Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ana wrong priorities kwenye kununua hiyo midege.wakati umekaa nyuma ya keyboard unaandika kuhusu sukari, unga na mchele watu wanapanga namna ya kukuza uchumi kupitia kuboresha mazingira ya utafutaji ardhini, majini na angani.
haileti uhai kuwaza miaka yote utaishi kwa kushindwa kununua kilo moja ya sukari ya kutumia siku 5,mpaka uombe serikali kuipunguza bei.
ndio sababu mgombe wenu anazungumzia kuhusu bima ya afya kwa kila mtu, badala kujenga hospitali kila tarafa na kupunguza kabisa gharama za matibabu,yaani yeye pia mawazo yake juu ya kukua uchumi yamekufa.
Inasikitisha sana!Meko ana bahati anaongoza watu aina ya watanzania, la sivyo muhula mmoja ungetosha kwake! Hafai kuwa Rais huyu mtu!
Watanzania wamesema wanahitaji madege makubwa matatu ya kwenda Ulaya?Wakati mwingine wafwasi wa Lissu oneni hata aibu kuongea vitu ambavyo hata Boss wenu anawaona machizi JPM alikuwa anaeleza kile alichofanya miaka 5 ambapo aliwekeza zaidi kwenye miundombinu na anaeleza atakachofanya miaka mingine 5
Awamu ijayo ya 5years Raisi awaongezee watu uwezo wa kulipa kodi.Mnaongea as if vitu vingine vimesimama, yaan Kama vile kwenye sekta nyingine hakuna vitu vinavyofanyika. Hivi ni kweli kwamba kwenye sekta ya afya, Kilimo, elimu, maji, na zingine ukiachana na sekta ya miundombinu mawasiliano na uchukuzi hakuna kilichofanyika Kabisa?? Halfu mnaposema kodi wamebebeshwa maskini ni maskini wapi hao?? Je hamtaki watu walipe kodi??
Kwenye kilimo nini kimefanyika zaidi ya kuwasomesha namba wakulima?Mnaongea as if vitu vingine vimesimama, yaan Kama vile kwenye sekta nyingine hakuna vitu vinavyofanyika. Hivi ni kweli kwamba kwenye sekta ya afya, Kilimo, elimu, maji, na zingine ukiachana na sekta ya miundombinu mawasiliano na uchukuzi hakuna kilichofanyika Kabisa?? Halfu mnaposema kodi wamebebeshwa maskini ni maskini wapi hao?? Je hamtaki watu walipe kodi??
Waziri hawezi toa hotuba ya Hovyo namna ile, ile ilikuwa Fiesta na Diwani ndio anaweza toa hotuba kama ile.Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa yeye ndiye mpangaji na ni lazima watu wafuate.
Kwanza hii tabia amekuwa nayo kwa miaka mitano iliyopita. Kinachonishangaza ni yeye kuonyesha waziwazi kuwa mwendo ni uleule kwa miaka mitano ama zaidi ijayo. Hii ni hatari sana hasa ukizingatia ishara ambazo zimeanza kujitokeza za kulazimisha ushindi.
Hotuba nzima ya Rias Magufuli imejikita katika kununua ndege na kuongeza kipande cha reli ya kisasa kutoka Dodoma hadi Isaka-Makutopora.
Tuwe wakweli, Rais alipora haki muhimu za wafanyakazi kwa miaka mitano iliyopita na kubebesha mzigo mzito wa kodi kwa watanzania masikini ili kugharamia miradi ambayo mingi ni kama analazimisha ikamilike ndani ya muda mfupi huku akijua athari zake. Kwa jana alipaswa japo kuongea jambo jipya kwa watanzania ambalo linagusa maisha yao moja kwa moja ili ajadiliwe vinywani mwao. Amefeli kabla ya safari ya kampeni.
Mradi wa SGR kwa hesabu zangu mpaka ufike Isaka itagharimu si chini ya trilioni 8. Kwa awamu ya miaka mitano iliyopita mradi umeelea elea tu vipande hadi Morogoro na amefanikiwa tu kulipa trilioni 1.2
Hali hii inanifanya niamini kuwa mabavu anayotumia Magufuli kwenye huu uchaguzi ni ili apate wabunge wote wa CCM na yeye ashinde ili mradi huu ambao nina uhakika ili ukamilike kutoka tarehe ha leo hautachukua chini ya miaka 8! (Ana mpango wa kuongeza muda? Ana mpango wa kupendekeza kodi kandamizi zaidi ili apate fedha?)
Hayo ni yenu watanzania ila kiukweli ukitoka kwako tarehe 28 kwa nia ya kumpigia Rais Magufuli kura basi ni sawa na mtu umetoka kwako na kamba kwa lengo la kuingia porini ili ukajinyonge ufe!
Sisi hapa leo tutaonekana tunapiga porojo ila kiukweli kwa mambo aliyofanya Magufuli basi ukimpigia jura ni aibu juu ha nafsi yako! Nyie sikilizeni wasanii na baadhi ya wafuasi wake ambao wamejitoa kumeza akili za watu ila mjue wanafanya hivyo kwa maslahi yao! Sisi tulimpinga Magufuli mwanzoni kabisa mwa utawala wake kwakuwa tunamjua vyema! Tunaijua akili yake!
Huyu John hafai kabisa kupewa hata sekunde moja nyingine.Kwa akili zako finyu ulisikia wapi waziri anagombea .poor you
USSR
Nimeyapenda sana haya maandishi yako. Natamani kila mtanzania ayasikie. Kumpigia kura Magufuli ni sawa na kutafuta kifo kwa ndugu jamaa na marafiki zako.Sisi hapa leo tutaonekana tunapiga porojo ila kiukweli kwa mambo aliyofanya Magufuli basi ukimpigia kura ni aibu juu ya nafsi yako!
Kwa hiyo Akili ya Lissu Hamuijua kuwa ni Kibaraka Wa Mabeberu Wacha Twende na Magufuri Anatutosha Tumeridhika hautaki Kutawaliwa na Wakoroni tenaaa yaani Kwangu Tanzania Kuna Amani Sanaaaaaaa mpka naona watu wanavimbiwa amani hiyoAma kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa yeye ndiye mpangaji na ni lazima watu wafuate.
Kwanza hii tabia amekuwa nayo kwa miaka mitano iliyopita. Kinachonishangaza ni yeye kuonyesha waziwazi kuwa mwendo ni uleule kwa miaka mitano ama zaidi ijayo. Hii ni hatari sana hasa ukizingatia ishara ambazo zimeanza kujitokeza za kulazimisha ushindi.
Hotuba nzima ya Rias Magufuli imejikita katika kununua ndege na kuongeza kipande cha reli ya kisasa kutoka Dodoma hadi Isaka-Makutopora.
Tuwe wakweli, Rais alipora haki muhimu za wafanyakazi kwa miaka mitano iliyopita na kubebesha mzigo mzito wa kodi kwa watanzania masikini ili kugharamia miradi ambayo mingi ni kama analazimisha ikamilike ndani ya muda mfupi huku akijua athari zake. Kwa jana alipaswa japo kuongea jambo jipya kwa watanzania ambalo linagusa maisha yao moja kwa moja ili ajadiliwe vinywani mwao. Amefeli kabla ya safari ya kampeni.
Mradi wa SGR kwa hesabu zangu mpaka ufike Isaka itagharimu si chini ya trilioni 8. Kwa awamu ya miaka mitano iliyopita mradi umeelea elea tu vipande hadi Morogoro na amefanikiwa tu kulipa trilioni 1.2
Hali hii inanifanya niamini kuwa mabavu anayotumia Magufuli kwenye huu uchaguzi ni ili apate wabunge wote wa CCM na yeye ashinde ili mradi huu ambao nina uhakika ili ukamilike kutoka tarehe ha leo hautachukua chini ya miaka 8! (Ana mpango wa kuongeza muda? Ana mpango wa kupendekeza kodi kandamizi zaidi ili apate fedha?)
Hayo ni yenu watanzania ila kiukweli ukitoka kwako tarehe 28 kwa nia ya kumpigia Rais Magufuli kura basi ni sawa na mtu umetoka kwako na kamba kwa lengo la kuingia porini ili ukajinyonge ufe!
Sisi hapa leo tutaonekana tunapiga porojo ila kiukweli kwa mambo aliyofanya Magufuli basi ukimpigia jura ni aibu juu ha nafsi yako! Nyie sikilizeni wasanii na baadhi ya wafuasi wake ambao wamejitoa kumeza akili za watu ila mjue wanafanya hivyo kwa maslahi yao! Sisi tulimpinga Magufuli mwanzoni kabisa mwa utawala wake kwakuwa tunamjua vyema! Tunaijua akili yake!
Kwa akili zako finyu ulisikia wapi waziri anagombea .poor you
USSR
Kazi ya serikali yeyote Duniani si kukuletea chakula mezani kwako ila ni kuweka mazingira ya kiuchumi,kijamii na kisera sasa unapozungumizia uchumi ni pamoja na miundombinu ,Usafirishaji na mawasiliano sasa kwenye Usafirishaji ni pamoja na Ndege si lazima wote tupande ndege ila Ndege zinaweza kuwa na tija ambapo leo tukiwa na ndege ya mizigo wale wakulima na wavuvi watafaidika sijui chadema mnashindwa vipi kujua vitu vidogo kama hv wakt mnajitapa kuwa chema chenye wasomiWatanzania wamesema wanahitaji madege makubwa matatu ya kwenda Ulaya?
Hodiiiiiiiiì.Ni yeye....
Akitoka kwenye kikao cha wafadhili wake. Akiwa ameshibishwa njia mbalimbali za kuiharibu nchi yetuView attachment 1552987
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.