Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
kwa ilani ipi?Ndio inaendeleaaaa
Wewe huijui😁😁kwa ilani ipi?
Flyover ya ubungoToa mfano wa mradi uliokwama!
hivi vijembe ndiyo vitapunguza mafuriko Kawe?" Acha mbwa wabweke,Chuma kinachapa mwendo'
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gwaj anasema kumrushia mawe kila mbwa anayekubwekea ni ujinga😁
Siwezi kuangalia wauaji mimi!Bwashee usikae mbali na runinga yako!
Ni hasara kwa taifa kiumbe kama wewe kuendelea kuishiWatu tumepigika mitaani kimtindo wa mbwa kachoka. Muiba kura atatuambia nini siye choka mbaya. Nani anamsubiri kwa hamu kusikia stori za kihutuhutu.
Kweli ilifanya kazi kama 'ilivyoagizwa' na sio kwa mujibu wa wapiga kura. siku ya kiama nyie ndio mtakuwa kuni !Kwa msingi huo napenda kuipongeza tume ya Taifa ya uchaguzi kwa vizuri zoezi la uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Sawa, hotuba tumeisikia na haina jambo jipya!Nimeona pamoja kwamba bunge ni la kwenu bado mnaendelea kututukana,Gwajima amepewa nafasi ya kushukuru anamwambia Rais kuwa sisi wafuasi wa upinzani ni "mbwa"!Chadema tunawashukuru kwa kusikiliza hotuba ya rais John Pombe Joseph Magufuli akihutubia bunge la Tanzania
Sasa tunasubiri mtuletee hotuba ya Tundu Antipas Lissu akihutumia bunge la ubelgiji
Kazi itafanyika na kero za wananchi zitatuliwa.hivi vijembe ndiyo vitapunguza mafuriko Kawe?
Magufuli amekuwa Mungu?Mungu humpa amtakae
Kijana wewe ndie unaonekana unavuta hewa hii ya muumba kwa bahati mbaya kabisa! watu kama nyie mlitakiwa mwisho wa kuishi kwenu iwe karne ya 15.Ni hasara kwa taifa kiumbe kama wewe kuendelea kuishi
Yanga A na Yanga B mko mazoeziniWabunge wa Chadema na CUF wamo bungeni bwashee!
Rashidii
Sawa,hotuba tumeisikia na haina jambo jipya!Nimeona pamoja kwamba bunge ni la kwenu bado mnaendelea kututukana,Gwajima amepewa nafasi ya kushukuru anamwambia Rais kuwa sisi wafuasi wa upinzani ni "mbwa"!
Umejuaje kama anaenda kuchongea?
Au kuna madhambi yalifanyika mnaogopa yasijulikane?
Tulueni eidha vikwazo tuwe kama Zimbabwe au Nguvu za jeshi la NATO tuwe kama Libyan
Gaddafi alikua mbabe kuliko jiwe mwisho wake ona hapo chini
Mungu hupitia wanadamu kukamilisha mambo yakeMagufuli amekuwa Mungu?
That's nonesense!! yaani unapanga au kuamuru muhimili unaokukagua/simamia utendaji wako sehemu unazotaka wewe.?Kampeni alihutubia kuwaomba wapiga kura waikubali ilani ya CCM
Hapo bungeni anaji commit kwenye mhimili utakaomsimamia utendaji wake kuwa wamsimamie maeneo yapi
Hapo anajieleza kwa wasimamizi wake watakosimamia utendaji wake kuwa assess me in the following areas