Dah!Embu someni Mara tatu tatu hiyo hotuba.
Unaona kabisa anaongea kama Rais, Nabiii ,Mtu wa Mungu .
Huku kwetu tunachanganywa na Vumbi la mkongo, Supu ya pweza 😆
Huku kwetu tena, kwani tupo mkuu 'Carlos The Jackal'?
Kwani mara hii unasahau jinsi tunavyojiuza kwa hao wanaosemwa hapo ili nasi tuingizwe kwenye himaya yao?
Mkuu wetu akitembelea huko, analialia apewe nafasi ya kukutana na kiongozi mkuu, ili nasi tutambulike kuwa tupo na hao wakubwa!