Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

sijaona akitoa sabab za kuivamia Ukraine , je kwann hakutumia njia ya kura kama maamuz ya hayo majimbo na badala yake kaua na kubaka na kuharib miundo mbinu. Leo ndo anakumbuka kura za maoni na vikao vya amani ashaanza kufeli huyu

Sent from my SM-G6100 using JamiiForums mobile app
 
Embu someni Mara tatu tatu hiyo hotuba.

Unaona kabisa anaongea kama Rais, Nabiii ,Mtu wa Mungu .


Huku kwetu tunachanganywa na Vumbi la mkongo, Supu ya pweza [emoji38]
je amekueleze kwann hakufanya kura za maoni tangu awali na kwann asingeomba majadiliano ya aman tangu awali , je manabii wenu ndo huwa wakorofi kama Putin wasioridhika na walichonacho na kutaka kupora na unyang'any

Sent from my SM-G6100 using JamiiForums mobile app
 
hiyo akili ndo kaipata baada ya kuharibu miundombinu na uhai wa raia wema ?

Sent from my SM-G6100 using JamiiForums mobile app
 
hii ngedere imerudi na gia ya kuuza hutu tuvitabu...eti ujasusi....
 
Ambacho sijajua ni kwanini Putin hakufanyia sherehe hii hiko Donbass! Au kuna kitu anaohopa huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…