituomaalumu ambako vijana wa kikena wa kiume watakaa na serikalikuwawezesha kuzaa kwa idadikubwa iwezekanavyo ili kuongezaidadi yetu.Wakati hilo likiendelea, lazimatuwabane watu weusi waachanena wake zao.

Ninayo kamatiinayoratibu na kuangalia njia nzuriya kuwafanya watu hawawachukiane na wauane wenyewekwa wenyewe. Adhabu kwa mtumweusi aliyemuua mtu mweusimwenzie iwe ndogo ili kuwapahamasa ya kuendelea na mauaji.Wanasayansi wangu wameshauripia kwamba kuna ulazima wakuwawekea sumu kwenye pombe,sumu ambayo itakuwa inawauataratibu na kumaliza uwezo wakuzaa pia. Njia kama hii nanyingine zinafananazo na hiiitarahisisha kuipunguza idadi yao.Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtumweusi anampenda sanamwanamke mweupe.Hii ni nafasinzuri kwetu. Wanawake wetuwarembo wanaotumika katikambinu za kuwaangamizawapinzani wetu watatumikakuwaua hao wanaopinga ubaguziwa rangi.

Hili ni jeshi letu lamwituni la mapenzi huku tukiwana jeshi kama hilo kwa upande wawanaume weupe ambaowatawafuata wanawake weusi.Pia serikali imeagiza malayakutoka Marekani na Ulaya kwa ajiliya kukidhi haja hiyo. Ombi langula mwisho ni kwamba wajawazitowanapozaa hospitalini, watotolazima wauawe pindi tuwanapotoka tumboni. Hatuwalipiwale wauguzi kwa ajili yakutuletea watoto weusi katikadunia hii bali kuwaangamiza.Serikali yangu imetenga fungumaalumu la pesa kwa ajili yakujenga hospitali na kliniki kwaajili ya kufanikisha mpango huo.

Pesa inafanya lolote na kwa viletunazo tuzitumie ipasavyo.Kwa muda huu, ndugu zanguweupe, msiyaweke moyoni manenoyanayosemwa dhidi yetu na walamsione aibu kuitwa wabaguzi nawala sijali kuitwa mhandisi namfalme wa ubaguzi.

Siwezikugeuka nyani eti kwa sababu mtukaniita nyani. Nitabaki kuwa nyotainayong’aa ... mtukufu Botha.

Leo naondoa mawingu; keshonitajaribu milima"

MWISHO WA NUKUU.

Extremely Bitter Truth!
 
Mandela efficiency of making peace with each race in south africa was a good intention but leading his people out such miseries like what were reading here to this speech is still a failure and skunk to SA black majority, i wonder why the world is much praising of his leadership of about five years in power without much he did while being at office aside during independence struggle. Mwalimu Nyerere deserve much credit in this continent and world in general.
 
hakuna mtu mjinga anayeweza kutoa speech hii. wala tusiumize vichwa. hata kama mtu anaweza kuwa na ubaguzi wa ajabuajabu kama huuu kwenye hii document, hakika yake atafanya kisirisiri tu, hatafanya waziwazi kiasi hicho, hata vitani, utunzaji wa siri ni kitu muhimu, na kama unayo strategy fulani, kutunza siri ni kitu muhimu, kama alikuwa na strategy mbaya kiasi hicho, si rahisi kuiweka waziwazi, angeiweka kisirisiri. siiamini hii speech, naona ni product ua politics na uzushi tu.
Fikra na mawazo ya Botha yako hivyo ilivyoandikwa, hiyo ni kweli kabisa. Hawajamsingizia hata kidogo. Kumbuka speech hizi alikuwa anazitoa kwa wazungu wenzake tu enzi hizo.Hazipo sana kwenye maktaba za wazi za watu mchanganyiko, blacks and whites.Ukitaka kupata speech zake kama hizi tafuta muda uende eneo linaitwa Orania, hukohuko Afrika Kusini ndiko unakoweza kuzipata hate speech za Botha alizotoa enzi hizi.Hii speech ni ya kweli kabisa
 
Huu uzi umenifanya baadhi ya mambo kumwelewa ndugu Rais Magufuli
 
View attachment 1200858

In Tanzania Tundu Lissu was shot in a broad day light apart of what is happening in South Africa.
Huyo enzi hizo wazungu walikuwa wanamwita the architect of Apartheid wakati wazulu wakimwita "Ingwenya" yaani mamba/crocodile. Jamaa alikuwa ana chuki kali sana kwa watu weusi na alitaka kumuua Mandela kipindi akiwa waziri mkuu baadae ndio wakambadilishia adhabu na ikawa ni kifungo cha maisha na kazi ngumu kama kuua so baada ya international communities mbali mbali kuanza kupiga kelele kwamba Mandela aachiliwe.

Unaambiwa kayika viongozi waliowahi kuiongoza RSA vizuri ni pamoja huyu. Kwani kipindi hicho yeye akiwa kiongozi South Africa ilikuwa imewekewa vigezo vya kiuchumi duniani kote Lakin bado maisha yalienda na hakusarrender hata kidogo,mpaka pale alipoingia mwenzake Frederick Willium de Krek ambaye alishindwa kuhimili mikiki ya ant-apartheid movement plus economic sanctions ikabidi asalimu amri kwa kui-destroy apartheid na kuwaachia wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Mandela.

Huyu jamaa ukifuatilia speech zake hata ile inayojulikana kama "Rubicon speech" utagundua alikuwa na maono sana na anawajua watu weusi kuliko hata watu weusi wenyewe wanavyojijua, hakuna hata moja alilowahi kulisema hatulioni likitokea leo hii. Mpaka anakata roho mwaka 2006 hakuwa kuomba msamaha hata kidogo kwa unyama aliowahi kuufanya tofauti na mwenzake F. W krek aliyepewa shavu na mandela kwenye serikali yake mara tu alipochukua uraisi 1994 na leo hii Waafrika kusini wanamuheshimu sana kama Mandela vile
 
Hiyo hotuba nimeipitia kiukwel jamaa yupo sahihi kwa kiasi chake , lkn kiukweli suala linaloendelea kutokea south africa kwa namna moja au nyingine pia ni matunda ya makaburu kudominate na kuzariana sana kwneye ile nchi kiasi kwamba hata mandera ikawa ni vigumu kuwafukuza, ampapo mwisho wa siku majority(blacks) ambao ndo wenye nchi wamejikuta wakiwa kwenye umaskin wa hali ya juu mpaka sasa, huku minority(wazungu) wakiendelea kustawi katika nyanja mbalimbali. Hii kitu imepelekea blacks kuwageukia foreigner blacks wenzao na kuwaacha wazungu ambao ndo chanzo cha umaskin wao.

Pili, hili jambo la kuwalalamikia wazungu kila kukicha sijajua tutaliacha lini, kama ni inshu ya ukoloni nchi nyingi zimewahi kutawaliwa wakiwemo wachina na amerika ya kaskazin lkn mwisho wa siku wamefanikiwa kufika hapo walipo. Kwa maoni yangu badala ya kuendelea kuwalalamikia wazungu kwamba wanatuchukia inatakiwa ifike hatua tuanze kulalamikia character zetu(tabia) yaani; kutokuwa na upendo baina yetu sisi kwa sisi, ubinafisi na uchoyo wa kiwango cha lami. Hizi tabia ndo wazungu wanazitumia kuendelea kutudominate na laiti kama tukijirekebisha ktk character huenda tukaanza kupiga hatua fulani.
 
Google.
PW. BOTHA SPEECH 1985.
Unaweza ku save speech na ku print kwa urahisi.
Wazungu wa karne za mwanzo walikuwa na ustaarabuni duni kama wa kwetu.
Watu weusi tunaendelea kustaarabika kila kukicha.
Watu weusi ni binadamu shupavu na jasiri kuliko wazungu.
Watu weusi wanaakili nyingi kuliko wazungu.
Watu weusi pamoja na ujasiri wetu tunamadhaifu yanayohusina na vinasaba.
Udhaifu mkubwa wa mtu weusi ni ubinafsi na wivu usio na sababu.
Hii imesababisha kuuana, kupigana na kupingana bila sababu za msingi.
Mtu mweusi hata kama ni ndugu yako hapendi uwe bora kuliko yeye na hata kama anauwezo wa kukusaidiana hata fanya hivyo kamwe.
Siku za nyuma Mtoto wa mtu mweusi akifaulu kwenda shule, pale kijijini anatafutwa ili alogwe au alishwe sumu ili afe au awe kichaa.
Mtoto wa mtu mweusi alikuwa hawezi kumjengea baba yake nyumba nzuri pale kijijini kwa kuhofia baba yake kuonewa wivu na mwisho kuwekewa sumu ili afe na nyumba hiyo asihamie.
Huyu ni mtu mweusi ambaye hana ustaarabu na upendo.
 
Kama ningekuwa karibu na Botha,wakati anamaliza hotuba yake hii ningemuuliza swali moja dogo tu,"Wao watu weupe walipokuja Africa,walitukuta tunaishi vipi?Kulikuwa na vita?mauaji,makelele na kadhia anayosema?Mtu mweusi alikuwa inferior kabla yao kuja?"

Neno hili walijue wazungu,huyu mtu mweusi anayewachukiza now,wamemtengeneza wao,wambebe tu hivyo hivyo,ni mzigo wao,wameutaka wenyewe.Kabla yao palikuwepo a completely another black person.Same in colour,but different in everything else,culture,environment,chemical composition(mlaji mhogo mbichi hafanani na mla pizza),thinking etc.

Wanalalamika,ila hawaachi kuja,hawakuacha kutubeba kwenda kwao kututumikisha.

Hebu wajaribu kutufuta kwenye uso wa dunia,tuone kama wataweza kuishi bila mtu mweusi,waifute ardhi ya Africa,tuone kama intelligence yao itaweza kufanya kazi bila african materials.

The fact that wanatuchukulia kuwa watumwa wao,na wanang'ang'ania tuendelee kuwa watumwa wao,proves that we are actually superior to them.We africans are superior to them,and our land is superior to theirs,even our animals are superior to theirs,thats why over the decades they are the ones who are busy,trying to make us theirs,trying to make our land theirs,and everything else we have.
They are good at choices,congratulations to them for getting us,a good and intelligent choice!Sasa waache uongo,waseme ukweli,kwamba they need us,they need this tool,they need this working machine!
Hii comment yako inatbibitisha alichokisema president Botha.

Umekubali kuwa black man ni raw material tu kwa white man.
 
Fikra na mawazo ya Botha yako hivyo ilivyoandikwa, hiyo ni kweli kabisa. Hawajamsingizia hata kidogo. Kumbuka speech hizi alikuwa anazitoa kwa wazungu wenzake tu enzi hizo.Hazipo sana kwenye maktaba za wazi za watu mchanganyiko, blacks and whites.Ukitaka kupata speech zake kama hizi tafuta muda uende eneo linaitwa Orania, hukohuko Afrika Kusini ndiko unakoweza kuzipata hate speech za Botha alizotoa enzi hizi.Hii speech ni ya kweli kabisa
Orania hako kaeneo wanatumia mpaka pesa yao ilihali wako ndani ya nchi tena ndani ya jimbo... Kweli Mkaburu sio mtu mamaee
 
Google.
PW. BOTHA SPEECH 1985.
Unaweza ku save speech na ku print kwa urahisi.
Wazungu wa karne za mwanzo walikuwa na ustaarabuni duni kama wa kwetu.
Watu weusi tunaendelea kustaarabika kila kukicha.
Watu weusi ni binadamu shupavu na jasiri kuliko wazungu.
Watu weusi wanaakili nyingi kuliko wazungu.
Watu weusi pamoja na ujasiri wetu tunamadhaifu yanayohusina na vinasaba.
Udhaifu mkubwa wa mtu weusi ni ubinafsi na wivu usio na sababu.
Hii imesababisha kuuana, kupigana na kupingana bila sababu za msingi.
Mtu mweusi hata kama ni ndugu yako hapendi uwe bora kuliko yeye na hata kama anauwezo wa kukusaidiana hata fanya hivyo kamwe.
Siku za nyuma Mtoto wa mtu mweusi akifaulu kwenda shule, pale kijijini anatafutwa ili alogwe au alishwe sumu ili afe au awe kichaa.
Mtoto wa mtu mweusi alikuwa hawezi kumjengea baba yake nyumba nzuri pale kijijini kwa kuhofia baba yake kuonewa wivu na mwisho kuwekewa sumu ili afe na nyumba hiyo asihamie.
Huyu ni mtu mweusi ambaye hana ustaarabu na upendo.
Mkuu ni sahihi kabisa hayo madhaifu ya mtu mweusi ndo yamemfikisha hapo alipo na kama asipojinasua yataendelea kumtafuna miaka nenda rudi
 
Admin,

Futa huu uzi. Umeshakuwa proven toka miaka mingi kuwa hakuna source yoyote ya hii hotuba. Ni uzushi tu.

Pitieni mjadala mmoja wa forum ya wasauzi kuhusu hii hotuba.

 
Me nadhani ni dhana isiyo sahihi kabisa.

Jamii zinabadilika sana. Civilization ni mchakato mrefu sana, hata Afrika inayopitia leo ni njia kuelekea kustaarabika kwa jamii. Unapokubaliana na botha kuwa africans ni wabaguzi, wauaji, jiulize kuna mtu aliyefanya ushenzi kama mzungu kipindi cha Utumwa? Unakumbuka Civil War US ilitokana na nini? Tunahitaji kumkubusha Botha juu ya Vita ya kidini ufaransa? Kuna muafrika aliyemuua myahudi duniani? Wayahudi waliochinjwa Ufaransa, na ujerumani waliuliwa na waafrika?

Kinyume chake, dunia nzima inajua kuwa migogoro ya kiafrika mingi inatokana na ushetani wa hali ya juu walio nao hao kina Botha. Wazungu hawa waliotengeza chuki dhidi ya wahutu na watusi kule Rwanda, wana haki gani ya kunyooshea kidole waafrika? Walipoharibu umoja wa Rwanda na kuunga mkono makundi ya waasi, waliombwa wazime kituo cha radio cha kichochezi, wakagoma kwa sababu tu eti inacost dola ef 8 kwa saa, hawa ndio wanajua thamani ya humanity? Huko afrika kusini ni nani aliyewabagua weusi, kuwagawa na kutumikisha hadi leo wamekuwa wageni kwenye nchi yao?

Ni muhimu waafrika tuwe na fikra sawa sawa. Huwezi muona yuko sahihi anayesema waafrika ni wabaguzi hawawezi jitawala, wakati mtu huyo ndiye aliyewavamia kimabavu, akaharibu mifumo yao ya utawala, akaharibu elimu yao, akaharibu uchumi wao, akaharibu mifumo yao ya utawala, akawatengenezea matabaka kati yao, akawajengea chuki kati yao akawapa na silaha wauwane kisha awaibie mali na kuwatawala. Ni mtu asiyefikiri na kujua jamii za wazungu zimetoka wapi, ndio ataona kauli ya Botha iko sawa sawa. Kimsingi ni dhihaka, ni sawa na mtu anayekukata miguu halafu anakucheka huwezi panda mti kuangua matunda.
Jombaa hizi blah blah ulizoziandika hapa hkuangua matunda.

[/QUOTE]

Jombaa hizi blah blah ulizoziandika hapa haziondoi kweli wa hayo aliyoyasema Botha.



Kufuatia huu utetezi wako lako nikuulize yafuatayo:



1.Ni kwanini leo hii hamko chini ya hao wazungu mnajitawala nyie wenyewe lakini bado jamii yenu ya watu weusi ndio jamii ya ovyo kwanzia kiuchumi mpaka kiutawala kulinganisha na jamii zingine zote za wanadamu?



2.Inamaana ndio tuseme kwamba tangu hao wazungu walipowavurugia mifumo yenu ya kiutawala(ambayo pengine wewe unaamini ndio ilikuwa bora) mliokuwa nayo hapo awali ndio wamewatia ulemavu wa akili mpaka leo hii kiasi cha kushindwa kabisa kuurudia?



3.Kwa maana hiyo hizi tabia za ajabu ajabu zote tulizonazo kama vile uroho wa madaraka,kupenda ngono kiholela,ufisadi, rushwa na chuki za sisi kwa sisi, yote hii eti sababu ni mzungu alivyotuvuruga na tutaendelea kumlaumu maisha yetu yote wala hatuwezi kupata sululisho kabisa?



4.Na kama sababu ya matatizo yote tuliyonayo ikiwemo umaskini,mapigano ya sisi kwa sisi ni mzungu kuja kututawala kwa kipindi kirefu, sasa mbona kuna nchi nyingine nyingi tu nazo pia zilitawaliwa na mzungu sawa na sisi tu lakini leo hii zimetuacha mbali sana karibu kwenye kila kitu? Mfano Australia na nchi za Asia



5.Na hiyo civilization advancement unayoisema tutaifikia lini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado kuna watu wanaamini viungo vya binadamu ni chanzo cha utajiri?



6.Je kitendo cha Waafrika kusini leo hii kumuua mweusi mwenzao na kumuacha mzungu ambaye ndio chanzo cha matatizo yao sio ishara ya "mental inferiority" aliyoisema Botha?



7.Unaweza kumprove wrong mr. BOTHA kwa maneno mengine yenye ushawishi tofauti na haya ulioandika hapa?
 
Orania hako kaeneo wanatumia mpaka pesa yao ilihali wako ndani ya nchi tena ndani ya jimbo... Kweli Mkaburu sio mtu mamaee
Mimi nàlifahamu vizuri sana eneo hilo, lipo jimbo la Kaskazini.Nimewahi kuzuru siku moja kwenye eneo hilo, lakini baada ya kufanyiwa mizengwe mingi sana ya kwenda ktk eneo hili.Tuliruhusiwa kuingia na kukaa kwenye eneo hilo KWA muda wa masaa kumi tu, ya muda wa mchana.
 
Mimi nàlifahamu vizuri sana eneo hilo, lipo jimbo la Kaskazini.Nimewahi kuzuru siku moja kwenye eneo hilo, lakini baada ya kufanyiwa mizengwe mingi sana ya kwenda ktk eneo hili.Tuliruhusiwa kuingia na kukaa kwenye eneo hilo KWA muda wa masaa kumi tu, ya muda wa mchana.
Mwanzilishi wa hilo eneo anaitwa Hendricks Voowener au father of Apartheid ndio aliyemtia Mandela ngome kipindi hicho.. Inasemekana kwamba yeye alitaka South Africa iwe ni nchi ya weupe tu na hilo eneo la Orania ambalo liko ndani ya cape Town western cape ndio mipango yote ya kuangamiza blacks ilikuwa inasukwa.
 
this side too nakubaliana na baadhi japo roho inauma
Hapana. Si maneno ya Botha. Rais, hata Mbaguzi huyo, hawezi kutoa mhadhara mrefu ambao si hotuba ya kisiasa au namna ya kuendesha nchi, na badala yake alete 'a silly philosophical treatise to justify apartheid'. Ni watu wanayatunga na kusingizia wabaya wetu. Tumeshayasoma yanayodaiwa kuwa ya Hitler, Trump, n.k. Yana uzuri wa maonyo, lakini pia yana matusi kwa Waafrika na kutudhalilisha. Yanajitokeza mara kwa mara mitandaoni, nadhani kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom