Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ila ushoga wa Urusi rukhsa.Putin anapinga ushoga wa Magharibi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ushoga wa Urusi rukhsa.Putin anapinga ushoga wa Magharibi.
sijaona akitoa sabab za kuivamia Ukraine , je kwann hakutumia njia ya kura kama maamuz ya hayo majimbo na badala yake kaua na kubaka na kuharib miundo mbinu. Leo ndo anakumbuka kura za maoni na vikao vya amani ashaanza kufeli huyuHOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa hili, lakini Urusi mpya yenye kuongoza mwelekeo mpya wa dunia ni wajibu wetu ulio mikononi mwetu.
Watu wanaoishi katika DPR, LPR, Kherson na Zaporozhye wameamua kuwa raia wetu. Milele na milele!
Tunatoa wito kwa Kyiv kuja katika meza ya mazungumzo tujadili mstakabali mpya wa Ukraine, lakini hatutajadili uamuzi huu uliofanywa na watu wa Donbass, Urusi haitasaliti watu hawa daima. Tutailinda ardhi yetu mpya kwa njia zote. Tutaijenga upya miji na majiji yote yaliyoharibiwa. Tutaendeleza biashara, miundombinu, mifumo ya afya. Tutalinda maadili yetu na Nchi yetu ya Mama Russia dhidi ya Magharibi.
Magharibi wanataka kutuona kama koloni, umati wa watumwa wasio na roho. Kwao, tishio la moja kwa moja ni falsafa yetu, ndio maana wanaingilia wanafalsafa wetu. Nawaeleza wazi kwamba, "utaratibu wa msingi wa utawala wa sheria" uliopendekezwa na Magharibi ni "upuuzi". Wasomi wa Magharibi daima wamekuwa na tabia na fikra za wakoloni dhidi yetu.
Vikwazo havitoshi kwa Anglo-Saxons, walibadilisha hujuma, kwa kweli walianza kuharibu miundombinu ya Ulaya, hii ni miundombinu yetu, lakini ni uhai wa Ulaya, Tunaamini ni ugaidi wa Marekani, Tutalishughulikia hili kigaidi kwa sheria za kimataifa. Marekani inaikalia Ulaya leo hasa Ujerumani, Korea na Japan, lakini inazungumza kuhusu haki sawa nazo. Pesa za karatasi (dola na euro) haziwezi kulisha watu wetu. Marekani inajaribu kuchukua kila kitu kwa kiburi na usaliti, inadanganya bila kujali kama Goebbels.
Ninataka mamlaka ya Kyiv na mabwana wao halisi huko Magharibi wanisikie, ili kila mtu akumbuke hili: Watu wa Donetsk, Luhansk, Zaporozhye na Kherson wameamua leo rasmi wawe raia wetu na ardhi yao kuwa yetu. Hii ni Milele na milele. Wanaofikiri tunatania basi wajaribu. Sasa kuna kizuizi cha Washington kwa Urusi, Uchina na Iran, nchi zingine zinafuata mstari, na pia washirika wa sasa wametekwa na Washington. Sisi kama taifa kuu lenye historia ya ushindi duniani tumekataa, Moscow inataka na itaiweka Dunia pawe mahali salama kwa binadamu wote.
Magharibi inakanusha viwango vyetu vya maadili, dini, familia. Hivi kweli tunataka Warusi wawe na "mzazi namba moja, mbili, tatu" badala ya "mama na baba" na kwamba upotovu unaosababisha uharibifu na kutoweka maadali uwekwa kwa watoto shuleni, eti kuna baadhi ya jinsia, isipokuwa wanawake na wanaume. ? Kwa sisi, hii haikubaliki. Ushoga na usagaji hautakuwa sehemu ya ardhi ya Urusi na Warusi.
Uwanja wa vita ni wa watu wetu, kwa Urusi kubwa ya kihistoria. Tunahitaji uimarishaji wa jamii nzima. Maadili yetu ni ubinadamu, rehema na huruma. Kama Ilyin alisema, "Ninaamini katika nguvu za kiroho za watu wa Urusi, roho yao ni roho yangu, hatima yao ni hatima yangu, mateso yao ni huzuni yangu, kushamiri kwao ni furaha yangu."
Ukweli uko nyuma yetu! Urusi iko nyuma yetu:
Uraaaaaa Uraaaa!
Baadaa ya Hotuba hii, Rais Putin akasogea katika meza maakumu akiongozana na Kiongozi wa Donetsk Bwana Denis Pushilin walitia saini makubaliano ya kukubaliwa kwa Jamhuri ya Donetsk DPR kuwa sehemu ya Urusi.
Akafuatia Kiongozi wa Mkoa wa Zaporozhye Yevgeny Balitsky akasongea hadi alipo Rais Putin nae wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Zaporozhye kujiunga eneo hilo kwenda Urusi.
Akafuatia kiongozi wa Mkoa wa Kherson Volodymyr Saldo akasogea alipo Rais Putin nae kwa pamoja wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Kherson kujiunga eneo hilo na Urusi.
Mwisho alikuwa ni kiongozi wa Jamhuri ya Luhansk Bwana Leonid Pasechnik, alisongea mezani alipo Rais Putin, na kisha walitia saini makubaliano ya kujumuishwa kwa LPR nchini Urusi.
Na Yericko Nyerere
OFA MAALUMU.
Pata kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 25,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.
Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=.
Wahi Lipia kwa
0715865544 au
0755865544
(Yericko Nyerere)
Kwa watumiaji wa ANDROID nenda Play Store pakua YerickoNyerereApp uweze kujisomea vitabu vyote kwa 5,000/= tu. Link kwenye BIO: Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
View attachment 2373006
Ukraine ni beberu ? nashukur vita inatudaidia kuwajua vichaaAnanikosha sana huyu mchinja mabeberu
je amekueleze kwann hakufanya kura za maoni tangu awali na kwann asingeomba majadiliano ya aman tangu awali , je manabii wenu ndo huwa wakorofi kama Putin wasioridhika na walichonacho na kutaka kupora na unyang'anyEmbu someni Mara tatu tatu hiyo hotuba.
Unaona kabisa anaongea kama Rais, Nabiii ,Mtu wa Mungu .
Huku kwetu tunachanganywa na Vumbi la mkongo, Supu ya pweza [emoji38]
hiyo akili ndo kaipata baada ya kuharibu miundombinu na uhai wa raia wema ?Kamega kipande ambacho kina watu wanaona sawa kuwa upande wa Urusi, kamega kipande ambacho Raia wake walipiga kura kujetenga dhidi ya wakoloni mambo leo! Kitu kama hiki hakiwezi kufanyika ujeruman wala italy ambao!
Leo EU iachie wananchi wake wapige kura kama waendelee na NATO au waachanenao? Basi majibu yatakuja watoke waunde umoja wao ambao hautakuwa chini ya Marekan.
Bado unajiuliza juu ya majimbo hayo mawili ambayo wananci wake wamefanya maamuzi wenyewe! Ila kwanini hutaki kujiuliza kwanini Marekan anakalia maeneo ya Sylia na kuchukua mafuta Syria kila uchao?
Wasyria waliwaruhusu?
dalili za ushoga hz unaeza tegemea mwanaume akuweke mjin , huez jipigania ukasimamaNasi tutapiga kura tuwe under Russia
saa 72 had miez 8Putin hatari sana, jamaa kaimega ukraine kwa ubabe mpaka huruma, huyo Zelensky inabidi awe mpole hakuna namna .
asipokosolewa atajifunzaj.kurekebisha hayo madudu yakeYeye amaedhubutu kukah Chini na kuandika wee umewaza nn katk maisha yako HV vicomment ndio unaweza kuandika acha chuki mwezank siyo wew mvivu wa fikra
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha upotoshajiHivi vitabu vyako delivery ya hovyo sana, ambao hamjanunua huyu jamaa si mtu wa kumtumia hela kabla halafu akuletee kitabu
Nataka matako ya watu wa west, mtanipa?.Kwamba wewe hauna ya kwako?
Nenda ww kasaidie wakugeuze nyama chomaHii dunia imejaa uonevu yaani nchi inamega kipande cha nchi nyingine na dunia imeangalia tu bila kusaidia
Nataka matako ya watu wa west, mtanipa?.
Ambacho sijajua ni kwanini Putin hakufanyia sherehe hii hiko Donbass! Au kuna kitu anaohopa huko?HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa hili, lakini Urusi mpya yenye kuongoza mwelekeo mpya wa dunia ni wajibu wetu ulio mikononi mwetu.
Watu wanaoishi katika DPR, LPR, Kherson na Zaporozhye wameamua kuwa raia wetu. Milele na milele!
Tunatoa wito kwa Kyiv kuja katika meza ya mazungumzo tujadili mstakabali mpya wa Ukraine, lakini hatutajadili uamuzi huu uliofanywa na watu wa Donbass, Urusi haitasaliti watu hawa daima. Tutailinda ardhi yetu mpya kwa njia zote. Tutaijenga upya miji na majiji yote yaliyoharibiwa. Tutaendeleza biashara, miundombinu, mifumo ya afya. Tutalinda maadili yetu na Nchi yetu ya Mama Russia dhidi ya Magharibi.
Magharibi wanataka kutuona kama koloni, umati wa watumwa wasio na roho. Kwao, tishio la moja kwa moja ni falsafa yetu, ndio maana wanaingilia wanafalsafa wetu. Nawaeleza wazi kwamba, "utaratibu wa msingi wa utawala wa sheria" uliopendekezwa na Magharibi ni "upuuzi". Wasomi wa Magharibi daima wamekuwa na tabia na fikra za wakoloni dhidi yetu.
Vikwazo havitoshi kwa Anglo-Saxons, walibadilisha hujuma, kwa kweli walianza kuharibu miundombinu ya Ulaya, hii ni miundombinu yetu, lakini ni uhai wa Ulaya, Tunaamini ni ugaidi wa Marekani, Tutalishughulikia hili kigaidi kwa sheria za kimataifa. Marekani inaikalia Ulaya leo hasa Ujerumani, Korea na Japan, lakini inazungumza kuhusu haki sawa nazo. Pesa za karatasi (dola na euro) haziwezi kulisha watu wetu. Marekani inajaribu kuchukua kila kitu kwa kiburi na usaliti, inadanganya bila kujali kama Goebbels.
Ninataka mamlaka ya Kyiv na mabwana wao halisi huko Magharibi wanisikie, ili kila mtu akumbuke hili: Watu wa Donetsk, Luhansk, Zaporozhye na Kherson wameamua leo rasmi wawe raia wetu na ardhi yao kuwa yetu. Hii ni Milele na milele. Wanaofikiri tunatania basi wajaribu. Sasa kuna kizuizi cha Washington kwa Urusi, Uchina na Iran, nchi zingine zinafuata mstari, na pia washirika wa sasa wametekwa na Washington. Sisi kama taifa kuu lenye historia ya ushindi duniani tumekataa, Moscow inataka na itaiweka Dunia pawe mahali salama kwa binadamu wote.
Magharibi inakanusha viwango vyetu vya maadili, dini, familia. Hivi kweli tunataka Warusi wawe na "mzazi namba moja, mbili, tatu" badala ya "mama na baba" na kwamba upotovu unaosababisha uharibifu na kutoweka maadali uwekwa kwa watoto shuleni, eti kuna baadhi ya jinsia, isipokuwa wanawake na wanaume. ? Kwa sisi, hii haikubaliki. Ushoga na usagaji hautakuwa sehemu ya ardhi ya Urusi na Warusi.
Uwanja wa vita ni wa watu wetu, kwa Urusi kubwa ya kihistoria. Tunahitaji uimarishaji wa jamii nzima. Maadili yetu ni ubinadamu, rehema na huruma. Kama Ilyin alisema, "Ninaamini katika nguvu za kiroho za watu wa Urusi, roho yao ni roho yangu, hatima yao ni hatima yangu, mateso yao ni huzuni yangu, kushamiri kwao ni furaha yangu."
Ukweli uko nyuma yetu! Urusi iko nyuma yetu:
Uraaaaaa Uraaaa!
Baadaa ya Hotuba hii, Rais Putin akasogea katika meza maakumu akiongozana na Kiongozi wa Donetsk Bwana Denis Pushilin walitia saini makubaliano ya kukubaliwa kwa Jamhuri ya Donetsk DPR kuwa sehemu ya Urusi.
Akafuatia Kiongozi wa Mkoa wa Zaporozhye Yevgeny Balitsky akasongea hadi alipo Rais Putin nae wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Zaporozhye kujiunga eneo hilo kwenda Urusi.
Akafuatia kiongozi wa Mkoa wa Kherson Volodymyr Saldo akasogea alipo Rais Putin nae kwa pamoja wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Kherson kujiunga eneo hilo na Urusi.
Mwisho alikuwa ni kiongozi wa Jamhuri ya Luhansk Bwana Leonid Pasechnik, alisongea mezani alipo Rais Putin, na kisha walitia saini makubaliano ya kujumuishwa kwa LPR nchini Urusi.
Na Yericko Nyerere
OFA MAALUMU.
Pata kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 25,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.
Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=.
Wahi Lipia kwa
0715865544 au
0755865544
(Yericko Nyerere)
Kwa watumiaji wa ANDROID nenda Play Store pakua YerickoNyerereApp uweze kujisomea vitabu vyote kwa 5,000/= tu. Link kwenye BIO: Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
View attachment 2373006
Mbona wanasaidia Hila haisaidii kitu nguvu ni kubwa kuliko msaada wanaoto aHii dunia imejaa uonevu yaani nchi inamega kipande cha nchi nyingine na dunia imeangalia tu bila kusaidia