Dah!Embu someni Mara tatu tatu hiyo hotuba.
Unaona kabisa anaongea kama Rais, Nabiii ,Mtu wa Mungu .
Huku kwetu tunachanganywa na Vumbi la mkongo, Supu ya pweza 😆
Huko Biden anatetemeka mwili wote umelowa jasho
Nimeku pm mkuuMkuu Yericko, tuletee Hotuba ya Putin ya Mwaka 2007 Munich .
Aliyotabiri mambo yajayo.
Mwandishi wa mchongo nimesoma kitabu chako kimoja yaani umecopy na kupest vitabu vya watu pumba kabisaa
Kabisa MKUUHii dunia imejaa uonevu yaani nchi inamega kipande cha nchi nyingine na dunia imeangalia tu bila kusaidia
Mi pia hiyo hotuba naiomba.Nimeku pm mkuu
Hotuba yake imebeba ujumbe mzito kwa dunia.
Amenifurahisha sana sana! Kwa kitendo cha kuchukia Ushoga na Usagaji nimemkubali.
Naomba Mungu wa Mbinguni awe pamoja naye.
Ni Ukweli usiopingika kuwa Marekani sasa hivi ni Taifa la Kishetani,lengo lake ni kuitawala dunia harafu ilazimishe mataifa mengine kuruhusu Ushoga.
Kama dunia ipo inawezekana Putin ameinuliwa na Mungu kukomesha kiburi cha Marekani na Ulaya yote! Nimefurahia ujasiri alionao Putin,pamoja na kinachoendelea katika uwanja wa vita na kuharibiwa mabomba ya gesi,bado ana ujasiri kama Simba.
Fuatilia Containment Policy ya Marekani kuhusu Russia utajua!Ushoga na usagaji unahusiana vipi na uvamizi wake huko Ukraine??!
Wewe nikikuomba matako utanipa? Naomba unijibu DMUshoga na usagaji unahusiana vipi na uvamizi wake huko Ukraine??!
Hv unawezaje mtukana mtu anayetumia na kuamini mizimu una akili weePimbi wewe