Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

At the expense of whose sweat? Whise blood? That is the real queston here
 
Sisi watu weusi kwa asilimia kubwa tunahusika na hayo aliyoyasema P W Botha, kwa mfano kuhusu mauji ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Kama ningekuwa karibu na Botha,wakati anamaliza hotuba yake hii ningemuuliza swali moja dogo tu,"Wao watu weupe walipokuja Africa,walitukuta tunaishi vipi?Kulikuwa na vita?mauaji,makelele na kadhia anayosema?Mtu mweusi alikuwa inferior kabla yao kuja?"

Neno hili walijue wazungu,huyu mtu mweusi anayewachukiza now,wamemtengeneza wao,wambebe tu hivyo hivyo,ni mzigo wao,wameutaka wenyewe.Kabla yao palikuwepo a completely another black person.Same in colour,but different in everything else,culture,environment,chemical composition(mlaji mhogo mbichi hafanani na mla pizza),thinking etc.

Wanalalamika,ila hawaachi kuja,hawakuacha kutubeba kwenda kwao kututumikisha.

Hebu wajaribu kutufuta kwenye uso wa dunia,tuone kama wataweza kuishi bila mtu mweusi,waifute ardhi ya Africa,tuone kama intelligence yao itaweza kufanya kazi bila african materials.

The fact that wanatuchukulia kuwa watumwa wao,na wanang'ang'ania tuendelee kuwa watumwa wao,proves that we are actually superior to them.We africans are superior to them,and our land is superior to theirs,even our animals are superior to theirs,thats why over the decades they are the ones who are busy,trying to make us theirs,trying to make our land theirs,and everything else we have.
They are good at choices,congratulations to them for getting us,a good and intelligent choice!Sasa waache uongo,waseme ukweli,kwamba they need us,they need this tool,they need this working machine!
 
Extremely Bitter Truth!
 
Mandela efficiency of making peace with each race in south africa was a good intention but leading his people out such miseries like what were reading here to this speech is still a failure and skunk to SA black majority, i wonder why the world is much praising of his leadership of about five years in power without much he did while being at office aside during independence struggle. Mwalimu Nyerere deserve much credit in this continent and world in general.
 
Fikra na mawazo ya Botha yako hivyo ilivyoandikwa, hiyo ni kweli kabisa. Hawajamsingizia hata kidogo. Kumbuka speech hizi alikuwa anazitoa kwa wazungu wenzake tu enzi hizo.Hazipo sana kwenye maktaba za wazi za watu mchanganyiko, blacks and whites.Ukitaka kupata speech zake kama hizi tafuta muda uende eneo linaitwa Orania, hukohuko Afrika Kusini ndiko unakoweza kuzipata hate speech za Botha alizotoa enzi hizi.Hii speech ni ya kweli kabisa
 
Huu uzi umenifanya baadhi ya mambo kumwelewa ndugu Rais Magufuli
 
View attachment 1200858

In Tanzania Tundu Lissu was shot in a broad day light apart of what is happening in South Africa.
Huyo enzi hizo wazungu walikuwa wanamwita the architect of Apartheid wakati wazulu wakimwita "Ingwenya" yaani mamba/crocodile. Jamaa alikuwa ana chuki kali sana kwa watu weusi na alitaka kumuua Mandela kipindi akiwa waziri mkuu baadae ndio wakambadilishia adhabu na ikawa ni kifungo cha maisha na kazi ngumu kama kuua so baada ya international communities mbali mbali kuanza kupiga kelele kwamba Mandela aachiliwe.

Unaambiwa kayika viongozi waliowahi kuiongoza RSA vizuri ni pamoja huyu. Kwani kipindi hicho yeye akiwa kiongozi South Africa ilikuwa imewekewa vigezo vya kiuchumi duniani kote Lakin bado maisha yalienda na hakusarrender hata kidogo,mpaka pale alipoingia mwenzake Frederick Willium de Krek ambaye alishindwa kuhimili mikiki ya ant-apartheid movement plus economic sanctions ikabidi asalimu amri kwa kui-destroy apartheid na kuwaachia wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Mandela.

Huyu jamaa ukifuatilia speech zake hata ile inayojulikana kama "Rubicon speech" utagundua alikuwa na maono sana na anawajua watu weusi kuliko hata watu weusi wenyewe wanavyojijua, hakuna hata moja alilowahi kulisema hatulioni likitokea leo hii. Mpaka anakata roho mwaka 2006 hakuwa kuomba msamaha hata kidogo kwa unyama aliowahi kuufanya tofauti na mwenzake F. W krek aliyepewa shavu na mandela kwenye serikali yake mara tu alipochukua uraisi 1994 na leo hii Waafrika kusini wanamuheshimu sana kama Mandela vile
 
Hiyo hotuba nimeipitia kiukwel jamaa yupo sahihi kwa kiasi chake , lkn kiukweli suala linaloendelea kutokea south africa kwa namna moja au nyingine pia ni matunda ya makaburu kudominate na kuzariana sana kwneye ile nchi kiasi kwamba hata mandera ikawa ni vigumu kuwafukuza, ampapo mwisho wa siku majority(blacks) ambao ndo wenye nchi wamejikuta wakiwa kwenye umaskin wa hali ya juu mpaka sasa, huku minority(wazungu) wakiendelea kustawi katika nyanja mbalimbali. Hii kitu imepelekea blacks kuwageukia foreigner blacks wenzao na kuwaacha wazungu ambao ndo chanzo cha umaskin wao.

Pili, hili jambo la kuwalalamikia wazungu kila kukicha sijajua tutaliacha lini, kama ni inshu ya ukoloni nchi nyingi zimewahi kutawaliwa wakiwemo wachina na amerika ya kaskazin lkn mwisho wa siku wamefanikiwa kufika hapo walipo. Kwa maoni yangu badala ya kuendelea kuwalalamikia wazungu kwamba wanatuchukia inatakiwa ifike hatua tuanze kulalamikia character zetu(tabia) yaani; kutokuwa na upendo baina yetu sisi kwa sisi, ubinafisi na uchoyo wa kiwango cha lami. Hizi tabia ndo wazungu wanazitumia kuendelea kutudominate na laiti kama tukijirekebisha ktk character huenda tukaanza kupiga hatua fulani.
 
Google.
PW. BOTHA SPEECH 1985.
Unaweza ku save speech na ku print kwa urahisi.
Wazungu wa karne za mwanzo walikuwa na ustaarabuni duni kama wa kwetu.
Watu weusi tunaendelea kustaarabika kila kukicha.
Watu weusi ni binadamu shupavu na jasiri kuliko wazungu.
Watu weusi wanaakili nyingi kuliko wazungu.
Watu weusi pamoja na ujasiri wetu tunamadhaifu yanayohusina na vinasaba.
Udhaifu mkubwa wa mtu weusi ni ubinafsi na wivu usio na sababu.
Hii imesababisha kuuana, kupigana na kupingana bila sababu za msingi.
Mtu mweusi hata kama ni ndugu yako hapendi uwe bora kuliko yeye na hata kama anauwezo wa kukusaidiana hata fanya hivyo kamwe.
Siku za nyuma Mtoto wa mtu mweusi akifaulu kwenda shule, pale kijijini anatafutwa ili alogwe au alishwe sumu ili afe au awe kichaa.
Mtoto wa mtu mweusi alikuwa hawezi kumjengea baba yake nyumba nzuri pale kijijini kwa kuhofia baba yake kuonewa wivu na mwisho kuwekewa sumu ili afe na nyumba hiyo asihamie.
Huyu ni mtu mweusi ambaye hana ustaarabu na upendo.
 
Hii comment yako inatbibitisha alichokisema president Botha.

Umekubali kuwa black man ni raw material tu kwa white man.
 
Orania hako kaeneo wanatumia mpaka pesa yao ilihali wako ndani ya nchi tena ndani ya jimbo... Kweli Mkaburu sio mtu mamaee
 
Mkuu ni sahihi kabisa hayo madhaifu ya mtu mweusi ndo yamemfikisha hapo alipo na kama asipojinasua yataendelea kumtafuna miaka nenda rudi
 
Admin,

Futa huu uzi. Umeshakuwa proven toka miaka mingi kuwa hakuna source yoyote ya hii hotuba. Ni uzushi tu.

Pitieni mjadala mmoja wa forum ya wasauzi kuhusu hii hotuba.

 
Jombaa hizi blah blah ulizoziandika hapa hkuangua matunda.

[/QUOTE]

Jombaa hizi blah blah ulizoziandika hapa haziondoi kweli wa hayo aliyoyasema Botha.



Kufuatia huu utetezi wako lako nikuulize yafuatayo:



1.Ni kwanini leo hii hamko chini ya hao wazungu mnajitawala nyie wenyewe lakini bado jamii yenu ya watu weusi ndio jamii ya ovyo kwanzia kiuchumi mpaka kiutawala kulinganisha na jamii zingine zote za wanadamu?



2.Inamaana ndio tuseme kwamba tangu hao wazungu walipowavurugia mifumo yenu ya kiutawala(ambayo pengine wewe unaamini ndio ilikuwa bora) mliokuwa nayo hapo awali ndio wamewatia ulemavu wa akili mpaka leo hii kiasi cha kushindwa kabisa kuurudia?



3.Kwa maana hiyo hizi tabia za ajabu ajabu zote tulizonazo kama vile uroho wa madaraka,kupenda ngono kiholela,ufisadi, rushwa na chuki za sisi kwa sisi, yote hii eti sababu ni mzungu alivyotuvuruga na tutaendelea kumlaumu maisha yetu yote wala hatuwezi kupata sululisho kabisa?



4.Na kama sababu ya matatizo yote tuliyonayo ikiwemo umaskini,mapigano ya sisi kwa sisi ni mzungu kuja kututawala kwa kipindi kirefu, sasa mbona kuna nchi nyingine nyingi tu nazo pia zilitawaliwa na mzungu sawa na sisi tu lakini leo hii zimetuacha mbali sana karibu kwenye kila kitu? Mfano Australia na nchi za Asia



5.Na hiyo civilization advancement unayoisema tutaifikia lini ikiwa hadi leo hii karne ya 21 bado kuna watu wanaamini viungo vya binadamu ni chanzo cha utajiri?



6.Je kitendo cha Waafrika kusini leo hii kumuua mweusi mwenzao na kumuacha mzungu ambaye ndio chanzo cha matatizo yao sio ishara ya "mental inferiority" aliyoisema Botha?



7.Unaweza kumprove wrong mr. BOTHA kwa maneno mengine yenye ushawishi tofauti na haya ulioandika hapa?
 
Orania hako kaeneo wanatumia mpaka pesa yao ilihali wako ndani ya nchi tena ndani ya jimbo... Kweli Mkaburu sio mtu mamaee
Mimi nàlifahamu vizuri sana eneo hilo, lipo jimbo la Kaskazini.Nimewahi kuzuru siku moja kwenye eneo hilo, lakini baada ya kufanyiwa mizengwe mingi sana ya kwenda ktk eneo hili.Tuliruhusiwa kuingia na kukaa kwenye eneo hilo KWA muda wa masaa kumi tu, ya muda wa mchana.
 
Mwanzilishi wa hilo eneo anaitwa Hendricks Voowener au father of Apartheid ndio aliyemtia Mandela ngome kipindi hicho.. Inasemekana kwamba yeye alitaka South Africa iwe ni nchi ya weupe tu na hilo eneo la Orania ambalo liko ndani ya cape Town western cape ndio mipango yote ya kuangamiza blacks ilikuwa inasukwa.
 
this side too nakubaliana na baadhi japo roho inauma
Hapana. Si maneno ya Botha. Rais, hata Mbaguzi huyo, hawezi kutoa mhadhara mrefu ambao si hotuba ya kisiasa au namna ya kuendesha nchi, na badala yake alete 'a silly philosophical treatise to justify apartheid'. Ni watu wanayatunga na kusingizia wabaya wetu. Tumeshayasoma yanayodaiwa kuwa ya Hitler, Trump, n.k. Yana uzuri wa maonyo, lakini pia yana matusi kwa Waafrika na kutudhalilisha. Yanajitokeza mara kwa mara mitandaoni, nadhani kwa makusudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…