Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Bunge la ccm, eti leo Gwajima ni boss wa Makonda Kama mbunge wake. Leo makonda akiwa na shida mbunge wake ni Gwajima. Kweli dunia duara
 
Watu tumepigika mitaani kimtindo wa mbwa kachoka. Muiba kura atatuambia nini siye choka mbaya. Nani anamsubiri kwa hamu kusikia stori za kihutuhutu.
Ni hasara kwa taifa kiumbe kama wewe kuendelea kuishi
 
Chadema tunawashukuru kwa kusikiliza hotuba ya rais John Pombe Joseph Magufuli akihutubia bunge la Tanzania
Sasa tunasubiri mtuletee hotuba ya Tundu Antipas Lissu akihutumia bunge la ubelgiji
Sawa, hotuba tumeisikia na haina jambo jipya!Nimeona pamoja kwamba bunge ni la kwenu bado mnaendelea kututukana,Gwajima amepewa nafasi ya kushukuru anamwambia Rais kuwa sisi wafuasi wa upinzani ni "mbwa"!
 
Wabunge wa Chadema na CUF wamo bungeni bwashee!
Yanga A na Yanga B mko mazoezini
1605258176672.png
 
Nakumbuka Yuko RASHID mmoja alikuwa anakunywa chai bila ya kufunika kikombe huko ughaibuni...sasa kwa kuwa kiingereza kilikuwa hakipandi vyema...akawa anakunywa tu kila anapoongezewa..Baba wa Taifa akapaza sauti kwa kiswahili "Rashid basiii funika kikombe Watakuua hao".

Rashid wa kawe KIINGEREZA kinapanda kweliii..."don't throw stones towards every barking dog"🤣🤣🤣
 
Sawa,hotuba tumeisikia na haina jambo jipya!Nimeona pamoja kwamba bunge ni la kwenu bado mnaendelea kututukana,Gwajima amepewa nafasi ya kushukuru anamwambia Rais kuwa sisi wafuasi wa upinzani ni "mbwa"!

Ameongea kwa kutumia fasihi, hajatukana
 
Sasa huko Libya kuna Utulivu kwa RAIA WOTE?!!!
Umejuaje kama anaenda kuchongea?
Au kuna madhambi yalifanyika mnaogopa yasijulikane?
Tulueni eidha vikwazo tuwe kama Zimbabwe au Nguvu za jeshi la NATO tuwe kama Libyan
Gaddafi alikua mbabe kuliko jiwe mwisho wake ona hapo chini
 
Kampeni alihutubia kuwaomba wapiga kura waikubali ilani ya CCM

Hapo bungeni anaji commit kwenye mhimili utakaomsimamia utendaji wake kuwa wamsimamie maeneo yapi

Hapo anajieleza kwa wasimamizi wake watakosimamia utendaji wake kuwa assess me in the following areas
That's nonesense!! yaani unapanga au kuamuru muhimili unaokukagua/simamia utendaji wako sehemu unazotaka wewe.?
Mna hali tete sana huko mbeleni!
 
Back
Top Bottom