Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

Mnaongea as if vitu vingine vimesimama, yaan Kama vile kwenye sekta nyingine hakuna vitu vinavyofanyika. Hivi ni kweli kwamba kwenye sekta ya afya, Kilimo, elimu, maji, na zingine ukiachana na sekta ya miundombinu mawasiliano na uchukuzi hakuna kilichofanyika Kabisa?? Halfu mnaposema kodi wamebebeshwa maskini ni maskini wapi hao?? Je hamtaki watu walipe kodi??
Akili yako imeishia hapo
 
Hotuba ya kinyampara tu
 
Kampeni za mwaka huu za wagombea wote wa vyama vyote naona hazina mashiko kabisa..
 
Kilimo lumefanyika nini kiseme wewe ulichokiona
 
Kuzindua kampeni huwa ni Kuzindua Ilani, baada ya hapo, ni siasa, naona Chadema pia imefanya kuhutubia ilani kule Kawe hivyo hotuba ya Chadema ya kawe ilikuwa ya chama lakini kule mbagala ilikuwa ya Lisu.
Lissu ndiye mgombea Urais tunamsikiliza yeye.
 
Huyu baba anawaza yeye bado ni Waziri wa Miundombinu wallah!!! Hapa tulijua kuchemsha. Hali za watu wake hazioni? Bado anawaza kujenga uwanja, kununua ndege?? Kweli tuna spacial case Watanzania.
 
Hapa pia kuna harufu ya kuongeza muda. Watanzania tusichemshe huu uchaguzi, tutajuta zaidi ya sasa. Kwa mabavu anayotumia dalili si nzuri juu ya ukomo wa uRais.
 
""""Ongeza sauti kidogo"""
 
Dah! Jamaa atanunua ndege tano zaidi. Atajenga uwanja wa mpira mkubwa zaidi.
By the way atanunua na ndege ya mizigo!
Aisee.
 

Mkuu. Kwanini unapata tabu sanaa. We mgombea wako unaye. Muda ndo huu wa kusaidia kuweka hoja zake hapa. Hivi unaijua Kuna kitu kinaitwa Hatte Love Relationship. Wewe una mahaba sana na JPM. Mana Haiwezekani mkeo ameamua kukuchezea singeli live sebuleni we unakwepesha macho unaangalia GIGY MOney. Kwenye Channel ya wasafi.
 
Magufuli ni kama Farao anayejenga mapiramidi makubwa kwa nguvu za watumwa, ili apate fahari kwambabyeye ndiye farao aliyejenga mapiramidi hayo, bila hao watumwa kufaidika na hayo mapiramidi.

Hususan kwenye hizo ndege ambazo hazina tija ya value for money. Ndiyo maana ukaguzi wa kihasibu wa Shirika la Ndege ni kizungumkuti.
 
Elfu 20 ya wamachinga kwa mwaka ni uwizi wa mchana kweupe na hiyo kodi hata haitambuliki kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…