Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Chief Crier ' muimbaji wa sifa mkuu" , and the chief is really smiling with a comfort of being sarrounded with positive vibers ...Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
SHETANI HUYO WALA SIO MUNGUBunge limetulia, amani tele, wazee wa bongo muvi wa kuzira na kutoka nje ya bunge bada ya kusaini per diem leo hakuna.......hakika Mungu anaipenda Tanzania!
Mkutano wa CCM huo.Bunge limetulia, amani tele, wazee wa bongo muvi wa kuzira na kutoka nje ya bunge bada ya kusaini per diem leo hakuna.......hakika Mungu anaipenda Tanzania!
Anaapishwa Leo. Bavicha ni utopolo kabisa😁Suala la kuapishwa PM, Mawaziri na viongozi wengine mbele ya Rais huwa daima linarushwa live na TV & redio. PM huwa anaapishwa Ikulu. Hata hivyo, binafsi sikumuona PM akila kiapo jana. Baada ya PM kuteuliwa na Mh. Rais na wabunge kuidhinisha kwa 100% (kama wengi tulivyotegemea kutikana na utendaji wake mujarab awanu iliyopita), nilichokuwa nakisubiria ni Mh. Rais kulihutubia Bunge leo kisha PM aapishwe na kisha Mh. Rais ateue Mawaziri kwa kushauriana nae.
Maswali "Pasua Kichwa":
1. Je, PM ameishaapishwa?
2. Je, kama PM hajaapishwa, ina maana Mh. Rais hakumuhusisha PM kwenye uteuzi wa Mawaziri hawa?
3. Kama alimuhusisha, je ni sahihi kwa Mh. Rais kumuhusisha PM ambaye hajaapishwa?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
mkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.Lisu asinyeweza kutoa hotuba Kama hiyo hana uwezo huo hotuba imekaa vizuri kila Kona
je unajua nini maana ya haki? Kipi kinaanza kati ya haki na amani?Imani za dini humponya binadamu kiroho na kimwili nasi wakristo hushiriki kuula mkate na kuinywa divai kama " ishara" ya kupokea uponyaji huo.
Imani za kisiasa huuponya mwili na hasa tumbo ndio maana Wanasiasa wanaipigania amani ya mwilini siyo ya rohoni ( haki)
Maendeleo hayana vyama!
Aisee kweli una muda wa kuchezea kumsikiliza kichaaa.Bwashee usikae mbali na runinga yako!
Very sad, hicho siyo kiapo. Ni usanii wa duniani. Unaapa mbele ya jambazi na makahaba? Halafu ukifanya uovu unasifiwa.Unashika kitabu cha Q'uruan halafu unaapishwa na mkristo?
Wanasiasa wanapaswa kuapa kwa kushika Katiba ya nchi!
Kampeni alihutubia kuwaomba wapiga kura waikubali ilani ya CCMmkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.
mkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.
Mungu humpa amtakaeGwaji anapigania uwaziri kwa nguvu zote