Trillionea, basi gwajima akachekeleeeaMbunge awe billionea, je, rais awe nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trillionea, basi gwajima akachekeleeeaMbunge awe billionea, je, rais awe nani?
Ili kwa sababu msije mkalalamika kuwaona wakiwa mabilionea. Simple!Mimi sijapenda sana kuwaambia wanasiana ni zamu yao kuwa mabilionea.
SureKwa nini umsikilize sana mtu ambaye anaweza kutekeleza ambayo hajaahidi na yale ambayo ameahidi asiyatekeleze, akafanya vitu kwa jinsi anavyojisikia alivyoamka siku hiyo?
Mtu katoka kuiba kura mpaka kipofu anaona, halafu anaongelea utawala bora na demokrasia.
Unamsikiliza ili iweje?
Wakati anaongelea technical schools za Arusha na Mwanza ulikuwa umelala?Sijawahi kuona nchi imeendelea bila elimu na teknolojia yahali yajuu. Kwakweli hajaeleza ataiboreshaje elimu, hajaweka wazi serikali itainuaje kilimo chakisasa chaumwagiliaji kwa nguvu,haongei mbegu na mifugo yakisasa.
Hataji atavyosapoti tafiti na taasisi za tafiti mbalimbali nchini, anaeleza ataitunza amani bila kueleza haki zitakavyotimilizwa,haelezi gesi yetu itatusaidiaje,hasemi mbinu kuzuia magonjwa Bali kujenga Hosp. na kununua madawa,hajaweka wazi atavyoboresha maisha ya watu,ajira zitavyopatikana hasemi anataja tuu idadi yakusadikika.
Anaongea kujenga mameli,mabarabara kununua madege treni namavituvitu mmmno vinavyotoa hela kwenda nje ya mzungukk nchini bila kueleza tutajizatiti kuexport kitugani!
Binafsi sijaisapoti hotuba ile kwenye mia ningeipa 35 yaani D (dhaifu)
Rais alikwisha kuwa billionea muhula wa kwanza wa miaka 5 hata akawa anazunguka na mabulungutu ya fedha akiwagawia maswaiba wake, katika muhula wa pili Wabunge wakiwa billionea yeye atakuwa trillionea bila zile trillion 1.5 za muhula wa kwanza. Inalipa kuwa Rais ndo maana kila mbinu chafu inatumika kufika hapo!Mbunge awe billionea, je, rais awe nani?
Sijawahiunayoyasema yako na nchi imeendelea bila elimu na teknolojia yahali yajuu. Kwakweli hajaeleza ataiboreshaje elimu, hajaweka wazi serikali itainuaje kilimo chakisasa chaumwagiliaji kwa nguvu,haongei mbegu na mifugo yakisasa.
Hataji atavyosapoti tafiti na taasisi za tafiti mbalimbali nchini, anaeleza ataitunza amani bila kueleza haki zitakavyotimilizwa,haelezi gesi yetu itatusaidiaje,hasemi mbinu kuzuia magonjwa Bali kujenga Hosp. na kununua madawa,hajaweka wazi atavyoboresha maisha ya watu,ajira zitavyopatikana hasemi anataja tuu idadi yakusadikika.
Anaongea kujenga mameli,mabarabara kununua madege treni namavituvitu mmmno vinavyotoa hela kwenda nje ya mzungukk nchini bila kueleza tutajizatiti kuexport kitugani!
Binafsi sijaisapoti hotuba ile kwenye mia ningeipa 35 yaani D (dhaifu)
Sijawahi kuona nchi imeendelea bila elimu na teknolojia yahali yajuu. Kwakweli hajaeleza ataiboreshaje elimu, hajaweka wazi serikali itainuaje kilimo chakisasa chaumwagiliaji kwa nguvu,haongei mbegu na mifugo yakisasa.
Hataji atavyosapoti tafiti na taasisi za tafiti mbalimbali nchini, anaeleza ataitunza amani bila kueleza haki zitakavyotimilizwa,haelezi gesi yetu itatusaidiaje,hasemi mbinu kuzuia magonjwa Bali kujenga Hosp. na kununua madawa,hajaweka wazi atavyoboresha maisha ya watu,ajira zitavyopatikana hasemi anataja tuu idadi yakusadikika.
Anaongea kujenga mameli,mabarabara kununua madege treni namavituvitu mmmno vinavyotoa hela kwenda nje ya mzungukk nchini bila kueleza tutajizatiti kuexport kitugani!
Binafsi sijaisapoti hotuba ile kwenye mia ningeipa 35 yaani D (dhaifu)
Mmh?jiwe hatoki hapo mpakakifo.yani umauti ndio utamtanisha.naurasiUsijali sana,Yale yatakayoweza kufanyika yatafanyika na yatakayo baki atakuja kuyaendeleza atakae kuja mpokea Magufuli tuombe uhai Maisha ni mipango na kupanga ni kuchagua! Hata wwe hapo kichwani mwako unamipango mingi sana ,sema unasubiri upate ma fedha tu tuanze kuwona mipango yako iliyokua kichwani ukiitimiza!!
HahahahahahaahaTunatofautiana uono, niliona kama anaimba taarabu tu.
System ndiyo imemuweka,na muda wake wakumtoa ukifika tu anatolewa Mara moja!!Mmh?jiwe hatoki hapo mpakakifo.yani umauti ndio utamtanisha.naurasi
Wanazi hamuwezi kuelewa tujiandae na maisha magumu kulikoWakati anaongelea technical schools za Arusha na Mwanza ulikuwa umelala?
Wakati anaongelea kuimarisha tahasisi za utafiti ulikuwa wapi?
Huo uvuvu wa bahati ya hindi ni kwa manufaa ya nani?
Ebu tuvute subira, mazuri yanakuja
HahahahahahahaJamaa yangu una moyo na bidii.Ulisikiliza mwanzo mwisho hotuba ambayo :
Haina mvuto;
Mpangilio hovyo.
Lafudhi mbovu!
Umetisha kiasi kwamba una ujasiri wa kumkamua simba jike!
Tabligh wana msemo wao kwamba "hakuna pepo kwa mzungumzaji wala hakuna pepo kwa msikilizaji bali kuna pepo kwa mtekelezaji"Uhodari uko kwenye kusikiliza sio kuongea. Sikiliza zaidi kukiko kuongea, soma zaidi ya wengine kuliko kuandika ya kwako
Mkuu, kuna phyisical meeting to headquarters where we spend a lot of fuels, from far ponts like Bukoba, Kigoma kwa sasa zimepungua kwa kuwa dodoma ni katikati. India, Malaysia, Nigeria, Africa Kusini nk TEHAMA iko vizuri lakini pia zimetenganisha mji wa Biashara, Serikali na Bunge. Nadhani tusipinge kila kitu, Dodoma ni sehemu ya Jamhuri ya muungano na Tanzania na ipo katika ya Nchi!Kujenga kujenga kujenga kujenga tyuuu! Kama tehama ingeimarishwa vema hadi ngazi ya wilaya kuhamia dodoma isingekuwa kipaumbele kwa sasa. Does not add any value to our economy, democracy or social services